it is either that or they use firewood to cookWhat Russia is doing is counter productive to its economy
-Russia will lose dollar reserves which they desparatly need
-Eu countries wont be stupid to buy Russian currency because they will become trade dependent on them.
-China won't do so in fact they want the opposite whereby they'll buy in Yuan
-India just yesterday bought Russian energy in Rupeee at a discount
- In summary no serious country will do business in ruble. Its either dollar or their own currency.
Imfikie Morogoro kaskazini alitujulisha hapa kuwa kafa 🙂Canadian sniper 'wali' is alive contrary to pro-kremlin reports.
They lied he's the deadliest sniper in the world so as to push their propaganda.
View attachment 2162056
Not really, , Necessity is the mother of inventionit is either that or they use firewood to cook
sijui wanawaza nn, wanfanyia experiment uchumi waoWhat Russia is doing is counter productive to its economy
-Russia will lose dollar reserves which they desparatly need
scount
- In summary no serious country will do business in ruble. Its either dollar or their own currency.
SawasawaNot really, , Necessity is the mother of invention
~Germany has already signed an energy agreement with Qatar to ship (LNG)
~~Turkey wants Israeli natural gas to flow through Turkey's existing pipeline network en route to EU states. This idea from 2012 is becoming popular again. EU nations want to become less dependent on Putin.
Sisi tunashangaa iweje Rashidi Matumla mpaka sasa anakwenda round ya sita ya pambano mbele ya Mike Tyson,hayo mengine wanajitungia wao kuzifurahisha nafsi zao.Mbona wanaosema Ukraine anashinda ni wa kuhesabu? Wengi tunaosifia Ukraine, tunasifia namna alivyoweza kumzuia Mrusi kwa muda sasa. Hii ya kushinda naona inaletwa sana kufunika suala la muda Ukraine aliopambana kumzuia Urusi.
Mrussi saa hii anaskumwa na nationalism na blind patriotism. Hawazi mbeleeni kutakuwaje.sijui wanawaza nn, wanfanyia experiment uchumi wao
Hii ni sababu Israel inapingwa na wengi. Hadi Marekani kutokubali maeneo hayo kama ardhi ya Israel. Alikuwa Trump tu aliyehamisha ubalozi hadi Yerusalemu.Marekani Wana urafiki na Israel wakati nayo imehamisha mipaka yake iliyopewa hapo mwanzo.
Baada ya kuteka ardhi kwenye Vita sehemu kubwa bado wanaishikilia.
Morogoro kaskazini ujumbe ameupata.Imfikie Morogoro kaskazini alitujulisha hapa kuwa kafa 🙂
Tangu lini maskini akawa na uwezo wa kumjengea maskini mwenzie?Unachobishia nini kamanda? Kwahiyo mrusi akishaichukua ukraine unategemea nani ajenge kama sio mrusi mwenyewe! Au utamjengea wewe😂
Simba/Yanga anacheza na Mancity dak ya 60 hajafungwa.Sisi tunashangaa iweje Rashidi Matumla mpaka sasa anakwenda round ya sita ya pambano mbele ya Mike Tyson,hayo mengine wanajitungia wao kuzifurahisha nafsi zao.
Lakini kwanza ni vita tofauti sana, upande wa Wahuthi hakuna vifaru na ndege za kivita. Waarabu (Saudia, UAE, Katar, Sudan) wameona matatizo yaleyale kama Marekani huko Afghanistan. SI ubora wa silaha za Houthi uliowasaidia bali roho yao na idadi yao na msaada wanaopata kati ya wananchi pale walipo.Siraha zote anazo tumia saudia na washirika wake nchini Yemen ni silaha za kimagharibi kuanzia za ardhini,angani,na majini lakini mpaka sasa zimeshindwa kufua dafu mbele ya silaha kiirani kwa miaka 8.
Waasi wa Syria walikuwa wanatumia silaha za kimagharibi lakini walishindwa kufua dafu mbele ya silaha za Urusi.
Not really, , Necessity is the mother of invention
~Germany has already signed an energy agreement with Qatar to ship (LNG)
~~Turkey wants Israeli natural gas to flow through Turkey's existing pipeline network en route to EU states. This idea from 2012 is becoming popular again. EU nations want to become less dependent on Putin.
Unafiri oil inatokaje Middle East mpaka kenya/Tz kama si kutumia meli. So unadhani itashindwa kufika EU.Kwa akili yako unafikir inatosha?? Gas ilokua inasambazwa kwa bomba unacompare na ya kusafirishwa?? Unafikir cost itabak palepale??
Hao wamekanyaga moto hata leo wameongea bado wanahitaji nishati ya Russia wewe unaongea kama nani??
Tunaachaje kumshangilia Simba/Yanga maana kwa dk hizo 60 tayari Man City keshaanza kuona uwezekano wa kudharirika kuwa mkubwa.Simba/Yanga anacheza na Mancity dak ya 60 hajafungwa.