President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivu bado tu wasumbuka ku'qoute comments zangu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Huu ni hoja lako usisema hoja lako ni hali halisi. Hujaleta uthibitisho Al JAzeera wamebadilika, wapi badiliko wakiongea kuhusu ugomvi Palestina- Israeli?
Ila wakisema kitu ambacho wewe hupenda kumbe wasaliti!!?????
Kwa yale wanayotangaza kwa Kiswahili hakuna atakayeiangalia huko Ulaya, basi argument yako inakosa mantiki. Tena hujaonysha dalili yoyote kuhusu ukweli wake - isipokuwa: Huipendi.
Proputin katika ubora wake, akibanwa pumbu anaanza matusi.Siasa ka Siasa huifaham kisha wajitia ujuaji kwenye siasa za kimataifa ambazo ziko influenced na geographical factors eenhe... We kweli "Ka bwana flan"...
You aren't worth my time kubishana utumbo tu apa... Zaidi nitakuingiza kwenye ignoring list.
Unadhani NATO wanatoa silaha ilimradi wanazo. Silaha kama NLAW anti tank wanatoa kwa kuwa mwanajeshi anaweza fundishwa kwa lisaa pekee akajua kuitumia. Silaha nyingine ngumu kufundishika zinatolewa zile ambazo Ukraine wanajua kuzitumia. Ndio maana walitaka wapewe Mig-29 ambazo wanazijua na bado Russia inazo, Poland angetoa Mig-29 then akapewa F-16 ambazo nazo anazo.Mzee unazijua s-300 anayezitengeneza ni nani!? Unaijua end user license!? Nyie wakenye always your stupid.
Manufacturer wa hizo weapons ni Kalinin Machine-Building Plant.
Hebu jielimishe kwanza kisha uje kwenye thread hii. Jipige kufua na useme wakenya ni wajinga.
Mwambie huyo Aljezeera ni ya Waingereza
UAVs za Russia zina footage brulled hazioneshi vizuriRussian UAV observes the actions of the Ukrainian group on 4 vehicles
Nimekuuliza unaijua End user license kuhusu weapons!? Nataka unijibu kwanza hapo ndio tuendelee.Unadhani NATO wanatoa silaha ilimradi wanazo. Silaha kama NLAW anti tank wanatoa kwa kuwa mwanajeshi anaweza fundishwa kwa lisaa pekee akajua kuitumia. Silaha nyingine ngumu kufundishika zinatolewa zile ambazo Ukraine wanajua kuzitumia. Ndio maana walitaka wapewe Mig-29 ambazo wanazijua na bado Russia inazo, Poland angetoa Mig-29 then akapewa F-16 ambazo nazo anazo.
S-300 kuna operators wengine Ulaya wanazo inaweza tokea wakazipeleka Ukraine kisha wakapewa systems nyingine kama MIM Patriot. Huwezi poteza muda kufanya training ya zaidi ya miezi na kufanya logistics support kwenye system mpya wakati vita inaendelea.
Almaz Antey ndio mabingwa wa air defence system kwa Russia
Akifa jenerali mmoja wa Russia hiyi yamaanisha kuwa raia wapatao ...... wa Ukraine na wapiganaji nao wamekufa.He chose the defense of the Fatherland as his life's work and died, having fulfilled his duty to the end in the name of the security of our Fatherland." In general, 40-year-old Colonel #6tp Zakharov Alexander Vladimirovich from Arzamas is everything (the interception did not lie)
nchi za Ulaya ya MAshariki ziiikuwa nusu koloni za Urusi hadi kuporomoka kwa komunisti mwaka 1990/91. Kwa hiyo majeshi yake yalikuwa na silaha za Kirusi pekee. Hapa ni sababu kwamba SS-300 zinapatikana katika nchi hizo hadi leo.Kile hujui ni kwamba kuna Nchi nyingi za NATO ama EU ambazo wana battery za s-300 system. Hao ndo wameambiwa wadonate kwa Ukraine alafu baadae watapewa patriot Air-defense system ya USA. In short, Russia atapigika kwa silaha zake
huwa wanapigwa kwenye ambushAkifa jenerali mmoja wa Russia hiyi yamaanisha kuwa raia wapatao ...... wa Ukraine na wapiganaji nao wamekufa.
Nobody knows.
Mkuu unakubaliana na Huyu aliyeandika hapa chini? Kwamba Russia kaingia phase two.UAVs za Russia zina footage brulled hazioneshi vizuri