LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Utaratibu ukoje ? nipe connection niibukie majuu.
 
MilardAyo nae kapost eti Warusi 3500 na nyungo zao 34 wamededishwa
 
Mtanzania wewe anajua kuwa ni propaganda lakini mrusi na ukraine wanajua ni kweli. Waukraine wanapata moyo, warusi habari zinawachanganya wanazidisha maandamano. Hichi ndicho ulichokisema ndugu yangu😃😃
 
China soko la bidhaa zake lipo Ulaya na Marekani .Hayupo Tayari kutoswa na Hizo nchi.
Ameona Bora Putin apambane na hali yake!
 
warusi wa mchambawima, mwembetogwa, matombo, mwembekiuno, kwa mpalange wana hasira hao na wanacomment kwa jazba kama babu yao Putin
😂😂😂 unajua haya mambo yanachekesha sana. Kuna mmoja huku anasema kuna mambo anayajua ambayo warusi hawajayajua na yanawachanganya kweli.😂😂😂😂
 
Sawa,acha ukraine asaidiwe yeye hana uwezo,naona ufaransa tayari wanampa msaada wa silaha
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine amesema Uturuki imekubali kufungia meli za Urusi kupita straits za Black sea. Ikitokea hivyo meli za Urusi hazitapita kwenda kushambulia Ukraine mpaka watumie bandari iliyopo Crimea
Mzee hiyo taarifa ni ya uongo! Ukraine wanafanya propaganda nyingi sana zinazowasaidia kipindi hiki cha vita. Warusi wakizisoma zinawachanganya na waanaandamana nchini kwao. Hivyo Putin anapata pressure ndani ya nchi.

Kingine ni morali. Ina busti morali ya jeshi na raia ndani ya nchi kupambana na Urusi. Taarifa uliyoiweka mamlaka ya Uturuki imekanusha baada ya Zelensky ku-tweet hivyo. Nusu saa iliyopita walishakanusha hiyo habari.

 
Apo n Kama dongo tu kwa NATO means wanaweza kumsaidia mrusi akizidiwa kingine China anawaonesha kuwa Russia n nchi yenye nguvu kubwa Sana Dunian
 
Sio rahisi US kuingia vitani US na Russia top nuclear powers kuna MAD Mutual Assured Destructions wote wana maelfu ya powerfull nuclear weapons ambayo ukimshambulia mwenzako na wewe unashambuliwa pia.

Nuclear detterence ni ngumu sana kwa nchi zenye nuclear weapons kushambuliana itaishia kupigana kwa non nuclear weapons tu
 
Kashata zinakuja muda gani maana kahawa itapoa
 
Mtanzania wewe anajua kuwa ni propaganda lakini mrusi na ukraine wanajua ni kweli. Waukraine wanapata moyo, warusi habari zinawachanganya wanazidisha maandamano. Hichi ndicho ulichokisema ndugu yangu😃😃
Unachokataa ni nini? Hii ni taarifa ya Zelensky.



Hii ni taarifa ya kutoka Uturuki kukanusha hiya taarifa.

Ni juu yako! Kuchagua kuamini au kutoamini. Muda huu An-26 ya Ukraine imelipuliwa.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine amesema Uturuki imekubali kufungia meli za Urusi kupita straits za Black sea. Ikitokea hivyo meli za Urusi hazitapita kwenda kushambulia Ukraine mpaka watumie bandari iliyopo Crimea
Hii habari ya zuio la Black Sea ina mkanganyiko kidogo, maana rais wa Ukraine ameisema kama request muda mfupi uliopita. Imezua mjadala maana kuna vyanzo vingine vinadai kuwa Uturuki haijathibitisha kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…