Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mataifa mengi ya magharibi ni welfare states, kuna aina flani ya maisha ambayo wameshayazoea, nchi km ujerumani ina zaidi ya watu millioni zaidi ya 81 lkn kipindi hiki cha covid kuna mfumo wa kuwalipa watu ambao wamepoteza ajira mpk 60% ya mshahara uliokuwa unapata kwe kazi yako ya mwisho mpk pale utapopata ajira nyingine, hawa watu hawajazoea baadhi ya life situations sababu ya nchi zao kuwa vizur kiuchumi kwa mda mrefu ndio maana inflation kdg kwao inamake headlines, so watu wa nchi tofauti wanaweza wakawa wanalalamika sana lkn hio haina maana kuwa wanapata maumivu yanayofanana, ndio maana sometimes ni kazi kusema nani anaathirika kuliko mwngne kwe hizi sanctions sababu jamii ni tofauti na aina ya maisha ni tofauti, unaweza ukaona nchi flani inapata shida kumbe wenzio sio shida kivile au unaweza ukaona hawa watu watakua poa tu kumbe wenzio kwao ni shida kwelikweli
 
f-35 ule ni mradi wa kibiashara tu, wamarekani wenyew wanaziamin sana F-22 , Pia F-35 ni km project iliofeli kwakweli matatizo ni meng mno pia zinaanguka kila kukicha yaan duh
 
baharia yupo tayari kuzamia meli akashuke baidoa Somalia kuliko akakanyage Moscow Urrusi . Hii yote ni kwa sababu Urrusi hakusisimua wala hakuna kivutio chochote cha mtu kwenda kule. wakimbizi wote duniani hukimbilia EU, USA na Israel tuu. Huko Urusi hata day waka ni shida ukizamia utakufa njaa sana.
 
hatujaelewa hapa unachangia mada gani mkuu.
 
Unataka usisimuliwe..........oooh yale yale kwa msaada wa watu wa marekani........
 
Mzee achana na hilo boya. Usimjibu mpotezee. Huwezi ukabishana na kichaa.
 
wataalam.mtuelezee statement y jana ya putin kuwa sasa hatakubal kuuza mafuta yake ila alipwe kwa rubble.
huyu mwamba ana plan gan kichwan mana rube naona imeanguka ki exchage rate
 
Kuna mkimbiz hata mmoja aliekimbilua israil? Ila ujue urusi ndio aliwakomboa mayahudi ktk mdomo wa hitra.
 
***** mpaka muda huu chakula kilichopnda urusi ni sukari tena sio sana

kwamujibu wa profesa musa mtanzania anaye fanya kazi kwenye chuo kimoja huko urusi ambapo jana alihojiwa na dw kiswahili anasem
a

nukuu: "warusi wengi wanaiunga mkono serikali mfano angalia tamasha la juzi pale crime maandamano yaliyo fanyika siku za mwanzo yale yalikuwa madogo ukilinganisha na jumla ya idadi ya warusi wote mimi naona kama hakukuwa na maandamano bali ni kelele"
alisema musa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…