Taifa la Ukraine ni miongoni mwa nchi zinazomiliki silaha za Nyuklia na makombora ya masafa marefu
Ni taifa kubwa tu la watu milioni 45 kulingana na takwimu za mwaka 2020
Jamaa wana silaha za kila aina lakini wanapigwa biti na mrusi wanaufyata
Kila mtu anaijua nguvu ya Putin na Urusi,lakini nachotaka kusema hapa ni kuwa, kama nchi nyingine tusiwe kama Ukraine
Hata kama ni Russia na manguvu yote ukraine alitakiwa akitishiwa kuvamiwa naye aonyeshe misuli ya umwamba
Taifa la watu milioni 45 sio taifa dogo wakuu ni taifa ambalo linaweza kuwa na uwezo wa kutunisha misuli kwa taifa hata lenye watu milioni 300
Sasa wapo milioni 45 wanakua waoga hivyo na wanaonyesha udhaifu mkubwa,jee wangekua milioni 3 au 4 jee?
Taifa la watu milioni 45 mkiamua kuwekeza kwenye jeshi na uwezo mkubwa mnauwezo wa kulitunishia misuli dola lolote hapa ulimwengu, milioni 45 inakutosha kuwa superpower nawe ukatunisha misuli
Na silaha za nyukilia wanazo lakini wamekua watu waoga hivyo?Vita ikitokea Ukraine wakijipanga wakipigana na Russia hata kama mrusi atashinda lakini wangemuachia russia makovu fulani au kumporomosha kiuchumi,kwamba vita viww virefu vya kufa na kupona.
Ukraine anapitwa hadi na nchi kama Israel ambayo ina idadi ndogo lakini wanatunishia misuli madola makubwa,kila kitu ni kujipanga,Israel sio wengi ni nchi ndogo lakini kijeshi wanajitahidi vipi hao ambao wapo milioni 45 na wamejionyesha dhaifu hivyo
Una makombora ya masafa marefu yanayofika Moscow halafu unatishiwa kuvamiwa?Kwanini usitamke wazi kabisa kwamba ukivamiwa utaishambulia Moscow kwa makombora ya masafa marefu?
Hii nchi ni ya ajabu sana....Mimi kwa hili nasimama na Urusi katika huu mgogoro lakini Ukraine wanafeli sana masilaha yote hayo lakini wameshindwa hata kupiga mkwara tena watavamiwa na hawatafanya kitu,hawa jamaa ni useless kabisa
Ukraine hawafai kuigwa