LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tayari macron ameamua kumsaidia Ukraine silaha za viata. Marekani nayo tayari imeingia mzigoni baadaya ya kumdhoofisha kiuchumi. Jamaa walikuwa wanasubili wanamwangalia Putin ana silaha gani Sansa wamemsoma tayri hapa Ni patamu Sana.

Mmarikani alivyo mjanja kahakikisha ana coordinate nchi marafiki wote na putini amejikuta yupo mtu katib china ameshamruka tayari. Sasa hapo ndo patamu
 
Moyo wa kiume na wakipekee huo, vinabo bado wamejibanza kwenye machaka waskilizie vita iishe waendeleze kampeni yao ya 50/50

Mambo ya 50/50 utayasikia yakisambazwa ba watu kama Kina Carol ndosi kwa sababu wana objective zao kutok Kuzimu. Lengo la mwovu siku zote ni kuvuruga utaratibu wa utaratibu wa Mungu . Ukiona mkeo anashadadia Mambo ya 50/50 ujue huyo ni hamnazo
 
Taarifa zilizopo ni kwamba wanajeshi wa Ukraine wanaopigana na Urusi wengi ni mamluki kutoka Ulaya na Marekani waliovalia mavazi ya Ukraine.

Haiingii akilini kwa jinsi Urusi ilivyo na wanajeshi mahiri na wenye mafunzo ya juu kabisa leo siku ya 3 hawajauteka mji mkuu wa Kiev wa Ukraine.

Taarifa zilizopo zenye uhakika ni kwamba zaidi ya wanajeshi 3500 wa Urusi wameuwawa na vifaa vingi vya kijeshi kutoka Urusi kutekwa.

Ukraine ni nchi ndogo sana kuweza ku hold kwa muda mrefu hivyo dhidi ya majeshi ya Urusi. Ilikua ni jambo la masaa tu Urusi walitakiwa kua Ikulu ya Kiev lakini leo siku ya 3 hakuna chochote walichokifanya.

Leo rais wa Ukraine kuonyesha dharau amevalia mavazi ya kijeshi na kwenda mstari wa mbele wa uwanja wa vita, sasa hii si dharau hii?

NATO hawajatangaza kupeleka majeshi ila wanasema wamepeleka vifaa ila taarifa za uhakika ni kua NATO imeweka makomandoo wake wengi sana kwenye jeshi la Ukraine kupambana na Urusi.

Angalia watoto wazuri Ukraine wakitetea nchi yao.
 
Putin ni msssssenge sana yule qumer. Na wanaomshabikia ni watoto wadogo wanaokaa kwa wazazi wao. Huwezi ukawa una interest na uchumi halafu ukafurahia vita
Embu twende pole pole.
Putin kosa lake liko wapi?
 
Mada nzurr lakini hao watoto wazurr wanahusikaje?
 
Kwa hio Ukrain akisaidiwa silaha ndio atashinda?

Ufaransa na Urusi nani ana nguvu kubwa ZA kivita?
 
Embu twende pole pole.
Putin kosa lake liko wapi?
Kwangu mm naona kosa lake ni kukosa nguvu ya ushawishi kwa serikali ya Eukrain.

Kama raisi ndo tatizo angetafuta namna nyepesi ya kudili nae halafu anatoa na pole kwa raia kwa msiba mzito wa taifa.
 
Mwanzo alidanganywa na China, ngoja apikwe vizuri
 

Wazungu sio waafrika, wao baada ya vita kumalizika tu silaha nyingi zitarudishwa kwa serikali tu kwani utaratibu wao wa maisha sio kama sisi huku Afrika vulugu tupu, aliyepewa silaha hajulikani anaishi wapi!!ni zoezi linaloratiba vizuri licha ya kuwa nchi iko vitani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…