Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimekuuliza unaijua End user license kuhusu weapons!? Nataka unijibu kwanza hapo ndio tuendelee.
End user license inatumika mfano kwa Tukrey yenye S-400. Hao operators wanaoweza kutoa S-300 ni remnants wa Soviet Union, hata Ukraine alipata hizo S-300 kama urithi ule mgawanyo wa silaha baada ya kuvunjika kwa muungano na anazitumia dhidi ya Russia. Hawakuzinunua kwa Russia, achana na wanunuaji wa juzi hawa kina Algeria.

End user license ukiivunja hupati technical assistance tena, Iran alinyimwa support na F-14 Tomcats alizonunua Marekani miaka ya 1970s kabla ya mapinduzi ya Kiislamu ila kwa case ya hawa wa S-300 wanapewa systems nyingine kama MIM Patriot za Marekani. Hata Ukraine anatumia S-300 bila msaada wa Urusi.

Hapo ungeuliza tena mbona Poland anataka kutoa Soviet era Mig-29 kwani hajui end user license. Makubaliano ya mauzo huwa ni secret na kabla Marekani hawajapendekeza hizo exchange wanajua hilo kwahiyo si kwamba hiki kitu hakina possibility.

Kwamza hizo agreements na Russia mara kibao China anavunja, anauziwa fighter jets na Russia kisha anatoa copycat. Kama J-15 ya Mchina ni Su-33 ya Mrusi, J-11 ni copy ya Su-30, J-11D inafanana na Su-35 ila sijui kama ni copy. Hata hiyo S-300 China kakopi katoa HQ-9. Kwa sasa Russia hauzi state of the art tech kwa China, kama jet engines za Izdeliye hauzi
 
Ma
🇧🇬A rally in support of the Russian special operation is taking place in Bulgaria.

The video shows the crowd chanting "NATO out!"

Bulgaria has been a NATO member since 2014.

View attachment 2156540
Mabeberu hii siyo habari kabisa.
Ila wangekuwa Warusi watatu ni vi bendera vya kupinga wangepata airtime ya kutosha
 
lakin mariupol ina wakazi wasiozidizi laki5,
utalinganisha na dar yenye wakaz milion 5 plus?
 
Nashangaa huko Afghanistan wa Taliban wanawakimbiza USA sasa hivi miaka zaidi ya 10.
kwanza vita anavyopigana USA kule Afghanistan na vita vya mrussi ni vitu viwili tofauti. Mrussi anapigana convential warfare ambayo muamerika ilimchukua miezi miwili kuvimaliza Afghanistan

Kabla kuondoka alikuaanapigana na wanamgambo wakuvizia vizia wasiokua na ubavu wakusimama uso kwa uso.

Sasa nashangaa super power kashindwa kumaliza conventional warfare wiki tatu sasa na nchi ambayo wamepakana.
 
Sijawasikia warusi wakisema hilo.View attachment 2156586
Urusi imekiri kuwa Imetumia/imajaribu Makombora mapya ya Hypersonic , pia imeanza kutumia Kamikaze Drones (Single Use) au Drones zinazojitoa muhanga.

This is desperate move ya Russia, ina maana watu wake wengi wamekufa na imekuwa ni ngumu kwao kuyateka haya maeneo so wameauma kutumia nguvu kubwa sana.

The issue what if this strategy fails again
 
[emoji1058]A rally in support of the Russian special operation is taking place in Bulgaria.

The video shows the crowd chanting "NATO out!"

Bulgaria has been a NATO member since 2014.

View attachment 2156540

Wazungu wanaojielewa hawa afu utamkuta mUkraine kutoka tandahimba huko kashashiba ming’oko yake anawashabikia hao magaidi.
 
Russia wazee wa siege, navyoona mimi kuna vikosi nje ya kiev.
Kuzuia kiev isitoe msaada kwa miji mingine.
Wakati wakiizunguka hii miji mingine na kuichukua taratibu.
Wao hata Operation ikichukua miezi nadhani ni sawa kwao na ndio mpango wao.
🤣🤣🤣🤣🤣

Unaelewa ulichoandika?

Utawekaje Siege wakati supply line yako ni mbovu ukifa kwa njaa?
Nadhani ni Wiki iliyopita kuwa mawaziri wa Nchi za Ulaya walienda Kiev hapo.

Na umesikia Russia wameanza kutumia Kamikaze Drones?
 
Nimekuuliza tena na tena. Anayetoa end user license ni nchi au company inayotengeneza silaha hizo!? Nakushauri jifunze kwanza mzee.
 
Supply line ipi ni mbovu?
Mtu anayegawa mpaka Aids kwa raia ana supply line mbovu?
Unadhani kwanini wameweka vikosi vyao nje ya Kiev?
 
Ulitaka waendelee kutumia nguvu ndogo huku Ukraine na nchi za NATO wakitumia nguvu kubwa? Desperate move?! How?! Hiyo ni lugha ya BBC, Aljezeera na Sky News na pia CNN...duh..
 


We explain on the map of the Ministry of Defense of the Russian Federation what is happening in Ukraine:

The armed forces of the Russian Federation took control of more than a third of the territory of Ukraine in three weeks.

Completely liberated Kherson and many other cities, blockaded Kyiv, Chernihiv, Sumy, Kharkov.

▪️From Kherson, Russian troops moved to Voznesensk in order to block the regional centers of Nikolaev and Odessa from the north, where units of the Armed Forces of Ukraine and NGU have been waiting for the amphibious assault of the Black Sea Fleet of the Russian Federation for three weeks.

▪️The General Staff of the Armed Forces of Ukraine is unsuccessfully trying to restore the supply of the 70,000th group of troops that are in the "operational encirclement" in the east of the country. They are running out of fuel, artillery ammunition. Arsenals and storage facilities have been destroyed by Russian troops.

The Kiev regime will not have time to receive the weapons promised by the US and NATO. The defeat of the Armed Forces of Ukraine in the Donbass will allow the start of a large-scale liberation of Ukraine, will turn on the "domino principle", military expert Oleksandr Khrolenko is sure @akhrolenko
 
Ulitaka waendelee kutumia nguvu ndogo huku Ukraine na nchi za NATO wakitumia nguvu kubwa? Desperate move?! How?! Hiyo ni lugha ya BBC, Aljezeera na Sky News na pia CNN...duh..
Sasa Ukraine ana nguvu gani kubwa 🤣🤣🤣

So unakiri kuwa Russia wamekutana kitu kizito.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
There comes a time to chemicalize and biologize it in order to stop the mad man who has threatened to thermonuclear fry the world. For freedom and democracy.
 
❗️Kyrgyzstan introduced a temporary ban on the export of a number of products and agricultural products:

▪️It is impossible to export outside the EAEU: wheat and meslin, wheat flour, vegetable oil, sunflower seeds, granulated sugar, eggs of domestic chickens, eggs for incubation

▪️It is impossible to export outside Kyrgyzstan: cattle meat (fresh or chilled, frozen), feed (hay, straw, compound feed, bran and grain feed), barley, oats

The ban will be valid for 6 months, it does not apply to export and transit. The measure was taken to ensure the country's food security and stabilize food prices.
 

Nicaraguan Lawmakers Call for International Investigation of US Biological Labs in Ukraine​

"It is not only the United States who has the obligation and responsibility to provide an explanation. The UN and Europe have a duty to take action on this issue rather than turn a blind eye. This discovery [of US biolabs in Ukraine] confirms Russian discourse and gives grounds for its position. The time is right to clear things up, because the world needs a peaceful life without threats", Adolfo Pastran, a member of the left-wing Sandinista National Liberation Front, said.
 
Mkuu hypersonic missiles sio tu kwamba Ukraine hawezi stahimili, ni kwamba hakuna nchi yeyote inaweza stamihili hypersonic weapons. Hata Israel yenye strongest na most active air defence system 24/7 haiwezi zuia hypersonic weapons ambazo Russia na China ndio wanazo tu, Marekani testing zake hazijawa successful. Unajua mwaka juzi nilipokuwa naona hizo Kinzhal zinafanyiwa testing na wakasema ziko tiyari sikuamini sana maana development period ilikukuwa ndogo na ambavyo Russia wana ugonjwa mkubwa wa delay kwenye development. Kwa sasa nasubiria kusikia Poseidon yao iko tiyari kwa matumizi ya underwater, mojawapo ya silaha game changer ila sio ya level za Ukraine.

Russia huwa wana uhaba wa precision guided munitions na hawapendi kuzitumia sana wanakwepa gharama. Wanategemea wanyanyue Tu-22 ibebe dumb bombs kibao idondoshe ila sasa bado hawana air dominance Ukraine na of course ni kweli wanakwepa kuua raia wengi kelele zisizidi. Strategically naamini watatumia hizo very high speed missiles kuharibu kama hizo shipments za NATO ila si lazima sana kuzitumia kwingine. Wakitumia na Kalibr pia.

Tatizo la Russia hajawa na attack drones za uhakika, hizo Orion alizotengeneza kwa msaada wa Israel hazijaonesha maajabu sana ila nina imani Sukhoi Su-79 Okhotnik ikikamilika miaka ijayo itakuwa on par na American drones. Kutumia missiles zinazosafiri umbali mrefu, zenye circular error probability (CEP) ya mita kadhaa za mraba, za gharama kubwa haiwezi zidi matumizi ya drones za size ya kati, zenye low radar cross section na secure communications, zinazokaa angani masaa 20 zikizurula strategic area kusubiria any possible target kisha zinadondosha smart bomb ambayo haina gharama sana na iko very accurate.

Nasubiria hizo silaha za Marekani alizotoa ikitokea akaleta kamikaze drones zinaitwa Switchblade hapo kazi ipo sana kwa Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…