Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

inaitwa counter target
 
Huoni aibu kuandika habari ya kutoka source kama BBC?
 
Kuhusu shambulio kwenye bandari ya Berdyansk (tazama video juu kidogo):

Ukraine said on Thursday they destroyed Russian navy landing ship Orsk in an attack on a Russian-occupied port facility in the city of Berdyansk.

Ukrainian officials didn’t say how the attack was carried out, but video shows other Russian vessels fleeing the area as smoke rises over the port, The Wall Street Journal reported.

Berdyansk is one of the few cities Russia has been able to seize since the start of the war, though Ukrainian citizens regularly protest the invading soldiers.


When the Orsk arrived on Monday, Russia's army TV station Zvezda boasted of their new capabilities.

“The southern flank of the special operation can now receive anything, including armor and ammunition, at any time,” Zvezda said at the time, per the Journal. “The port, and the entire city, are under reliable protection of the Russian air defenses.”

Russia did not confirm the attack on the ship.
Chanzo: Ukraine says Russian landing ship destroyed
 
Mkuu naona bado upo ndotoni amka usije kujikojolea, hivi kwa akili yako kabisa unategemea Vita kamili ianze halafu Japan awe upande wa USA amabaye aliua watu wake maelf kwa maelf kwa mabomu ya Nyuklia basi labda siku hiyo Viongozi na Wananchi wote wawe wamelala kama wewe.
Mkuu hivi unategemea Vita kamili ianze na Japani ambaye watu wake waliuwawa maelf na maelf kwa mambomu ya Nuclear na USA,awe upande wa USA labda siku hizo viongozi na Wananchi wa Japan warogwe.

Iwapo vita kamili ikitokea Nchi pekee kutoka Asia inayoweza kuwa upande wa USA ni South Korea-na sidhani kama wataweza Ku support kwa chochote maana Kiduku atakuwa anawapumulia kisogoni,China na Japani kwa pembeni.
 
Mbona maelezo yako ni mengi na hayana uhusiano na habari uliyoileta.

Habari ni kwamba BBC wamepokea video kutoka Ukraine ikionesha meli inayodhaniwa ni ya Urusi ikishambuliwa, wameeleza habari haijathibitishwa. Ni simple tu hivyo.
 
WARUSI WEUSI BANA WAO WANATAKA HABARI KUWA URUSI INASHINDA NDO WANASEMA HABARI ZA UKWELI, NI MWEZI SASA WATU WANATAPATA PALE UKRAINE😂😂😂
 
Mbona maelezo yako ni mengi na hayana uhusiano na habari uliyoileta.

Habari ni kwamba BBC wamepokea video kutoka Ukraine ikionesha meli inayodhaniwa ni ya Urusi ikishambuliwa, wameeleza habari haijathibitishwa. Ni simple tu hivyo.
Mimi nimejifunza ni uanahabari bora kama mwanahabari anasema waziwazi hali ya habari yake ni nini (pamoja na kutangaza makosa kama yanatokea). Ambayo kweli si hali ya matangazo mengi (nisiyaite "habari") katika thread hii.

Lakini nilicholenga ni kweli kuona kwamba Ukraine walifaulu kupiga jeshi la maji la Urusi , tena katika bandari waliotangaza ni "salama".
 
Western media BBC, CNN, ABC, DW habari zao ziko biased, tafuteni habari za arabya na aljazeeza.
Al jazeera haina utofauti na BBC. Hawajaanza kuegemea magharibi kwenye mzozo huu tu kuna historia ndefu ya al jazeera kutumika kueneza propaganda kuanzia vita vya Iraq mwanzoni wa miaka ya 2000, Libya, Syria na sasa Urusi.

Habari za palestine ndio kidogo wanajitahidi kubalance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…