Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Majengo kua kifusi
 
Safi sana maelekezo yamefuatwa
 
Ina maana kelele zote za borris Johnson ndo uoga wote ule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege ya Jeshi la Marekani imeanguka Norway ikiwa na wanajeshi wanne zitashushwa kwa electronic jamming system
Wenzenu wako huko Norway wanafanya mazoezi ya kijeshi na NATO we unasema imeshushwa na EW[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wenzenu wako huko Norway wanafanya mazoezi ya kijeshi na NATO we unasema imeshushwa na EW[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anamzuka mpaka anajikuta anapitiliza ....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anamzuka mpaka anajikuta anapitiliza ....
Juzujuz hapa ilianguka F-35 kule South China sea kwenye mazoezi ya kijeshi baada ya Rubani kukosea kutua kwenye aircraft carrier,kuanguka Kwa ndege kwenye mazoezi ya kijeshi ni Jambo la kawaida sana lkn jamaa anakwambia imeshushwa na Mrusi[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…