Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Residents of Mariupol who flee the city through Russian checkpoints are being searched for tattoos with Nazi symbols.

The refugees support such security measures themselves.

Women and children are not being checked. The resident himself says he fully supports the check because Mariupol is full of nazis.

Your browser is not able to display this video.


Wakazi wa Mariupol ambao wanaondoka jiji hilo kupitia vituo vya ukaguzi vya Urusi "are being searched" kwa tattoo zenye alama za Nazi.

Waknaunga mkono hatua hizo za usalama.

Wanawake na watoto hawachunguzwi. Mkazi mwenyewe anasema anaunga mkono kikamilifu hatua hiyo kwa sababu Mariupol imejaa Wanazi.
 
Hicho kizee kimechanganyikiwa ni vipondo inavyopata Ukraine.
Msameheni bure
 
Asante sana Mkuu MTZ 255Dar , kwa uchambuzi mzuri wenye mafunzo.

Humu kuna watu ambao ukisoma post zao unapata kitu kipya, unajifunza.

Halafu kuna sampuli ya watu wengine ambao ni weupeeee, yaani kila siku kila wiki wakiandika hawana jipya. Hoja aliyoongea wiki 3 nyuma ndio hiyo hiyo anaendelea kuizungumza leo, kesho na keshokutwa; bora apate tu muda wa kupost. Hata kama ni hoja nyonge na dhaifu na imeshajadiliwa na kubainishwa udhaifu wake kwa vielelezo (vithibitisho), ataendelea kuileta hoja hiyo iliyozeeka. Mpaka wajiuliza ina maana huyu huwa hasomi vyombo vya kimataifa na kupata ishu mpya?! Hawa mara nyingi sisi tunaojielewa huwa twawapotezea kwa kuwa ni nadra kama sio muhali kujifunza kwao.

Kisha kuna wengine wanaandika maneno meeengi utadhani 'a full-length research article' wakigusa hapa na pale na kule (hawana topic maalum). Katika hayo kuna ukweli na MatangoPori meengi. Hawa huwa twajifunza kitu ktk yale ya ukweli, kisha tunabainisha MatangoPori yao.
 
German politicians are tired of the constant demands of the Ukrainian ambassador in Berlin.

As Junge Welt writes, Andrey Melnik is trying almost daily to aggravate the situation and involve Germany in an armed conflict.

It got to the point that "the nerves could not stand it" at the Parliamentary Secretary of State in the Ministry of Construction, Sören Bartol. “As for me, this “ambassador” is already unbearable,” he wrote on Twitter, but later deleted the post.

At the same time, the Ukrainian ambassador continues to write on social networks that the German media should stop the “demonization” of the Azov nationalist unit, whom Melnik himself considers “brave fighters.”
Galip SV Liwagu
 
Kadyrov showed a new video of the cleaning of a residential building in Mariupol from Ukrainian nationalists.

The Chechen special forces were fighting with the military personnel of the Armed Forces of Ukraine, who were hiding on the upper floors of a residential building.

In the basement of the same high-rise building there were civilians with children - they were released and evacuated.
Galip SV Liwagu
Your browser is not able to display this video.
 
Hujanijibu MK254. Ndiyo maana nyie mlimuuw aliyekuwa anaongoza kutaka kujitenga Mombasa na mkaendelea kuua wengine mkiogopa isije fika ya Ukraine.

Uliza swali linaloendana na tunachokijadili humu...
Kuna tofauti ya kutaka kujitenga na kutengana, Mombasa hawajajitenga, hatujaachika na kuachana, ila wakijitenga hatutakua na haki ya kufuata kuwaamulia mambo yao huko.

Hata wewe hapo mumeo akikutupia nje ya ndoa, hatakua na haki ya kufuata nani mwingine atakua anajipa raha ya hilo tunda lao.
 
Umenena vyema Mr... [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666] Nimekupata vizuri ila na maswali mengine ka hutojali tusaidiane majibu...

Ni nini hasa sababu ilopelekea nchi nyingi kiasi hicho kutunza dollar as their reserve? Na vipi hizo sababu siku zikipotea wataendelea kuitunza hiyo dollar kama Reserve?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…