Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Umeangalia na angle ya wauza silaha na test ya silaha mpya? Maana vita zina wafaidika wake.Hakuna kitu Marekani na Wamagharibi wenzie watafanya zaidi ya vikwazo vya kiuchumi na propaganda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeangalia na angle ya wauza silaha na test ya silaha mpya? Maana vita zina wafaidika wake.Hakuna kitu Marekani na Wamagharibi wenzie watafanya zaidi ya vikwazo vya kiuchumi na propaganda tu.
Watu Wana kufa kila siku mjomba kwa sababu nyingine tofauti tofauti kifo ndio uhalisia wetu viumbe haiUjinga tu. Putin na Biden na wadau wote wanaohatarisha usalama wa dunia ni WAJINGA. Wanajeshi watakufa, raia watakufa ili wao wasifiwe na watu aina yako.
Daaah bonge la biti [emoji16][emoji16]To anyone who would consider interfering from the outside - if you do, you will face consequences greater than any you have faced in history,’ ........Rais Makini.
Kina nani?Mmeanza kulia Lia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Well saidHiyo haizuiliki ipo hata kabla ya dini zote na itakwepo labda dunia ipasuliwe, ndipo itapumzika na mambo ya vita. Isipokuwa ombea isitokee eneo lako tu.
Wewe ndio mjinga, jiulize kwanza kwanini hao wanajeshi unaowatetea kuu wawa kwanin wanakubali kuuwawa. Kifupi nataka nikwambie mpka hapa tulipofika kwa kila jambo kuna watu waliuwawa/walimwaga damuUjinga tu. Putin na Biden na wadau wote wanaohatarisha usalama wa dunia ni WAJINGA. Wanajeshi watakufa, raia watakufa ili wao wasifiwe na watu aina yako.
Hebu tuambie utaratibu wa kufa ulivyo.Ni hoja. Watu wanakufa kama sehemu ya asili kuwa lazima tutakufa ili tupishe wengine, kuna utaratibu na sio kufa kwa kuuana kwa idadi kubwa na kuharibu mazingira na mabomu.
Sure! He is a true Russian patriot.I want presidents who won't be intimidated when defending their due rights!
Kifo kina utaratibu wake. Tunakufa kwa utaratibu maalum. Silaha za nyuklia zikitumika ipasavyo hata wewe hutakuwepo hapa kusema watu wanakufa kila siku mjomba.Watu Wana kufa kila siku mjomba kwa sababu nyingine tofauti tofauti kifo ndio uhalisia wetu viumbe hai
Natural death. Sio kuuna kwa halaiki kwa kutumia mabomu. Unaelewa sema nahsi utakuwa mmarekani au mrusia.Hebu tuambie utaratibu wa kufa ulivyo.
Masilahi ya Urusi ni NATO kuwa naye mbali.Hakuna ujiniasi ni ujinga tu na ubabe wa Kikondoo umemjaa. Wanaokuja kuteseka ni raia wa kawaida maana yeye na familia yake wanalishwa hata kwa senti ya mwisho ya serikali. Kuivamia Ukraine bila sababu ya msingi eti kuonesha wewe ni mbabe ni ujinga. Yeye kajiunga na China na Irani nani kamzuia, mwenzie kusema anajiunga na NATO ni dhambi? Uhuru wa Ukraine anao yeye Urusi?
Umekuwa brainwashed na propaganda za Wamagharibi.Alikuwepo Hitler,sasa yupo wapi?Wala sio genious. Ni vile watu wanaojielewa hawataki vita. Putin ni mgonjwa wa akili ana paranoia huyu.
Ilikuwa zamani. Sasa hivi hakuna kitu.Nakukumbusha tu kuwa ndio walioiangusha USSR.
Sio rahisi kupelekea mapambano ya vita lakini ktk eneo la hujuma, US yupo vizuri.
Binaadamu hawezi kukaa kwa amani toa huo utandu wa fikira kichwani mwako , binaadamu in direct anazaliwa na ubinafsi pamoja na tamaa, Pindi anapokuwa na akili timamu anapo soma na kuelimika hujitahidi kushindana na ubinafsi pamoja na tamaa aliyonayo lakini kwa kuwa ni kitu ambacho huwa kipo ndani yake hujitahidi kukipunguza na sio kukimaliza kabisa , so binaadamu Ni kiumbe kinacho penda kutawala (Ni sehemu ya uchochezi wa tamaa) inapo tokea ukatawala of course hauwezi kutawala bila ya kuwa na power ,Sisi ni binadamu tunaweza sana kukaa kwa amani. Kuna watu wanaabudu legacy ndo huwa wanapenda vita. Ni tatizo la kisaikolojia.
Sasa akishakuwa raisi wa mataifa makubwa kama hao wa urusi na marekani ndo watu wanakufa kama kuku kulinda legacy zao.
Kabisa [emoji457]Uwepo wa urusi ni muhimu sana ili kubalance shobo!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
ndio mnatambua leo eeh poleni na mkae kwakutulia kabisaHii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Vita haipiganwi kwenye ardhi ya Urusi, ila Ukraine. Hapo nani ana hasara?Umeangalia na angle ya wauza silaha na test ya silaha mpya? Maana vita zina wafaidika wake.
Ni Mtanzania. Kifo ni kifo tu.Natural death. Sio kuuna kwa halaiki kwa kutumia mabomu. Unaelewa sema nahsi utakuwa mmarekani au mrusia.