Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin alishakataa kukutana nae ,Sasa zele siky anamtumia Romanov kama go between ili aweze kuonana na putin
 
kwaiyo jamaa wakawajaribia wenzao
 
Nilikuwa natazma doc ya wanyama na tabia zao linapokuja suala la teritory, yaani ss na wanyama hakuna tofauti. Tofauti ni kwamba wao wanatumia meno, kucha, kwato na pembe na sisi tuna bunduki na mabomu.
 

Kuna Nondo humu ndani balaa hawa jamaa wamejipanga aseee. Before millitary operation kuanza mzee Putin unaambiwa alikaa na wataalam wa uchumi, hesabu, teknolojia, kilimo takataka zote baada ya kuona vitisho vya vikwazo vimeanza.

Jamaa wakamwambia mzeee baba tunatoboa lazma tuingie ukraine kwa usalama wa taifa letu so Russia hakukurupuka na wamejipanga balaa.
 
ilikuwa ni message sent,Kwa yeyote atakaetaka kuingilia hii vita,,kinzhal Haina air defence ya kuipangua,
bado Russia hawaja test Avagurd,,hii no underwater nuclear powered missile,inaweza zunguka hats miaka 5 kabla haijahit target
 
Marekani Wana urafiki na Israel wakati nayo imehamisha mipaka yake iliyopewa hapo mwanzo.
Baada ya kuteka ardhi kwenye Vita sehemu kubwa bado wanaishikilia.
 
Siraha zote anazo tumia saudia na washirika wake nchini Yemen ni silaha za kimagharibi kuanzia za ardhini,angani,na majini lakini mpaka sasa zimeshindwa kufua dafu mbele ya silaha kiirani kwa miaka 8.
Waasi wa Syria walikuwa wanatumia silaha za kimagharibi lakini walishindwa kufua dafu mbele ya silaha za Urusi.
 
russia imesema inataka kuuza gas yake kwa HOSTILE nations kwa ruble, why ruble?? why only hostile nations???
 
Turkey wants Israeli natural gas to flow through Turkey's existing pipeline network en route to EU states. This idea from 2012 is becoming popular again. EU nations want to become less dependent on Putin.

View attachment 2162161
edorgan banah, aende cairo km antk kumaliza game kabisa but putin hawez ruhusu mamb yafike mbali hivyo watacompromise tu
 
russia imesema inataka kuuza gas yake kwa HOSTILE nations kwa ruble, why ruble?? why only hostile nations???
What Russia is doing is counter productive to its economy
-Russia will lose dollar reserves which they desparatly need
-Eu countries wont be stupid to buy Russian currency because they will become trade dependent on them.
-China won't do so in fact they want the opposite whereby they'll buy in Yuan
-India just yesterday bought Russian energy in Rupeee at a discount
- In summary no serious country will do business in ruble. Its either dollar or their own currency.
 

Kuna mtu anakwambia hlo kombora ni la kawaida halina maajabu[emoji28][emoji119][emoji119]. Pro NATO wana propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…