NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Yeye aendelee kuomba silaha, si mbishi? Rais kama huyu hapaswi kuchaguliwa tena, ujasiri wa kipumbavu haufai.“Ni muda wa kukutana na Russia, ni muda wa Kuzungumza, ni muda wa kumaliza Vita na kurejesha hali ilivyokuwa kama awali, hali ya amani” Volodymyr Zelenskyy, Rais wa Ukraine.
View attachment 2156544
Ni mbinu za kivita.Huyu urusi mpuuzi sana kumbe Ana silaha za namna hii na amwambii NATO na washirika wake anataka zitumia tu ionekane marekani msaada alio peleka ni bure daaah sijapenda hii
Nashangaa huko Afghanistan wa Taliban wanawakimbiza USA sasa hivi miaka zaidi ya 10.Urusi hamna kitu mwezi karibia mzima ka nchi kama Ukraine kanawasumbua hivo siku athubutu kumchokoza muisraeli aone!
Wengine mkae tu kimya mbakie kushabikia upuuzi wenu wa simba na yanga......unge jua madhara ya kuharakisha kuteka mji wenye wakazi zaidi ya 3m maafa kiasi gani yangetokea? kwanza wanao jua vita akiwemo Joe Biden wemekubali mbinu zake urusi za encircling mji kwanza hilo jiji la Mariupo ni kubwa kuliko Dar es salam yetu kama ameweza kuuteka kwa vifo visio zidi 5000 ni Big up kubwa kwa Mrusi.Urusi hamna kitu mwezi karibia mzima ka nchi kama Ukraine kanawasumbua hivo siku athubutu kumchokoza muisraeli aone!
Na juzi UN imepitisha azimio la kuitambua serikali ya Taliban na kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia.Nashangaa huko Afghanistan wa Taliban wanawakimbiza USA sasa hivi miaka zaidi ya 10.
Sizitaki mbichi hizi[emoji1145][emoji3165]The authorities of Latvia decided to explain to the inhabitants of the country the advantages of life without sanctioned salt.
Andris Skride, head of the Saeima Labor Commission, said that consuming a lot of salt is actually harmful, and 3.2 million people die from it every year in the world.
Therefore, according to him, it is time for the inhabitants of Latvia to eat less salty, or completely switch to a salt-free diet.
[emoji419]Earlier, there was a shortage of salt in Latvian stores due to the cessation of supplies from Belarus and Russia.
Russia aihitaji Mariupol ili aweze kuweka njia ya kutoka Bahari nyeusi kupitia Crimea hadi Kyiv kumaliza kazi.Wengine mkae tu kimya mbakia kushabikia upuuzi wenu wa simba na yanga......unge jua madhara ya kuharakisha kiteka mji wenye wakazi zaidi ya 3m maafa kiasi gani yangetokea, kwanza wanao jua vita akiwemo Joe Biden wemekubali mbinu zake urusi za encircling mji, hilo jiji la Mariupo ni kubwa kuliko Dar es salam yetu kama ameweza kuutaka kwa vifo visio zidi 5000 ni Big up kubwa kwa Mrusi.