Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Self defeating statement, huoni mwamba ameandika neno 'SIDHANI'. Sote tulijua ndani ya wiki Ukraine kutakua na raisi mpya, mwezi umepita bado dwarf Putin anahangaika 😁😁Teh teh teh...uliposema kuwa hata EU wanaopeleka msaada wa silaha hakuna anayeota kuwa Ukraine atashinda ulikuwa wakusudia EU wa hapa JF?
View attachment 2157748
Haya mwanaJF huyu Sandali Ali anaamini kuwa Ukraine atashinda mpaka yupo tayari kuwekeana dau na ambao wanaamini kinyume chake. Au yeye sio mtu wa JF?
Ifikie muda uache kuongea mambo ya ujumla jumla
View attachment 2157741
Mzee jitahidi issue hizi ziishe huko KenyaSelf defeating statement, huoni mwamba ameandika neno 'SIDHANI'. Sote tulijua ndani ya wiki Ukraine kutakua na raisi mpya, mwezi umepita bado dwarf Putin anahangaika 😁😁
Bora hiyo kuliko kuwa na akili ya kushikishwa ukuta.Kumbe bavicha!!!
Mmebakiza akili za kuvukia barabara tuu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mambo yetu Watanzania na JPM hayana uhusiano na hoja za kuitetea Ukraine kuikabili Urusi.Naskia bado mmebaki LDC na Magufuli alisema mmekua donor country..😀😀😀
Wacha unafki, jamaa ndo ameanzisha. Mimi niko hapa kwa maslahi ya Ukraine.Mambo yetu Watanzania na JPM hayana uhusiano na hoja za kuitetea Ukraine kuikabili Urusi.
Wakupuuzwa tu wewe.
Unatakiwa unyoe nywele kwanza mzee.Wakupuuzwa tu wewe.
Kwa style hii hata raia wake wengi watakimbia nchi kukwepa hali ngumuWananchi wa urusi wakiwa kwenye foleni ndefu sana za UNUNUZI WA SUKARI KWA MGAO
View attachment 2157778
Sanctions have started biting, jiulize kwanini akauza mafuta bei ya kutupa kwa India. The economy is cash strapped.Wananchi wa urusi wakiwa kwenye foleni ndefu sana za UNUNUZI WA SUKARI KWA MGAO
View attachment 2157778
Maslahi ya Ukraine?Wacha unafki, jamaa ndo ameanzisha. Mimi niko hapa kwa maslahi ya Ukraine.