LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yeye: They have a strong army.
Wewe: Respect bro

Yeye: In Africa, they also talk about this situation? Or did you watch American news?
Wewe: Africa there support you 100% but media not show.

Mimi: WTF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kama kinawezekana kwani wao wana nini! . unafahamu kuna watu wanataka
chambo tu
 
Yeye: They have a strong army.
Wewe: Respect bro

Yeye: In Africa, they also talk about this situation? Or did you watch American news?
Wewe: Africa there support you 100% but media not show.

Mimi: WTF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

inamaana hata ukifanyiwa ubaya na mwenzako utakubari kukaa kimya
 
Putina anataka kurudisha himaya ya USSR kimabavu
 
Mmmh
 
Suala la teknolojia ya silaha .......Basi usije Kuwadharau Russia .......Hawa jamaa ni waya ya umeme dj afro (2015)

Rejea kipindi cha Cuban misile crisis 1962 wakati USSR anapeleka misiles pale Cuba ........USA alikuwa anafuatilia kila kilichoendelea pale ....Cuba kwa kutumia hizo satellites. But alidanganywa

But kilichotokea ni kwamba .......eneo linalotengenezwa hizo Nyuklia lilikuwa limefichwa......hizo satellites pale hazikuona kitu.....

Ghafla wakashangaa Crushave ....ana declare ...Nyuklia misiles
 
Aingie tuu aone atakavyofanywa kama Iran kwenye uchumi hadi watamtimua wa Russia wenyewe.
 
Ukraine hawana nyuklia walizikabidhi kwa Russia miaka 25 iliyopita. Ukraine ya Sasa ni dhaifu Sana, Sana kupigana na Russia.
Mwaka 2014 Russia ilitumia siku moja tu kuichukua Crimea.
Mwaka 2008 ilitumia siku tano tu kuizima Georgia na kutwaa majimbo yake ya Abkhazia na....
Pia walitumia siku chache tu kuifanya Ukraine isitawalike coz majimbo matatu yako chini ya waasi eg luhansk nk.
Waukraine wanaogopa kupoteza Kila kitu hata pengine majimbo haya yakstwaliwa na warusi kibabe
 
Ukrain anatandikwa muda sio mrefu jamaa kampania make raia wa kwenye maeneo ya waasi wamesafirishwa kwa muda na kuwekwa kwenye makambi ya wakimbizi huko urusi
 
Iskander je
 
So Putin ameamua kuunda kundi la uasi halafu anajifanya yeye na taifa lake hawaingii vitani !? Aiseee hawajamaa wanashida Sana [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…