LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sijabisha sasa wafanyeje. Mpaka sasa wamegoma kukubali kama unawahurumia sana wao wamegoma huruma wanataka kupigania nchi yao. Na huo msimamo wako wa kwamba Zelensky hafai sio msimamo wao.

Russia ni looser vilevile no matter how long it will take
 
Acha unazi mkuu vibaraka Ndio Nini? Russia always ni loser. Katika watu wanaopotezaga idadi kubwa ya wanajeshi vitani ni Urusi katika vita vyote.
Hata Ukraine hatatoa siraha zake zote. Kumbuka anacho kinu Cha Nyuklia. Unajua alikuwa anateengeneza chapati kule chenobly?
 
huu msemo kuwa binadamu wote hatuwezi kuwa sawa ni kweli kabisa.
kutokuwa sawa kimaisha,kimitazamo,kimaendeleo,kimawazo,kifikra,matendo,muonekano na n.k

unaweza kuchukua watu kumi na ukawapa kila mtu mtu elfu kumi kumi.
ila kati ya watu kumi uliowapa kila mmoja hata kuwa na utofauti na hiyo pesa uliyowapa.

jambo ambalo linanishangaza kwa sisi watanzania kushangilia mtu ambaye anatendea mabaya kwa sababu yuko mbali na wewe.

yani nimeshangaa sana vijana wa ccm wakishangilia putin kuvamia ukrain na wakimsifu putin wakati hawa fahamu kuwa putini ni moja ya watu ambao wameshikilia madaraka mda mrefu na moja ya ditekta mkubwa wa nchi hiyo.
 
Ukraine under this regime is powerful compares to the last.
 
Na hicho hakiwezekani kwa sababu rais wengi wanachukua silaha ku defend miji yao,Urusi atafakiniwa kuiteka Kyiv lakini in long run nchi haitatawalika hata siku moja...
 
Ana mpango wa kufanya re-enforcement ya 100k soldiers,mambo yamekuwa magumu..
Askari wa kirusi hawaña motisha ya kupigana kama wenzao na hapo Ndio maelfu ya wanajeshi wao watakufa. Nilitarajia atatumia mbinu kama za Irael za kushambulia Toka mbali. Yeye anakuja kichwakichwa.
 
Uongo huo,hajapeleka jeshi lote lakini kala hasara ambayo hakuitegemea.

Ukraine hakuna kitu pale Hata spending ya budget Kati ya Tzn na Ukraine Kwenye Jeshi Tzn tumewazidi..

Yaani migambo wa hesbullah wanawashinda jufyatua rocket hata moja kuingia Russia?

Waasi wa Yemen wa Kihouth wanapigia hadi Riyadh afu hao wapuuzi wa Ukraine hawawezi hata jufyatua rocket moja.
 
Hizo kupanda Kwa bei nk ni lazima vitokee kwenye short term ila open wata stabilise supply..

Otherwise wazungu wataendelea kunyanyaswa na Russia miaka yote wasipochukua hatua saizi hata kama zitawaumiza kwa mda mfupi kwa sababu wao wameendelea wanaweza ku survive.

Saizi Russia kawatishia Sweden na Finland kwamba marufuku kujiunga NATO sasa hizo ni Nchi au wake za Russia? Majeshi yao Kazi yake ni nini hasa?
 
Manina Russia wakutane na Poland ana kwa ana hiyo vita itakuwa sio ya kitoto,Poland wana hasira za kihistoria na Russia,Russian infantry ni wakawaida sana sio kama dunia inavyowapamba kabisa..
Kwanza hadi sasa ni siku ya 4 Russia imeshindwa kuweka No fly zone hapo Kyiv pamoja na Airforce power walionayo,ni kitu cha kushangaza sana.
Yule pilot wa Ukraine wanamuita nickname Ghost of Kyiv ameshaka kula jets 4-6 za Urusi hadi sasa,ikiwemo the most advanced Su-35 ila jamaa anda Mig-29...Jamaa ni mzee tu late 50s...
 
Kama ni mtihani una 27%
 
Huyu Putin mjinga sana..its now or Never...

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Askari wa kirusi hawaña motisha ya kupigana kama wenzao na hapo Ndio maelfu ya wanajeshi wao watakufa. Nilitarajia atatumia mbinu kama za Irael za kushambulia Toka mbali. Yeye anakuja kichwakichwa.
Boots on ground ni risky sana hainaga mwenyewe aisee,Na sasa raia karibia 30k wa Kyv tu wana silaha mkononi za kuwaua warusi wakiingia Kyiv,Hata Russia akishinda hii vita atapata tabu sana kuitawala Kyiv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…