LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Alipe gharama gani..
Yeye yuko kwenye nchi yake..anongelea nchi yake..anaweza kujiunga na upande anaoutaka hii ndio maana ya sovereignty..
Hata akiongea mangapi Russia inamuhusu Nini Kama sio ubabe tu..
Ziliensky

Hii kauli utalipa gharama unafahamu maana yake? Mfano. Umeambiwa ukachanje chanjo ya korona. Ukakataa. Korona ikaja. Ikakupata. Hapo ndio huu msemo unaposimama. U'll pay the praice"

Gharama hapa ni pamoja na msukosuko wananchi wa nchi yake wanaopata. Nk nk
 
USA kwenda Iraq tu alikusanya kijiji cha Dunia na alichukuwa siku 28 Russia siku mbili tu yuko mlangoni capital city. Hata huko nyumba history inaonesha aliyemuweza Germany ni Russia ndio aliokoa bara la ulaya. Sasa wewe amini hivyo na ndio maana hujasikia hao unaona wana nguvu hata mmoja kuingilia na Putin katema mkwara tu wote kimyaa. Jana Rais wa Ukraine anasema kawapigia wote kimyaa.
 
Unaongelea vita kama vile unaongelea ushabiki wa ligi ya mpira ya Uingereza,

Wamarekani wa Buza mnateseka sana.
🀣🀣🀣🀣
 
Uhasama wa nini wa kihistoria? Uhasama hauwezi kuisha? Mitizamo ya kikomunist ni ya kishamba sana.
 
Kama ulimsikia Zelensky alikuwa clear kwamba the aim ya Ukranian amry ni defense sio offensive war maana wanajua hawana resource kupigana offensive war,Wanachokifanya ni kuwasubir Russia infantry wajae target then wanawashambulia,hadi sasa tactick yao ime work 100%,hayo mengine ya kushambulia Moscow unasema wewe,ila Generals wa Ukraine wameshachagua tactic yao 'defensive'.
Halafu punguza hasira Russia watashinda vita ila chamoto lazima wakipate,na pia wataonyesha ulimwengu kwamba russian infantry haipo kama tulivyoaminishwa mwanzo...Hakuna kitu ngumu kama kupigana na mtu mwenye spirit na yuko tiyari kufa kutetea alichonacho,hiki ndio kinawaua warusi
 
Warusi badala wajenge uchumi na kujitanua duniani bado wanaota ndoto za ukomunist
 
Unaongelea vita kama vile unaongelea ushabiki wa ligi ya mpira ya Uingereza,

Wamarekani wa Buza mnateseka sana.
🀣🀣🀣🀣
Mzee punguza hasira mrusi mweusi,Wenzako warusi vita watashinda ila cha moto watakiona tu,..
Halafu kwa nini Kremlin hawatoi data za vifo vya warusi,au hawafi wamekuwa ma robots??..Propaganda at it best...
 
Hasira ziko wapi hapo? Naona tu unavyoteseka utafikiri wewe ni mu Ukrania kumbe upo Buza huko chini ya muembe unatafuna tu muhogo mbichi kupitisha siku.
🀣🀣
 
Mneno ya kujifariji kaa utulie πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ raisi ana spirit kwa vile anaondolewa au kuuwawa kabisa ila wanajeshi wako weak
 
Ni Kweli hata USA haiwezi kuruhusu Urusi iweke kambi Mexico au canada! Marekani tatizo huwa wanajifanya kuwa na haki zaidi ya wengine.
 
Mbona kushabikia vita huku? Hii siyo sinema mkuu. Pana watu wanakufa wakiwamo watoto wadogo wasiokuwa na hatia mjomba.

Hivi hiyo Mig-29 manufacturer ni nani na inapambana na nani hata kujaribu kuipamba ki hivyo mkuu?
 
Mzee punguza hasira mrusi mweusi,Wenzako warusi vita watashinda ila cha moto watakiona tu,..
Halafu kwa nini Kremlin hawatoi data za vifo vya warusi,au hawafi wamekuwa ma robots??..Propaganda at it best...
Kuna hasira hapo?Au na wewe unaleta propaganda zako...
 
Hasira ziko wapi hapo? Naona tu unavyoteseka utafikiri wewe ni mu Ukrania kumbe upo Buza huko chini ya muembe unatafuna tu muhogo mbichi kupitisha siku.
🀣🀣
Wewe uko wapi mkuu tandale au ??,Nyie si ndio mlikuwa mnapinga USA kuvamia waarabu,mkijifanya watetezi wa haki??..leo imekuaje tena mmegeuka mna support warusi kuua watu Ukraine??..Warusi weusi hamnaga akili aisee...Whats the difference bt US kuivamia Iraq na Russia kuvamia Ukraine??....
 
Wewe ni Muongo
 
Issue sio idadi ya watu Kaka. Inshu ni GDP per Capita ya mwananchi mmoja mmoja. Unafikili wanakwenda kuigawa Gas bure kwa wananchi wa China na India? Nchi Kama India inamasikini zaidi ya 900M wanaoishi Chini ya umaskini Mkubwa,hao hata wakipewa hiyo Gas hawataweza kulipa. Per Capita income ya Ulaya Magharibi ambako Urusi anauza Gas ni $ 68,000. Per Capita ya China na Indioa ambako unasema Urusi akauze Gas ni $ 11,000-China na $ 3200-India. Huko hasa India hakuna Soko la Gas ya Russia make Raia Wanapikia Kuni na Mkaa.

Israel yenye watu 7M bajeti yake kwa mwaka ni $ 200B. Nigeria yenye watu 210M bajeti Yake kwa Mwaka ni $ 58B. Kwahiyo Urusi akipoteza Soko la Ulaya na Ulaya ikapata mbadala(Japo sio Rahisi) Basi Urusi itakuwa imepata hasara kubwa Sana. Itabidi auze Gas yake kwa China kwa Bei ya Chini yaani $ 40 kwa 100L wakati Huko Ulaya anauza $ 280 per 100L. Kibiashara hiyo ni hasara kubwa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…