Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Naona umekubali kudanganyika nawewe,Hao mbwa hawawezi kukubali hata kidogo na wanajua UN ni yao so lazima wawatee.
 

Sasa mzee kwa akili yako unafikir US atakubali?
 
Z
 
Russia iliziweka standby battalion za infantry Kama 136, battalion tano za airborne, battalion sita za special coops/chechen Hawa sio makomandoo rasmi ila wamechanganyika CDO,LAKERS,SWIPPERS,NA SNIPER. Division Moja ya air Force na Navy pamoja na wapiganaji waliokuwa Katika jamhuri za mashariki mwa Ukraine tuliyo yatambua rasmi hivi karibuni. Ila wastan wa wapiganaji walioingia haizidi 90,000 inamaana kunauwezekano wa uwepo wa brigedi Kama NATO inavyo tambua maana sisi wachechen hatupigani kibrigedi tukitoka level ya battalion tunailuka hiyo level ya brigedi hivyo tunakua na rivisio ya mapigo.Fire division
Sasa kwa tafsiri hyo huko Ukraine kuna
Division zisizo pungua 4 au 5 pia utambue hatuko vitani tuko kwenye mazoezi,ambayo yameambatana na operation maalum.
1/ Division ya vikosi vya vifaru
2/ Division ya mizinga
3/ Division ya vikosi maalum
4/ Division ya Lakers
5/ Logistics and supplies team. Na hapa ndio hata Mimi nakiri Kuna udhaifu qmbqo hata hivyo umesha fanyiwa kazi. Kama ndio wange jichanganya wakakutana na vikosi vya chief Hangaya Basi ule msafara wa 65km ungefika msafara wa mita 100. Ila unaona pia udhaifu wa Ukraine walishindwa kushambuliwa kwa MRLs na Artillery? KU okea mbali mpaka wakaatarisha maisha ya vijana wao unaenda kufanya ambushi kwenye msafara Kama ule na vi ant🐜 tank?. Ant tank s h mu yake Ni kwenye nope nikupe au ambushi ya misafara midogo dogo ya kimapigano.
Pia Kuna Batallion mbili zilizoingia kuteka Antonov air port na karkiev
Alafu ndio
6/ air suppor ambayo wanaruka kutokea urusini Moja kwa Moja.



Naomba unibishie kwa hoja tubishane kistaarabu. Sisi warusi wa Nakapanya hapa na nyie wa Ukraine wa ibera makubi
 
Mkuu ulivyoandika umenikumbusha Waziri wa Habari na Propaganda wa Saddam Hussein wakati wa vita na Marekani aliyeitwa Abu Sayaff!
 
Naam kaka, utetezi wa anga la Ukraine wafanywa na S-300 kwa kutumia makombora (SAM) kama ulivyogusia.

Sidhani kama Russia kutomaliza kazi ya kuharibu air-defense capability ya Ukrain walifanya udhaifu au uzembe. Unajua nchi nyingi huwa na idadi kuwa ya mitambo ya kulinda anga. Mfano Ukraine tunayozungumzia sasa, inamiliki pcs 250 za S-300. Sasa kuziharibu mpaka uje kuzimaliza zote 250 hiyo sio shughuli rahisi kwa jeshi lolote lile. Lazima nyingine zitanusurika tu


 
Sijali kama Putin au Biden anakubali au anakataa. Nataja yale ambayo ni dhahiri:
1. Ukraine hakuna serikali ya NeoNazi wala maandalizi ya silaha za kibiolojia
2. Urusi haiko Ukraine kujitetea lakini kushambulia kwa kuvunja sheria ya kimataifa
3. NATO haiko Ukraine, kama ingekuwepo Putin angeogopa kuingia.
Sasa mzee kwa akili yako unafikir US atakubali?
 
Hivi huu utoto na upumbavu wa kusema kuwa eti Urusi anatumia silaha za zamani na si mpya mnamwambia nani,kwani nani kamkataza kutumia hizo silaha mpya au ndio mnatafuta sababu ya kushindwa vita? Sasa atumie hizo mpya tuone maana huu ujinga hatujawahi kuona wala kuusikia pale Marekani anapopigana vita vyake.
 
Hii thread ishakuwa kama story za Shigongo imepoteza mvuto kabisa watu walitarajia mambo yangeisha mapema ila inavyoonekana imekuwa kama series za kikorea.
Tatizo Urusi alituahidi ndani ya siku tatu atakuwa kashafika Kyiv na kumkamata Zelensky sasa mambo yamekuwa tofauti.
 
Naona umekubali kudanganyika nawewe,Hao mbwa hawawezi kukubali hata kidogo na wanajua UN ni yao so lazima wawatee.
Ndugu ukiacha utu katika lugha yake kumwita mtu "mbwa" basi unaondoa utu wako mwenyewe.
UN kuwa ya nani?? Umoja wa Mataifa ni chombo cha mataifa yote (na hapa kuna udhaifu wake kwa sababu inahitaji shikamano ya wengi). Hata hivyo kura ya mataifa mengi zaidi ya 180 kutaja vita ya Urusi mashambulio na kuvunjika kwa sheria ni hatua muhimu. Pende usipende.
Taasisi za UM zilikosoa pande nyingi zikitafuta ukweli. Hujaleta sababu hata 1 kwa kumwaga matusi yako.
 
Hahahahhh ucheshi huu tunaupata channel gani?
 

Mbna hujajibu hoja yangu unakimbilia mambo mengine kabisa. Uyo mmarekani amevunja sheria za kimataifa ngapi mpaka sasa?

Mataifa zaid ya 30 yanaungana kisa mtu mmoja huu ni udhaifu na uwoga wa hali ya Juu. Taifa moja ndo linawaumiza kichwa NATO[emoji38].
 
Yaani China,India,Iran waingie kwa ujinga uliosababisha wewe mwenyewe? Kwanza hakuna muungano wa India na China sababu hao tuu ni maadui,hujui Geopolitics wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…