President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mzee sitaki kuanza kubishana na mkenya hapa. Wakenya tunawajua njaa na usaliti wenu. Huna jipya wewe mtoto wa mama Ngina.Tuliambiwa Tanzania is food sufficient mbona chart inaonyesha hali ni mbaya zaidi kwenu.
MK254 ukuje hapa👆👆👆Mzee nenda shule kwanza. Hapo Kibera mmemaliza issue ya njaa!? Wakenya ninyi ni wajinga wa kwanza duniani.View attachment 2156331
Na Hakuna siku China itaharibu uchimi wake kwa minaajili ya Putin, lengo la mchina nikuteka soko la dunia mzima kwa hio hataki sanctions kabisa..Nenda kapigane basi, maana naona umefura utadhani simu yako ndio imekataliwa
Kwa nn marekani na Nato walishindwa kuvamia Cuba?, pamoja na kwamba Cuba ilikuwa kitisho kw marekani kama ilivyo leo Ukraine?Kwa nini jf kenned aliishia kusaini tu kuipiga cuba,lkn hakutoa amri ya mwisho kupiga?, ni baada ya Nikita Khrushchev kutoa tamko kali na kugonga kiatu kwenye meza wakiwa kwenye kikao cha baraza la usalama,na kuahidi kuwa moscow itailinda Havana,,Warusi kumpiga Hitler it doesn't mean that wanaweza kuipiga Dunia nzima, mkuu elewa kwamba Ukraine imezingirwa na ulinzi wa mataifa yenye nguvu kubwa Duniani zaidi ya matano,wanaomsapoti Russia ni Wachina,North Korea na Iran ambao hakuna Kati yao atajaribu hata kutoa risasi moja kwa ajili ya Russia.
Usome mchezo vizuri [emoji16]
Wewe mtoto wa mama Ngina nenda kashughulikie issue za kwenu. Wewe ni hopeless unasubiri free WIFI hapo Uhuru Park ili uje upige kelele humu.Na Hakuna siku China itaharibu uchimi wake kwa minaajili ya Putin, lengo la mchina nikuteka soko la dunia mzima kwa hio hataki sanctions kabisa..
African countries will find another country to buy wheat but can russia find another continent to sell wheat and earn money. Hell No!Naendelea kuelezea Urusi kuhusu kuuza ngano hapa kwetu Africa.
View attachment 2156344
Nenda kapigane basi, maana naona umefura utadhani simu yako ndio imekataliwaNa Hakuna siku China itaharibu uchimi wake kwa minaajili ya Putin, lengo la mchina nikuteka soko la dunia mzima kwa hio hataki sanctions kabisa..
Ungekua mjanja ungesoma hapo chini panasemaje, warabu Saudi/UAE wanataka USA awasaidie kivita kule Yemen ndo wapump mafuta. They don't give a Fck about Russia.Nenda kapigane basi, maana naona umefura utadhani simu yako ndio imekataliwa
View attachment 2156349
Ila mie nadhani wewe ndio unaetakiwa kwenda kujifunza "Politics" kwanza kabla ata ya kuijua hiyo "Geopolitics" yenyewe.jifunze geopolitics.., hakuna siku saudi Arabia inaweza alienate USA katika foreign policy Yake kwa sababu ndie anaemlinda kutokana na adui yake mkubwa Iran
Acha uzushi wewe hiyo channel innamilikiwa na serikali ya Qatar [emoji1203] kadanganye wajinga wenzioMwambie huyo Aljezeera ni ya Waingereza
Almost 14,400 people were evacuated to Russia from various dangerous areas in Ukraine in the past 24 hours without Kiev’s assistance, Russian National Defense Control Center head Colonel General Mikhail Mizintsev said on Friday.
"Takriban watu 14,400 wamehamishwa hadi Urusi kutoka maeneo mbalimbali hatarishi nchini Ukraine ndani ya masaa 24 yaliyopita bila usaidizi wa Kiev, Russian National Defense Control Center head Colonel General Mikhail Mizintsev said on Friday."
"Without the participation of the Kiev government, a total of 14,397 people were evacuated to Russia from various dangerous areas of Ukraine and the people’s republics of Donetsk and Lugansk. Among them were 2,781 children.
"Bila ushiriki wa serikali ya Kiev, jumla ya watu 14,397 walihamishwa hadi Urusi kutoka maeneo mbalimbali hatarishi kutoka Ukraine na jamhuri za watu za Donetsk na Lugansk. Miongoni mwao walikuwa watoto 2,781.
The overall number of evacuees since the start of the special military operation now stands at 297,858, including 63,465 children," he said.
Jumla ya waliohamishwa (kuelekea Russia) tangu kuanza kwa operesheni maalum ya kijeshi sasa ni 297,858, wakiwemo watoto 63,465," alisema.
According to Mizintsev, 181 foreigners from nine countries were evacuated to Crimea without the Ukrainian side’s participation, including citizens of Nigeria (32), Uzbekistan (23), Kazakhstan (17), Lebanon (seven), Sri Lanka (six), Pakistan (four), Serbia (one) and Tunisia (one), as well as 90 citizens of Ukraine.
Kwa mujibu wa Mizintsev, wageni 181 kutoka nchi tisa wamehamishwa kwenda Crimea bila ushiriki wa upande wa Kiukreni, Kwa uchanganuo zaidi ni Raia wa Nigeria (32), Uzbekistan (23), Kazakhstan (17), Lebanon (7), Sri Lanka (6), Pakistan (4), Serbia (1) na Tunisia (1), pamoja na raia 90 wa Ukraine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa baadae vichwa vya habari vya kimagharibi vitakuja na title ikisema Russia kateka watu 14k mateka [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nyongeza hyo ya ya Coment... [emoji23][emoji23][emoji23] Kura za wadau [emoji2958][emoji2958][emoji2958]
View attachment 2156314
Mpaka sasa USA na Europe Combined ni 93% na Russia ni 7% katika 63 walioshiriki kura hizo... Then mtizame aliyetoa Poll hiyo ni Ukrainian huyo wa mwisho kabisa kwenye hii screenshot ambae alianza kwa kuweka kwa Russia [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2156317