Putin Anatakiwa awapelekee moto mpaka wajuteI am standing with Putin to combat against LGBTs from Western Union Europe and USA
Wachumba TU hawa..... Ngoja dume liwatulize ndaniAmerican -FOG- mercenary somewhere in Ukraine, it seems some of these guys are still alive. You can see the satanic baphomet skull-patch (based upon the blackbeard flag).
View attachment 2157402
Naona vitumbua viko tayari kwa ajili ya kumpa chai kiherehere yeyote toka NATO wakiongozwa na kiranja wao MarekaniNyamizi ukuwapi sis tunazidi kufagia ukraine View attachment 2157313
Tuliwaasa mapema sana, jamaa alipoomba watu wa Evacuate wa Ukraine walijifanya wajanja 😂 kuanza kujificha kwenye migongo ya raia na kufanya mashambulizi ya suprise.Baada ya jana Kutumia Hpersonic missiles....
Leo imethibitika kuwa Russia ameanza kutumia makombora ya Thermobaric, ambayo yanasifa yakunyonya hewa yote around, na kutengeneza Vaccum.
Hii video ni ya majaribio
View attachment 2157288
Na hii ni ikiwa kwenye real Use, Ukraine.
View attachment 2157291
Nimeanza kuelewa kwanini alikuwa anasita kushambulia, na kwanini yeye ndio alikuwa analazimisha Humanitarian corridors.
TUIOMBEE UKRAINE, TUWAOMBEE VIONGOZI WA UKRAINE WAPATE FAHAMU, WAKUBALI YAISHE.
Sawa Hatimaye. Typing error
Chanzo hujaweka ili Mimi team Russia nikajiridhishe Kama tumepata mpinzani wa kweli.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app