LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sijaelewa bado
Tangu Russia alipoanza kutishia Ukraine. Makampuni mengi makubwa ya Russia yaliyopo kwenye soko la hisa ambayo yana export. Shares zao zilianza kupoteza thamani kutoka na investors kuogopa sanctions.

Leo asubuhi baadhi ya makampuni kama lukoil yalipoteza zaidi ya asilimia 50!

Kilichonivutia kununua( sio demo account) ni kutoka na asilimia kubwa ya shares za hayo Makampuni zimesajiliwa kwenye Moscow Stock Exchange ambayo wame suspend trading kutoka na Russia kuivamia Ukraine. Na asilimia ndogo ya hizo shares zimesajiliwa kwenye masoko ya nje kama LSE.

Kwa hiyo ni obvious kama kampuni imepozeteza asilimia zaidi ya 50 kwenye soko la nje. Ita gain some later in the day. Kwa sababu itakayo determine thamani ya share ni soko la hisa la Russia kuliko sajiliwa asilimia kubwa ya shares. Na nina uhakika Russia wata resume trading wakati panic imepungua
 
Nimekusoma
 
Kwa mtu yoyote akinunua shares za hayo makampuni kama investment ya muda mrefu. Nina uhakika uta gain 50% -100%.
Soma tena hii ipo baada ya miezi michache utanielewa nilichosema vizuri!
 
World War II is generally considered to have begun on 1 September 1939, when Nazi Germany, under Adolf Hitler, invaded Poland. The United Kingdom and France subsequently declared war on Germany on 3 September. Under the Molotov–Ribbentrop Pact of August 1939, Germany and the Soviet Union had partitioned Poland and marked out their "spheres of influence" across Finland, Estonia, Latvia, Lithuania and Romania. From late 1939 to early 1941, in a series of campaigns and treaties, Germany conquered or controlled much of continental Europe, and formed the Axis alliance with Italy and Japan (along with other countries later on). Following the onset of campaigns in North Africa and East Africa, and the fall of France in mid-1940, the war continued primarily between the European Axis powers and the British Empire, with war in the Balkans, the aerial Battle of Britain, the Blitz of the UK, and the Battle of the Atlantic. On 22 June 1941, Germany led the European Axis powers in an invasion of the Soviet Union, opening the Eastern Front, the largest land theatre of war in history.

Je mambo yatajirudia?
Screenshot_2022-02-24-15-12-01.png
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza "operesheni ya kijeshi" katika eneo la Donbas nchini Ukraine.ambapo sasa watu wengi katika mji mkuu wa Kyiv nchini Ukraine wamekimbilia kwenye vituo vya treni vya chini ya ardhi kupata makazi huku wengine wakipanda mabasi kuondoka.
 
Sijaipenda kabisa move hii ya pili.

Urusi imevamia Ukraine kijeshi nchi hiyo kwa kutumia majeshi ya anga,ardhini na nchi kavu.

Wamevamia kutoka Kila upande wa Ukraine.
Wanajeshi wa Urusi walionekana wakiingia mijini kutoka Kila upande.

Urusi imevamia Ukraine yote.
sio Tena majimbo yanayotaka kujitenga ya Donestk na Luhansk.

Jeshi la Urusi limevamia kwa kulenga na kupiga miji mikubwa kama Kiev,mariupol,Kharkiv,Odessa na Kramatorsk.

wenyewe Urusi wanasema wamepigwa sehemu za kijeshi TU na wala hawatashambulia maeneo ya kiraia.

Putin amesema lengo ni kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Ukraine.

Nimeshuhudia kupitia tv jengo moja kubwa nje Kuna askari wa Ukraine wanachoma nyaraka,mtangazaji anasema huenda ni jengo la Kijasusi. Helkopta za Urusi zimaonekana kutawala katika miji iliyovamiwa.

Karibu Mkuu wa NATO akijibu maswali amatanabahisha kuwa NATO haitapeleka wanajeshi wake. Marekani imelaaani na rais wa Marekani anaiombea kwa Mungu Ukraine katika kipindi hiki kigumu.

Waziri Mkuu wa UK amesema vikwazo vikali vitaongezwa.

Putin anasema hii ni Special operation yake ni kwa ajili ya "kui "neutrilize country's military capacity," kuiodhiofisha kijeshi Ukraine.

Rais wa Beralus amesema majeshi yake hayajaingia Ukraine kuongozana na Urusi ila yakihitajika yataingia.

Aisee hii Dunia haiko swa kabisa. Ukweli ni kwamba majeshi ya Urusi yanajipigia TU Kila yanapotaka

NATO wamemtosa Ukraine, Stoltenberg karibu Mkuu wa NATO anasema NATO jukumu lake ni kulinda Wanachama wake haitaingiza jeshi. Sasa sijui walipokua wanasogeza majeshi sijui walikua wanafikiria nini.sijui walipeleka ili kupiga picha!

Marekani kamtosa Ukraine,
Uingereza kamtosa ukraine.

Kusema kweli kutoka moyoni huruma imeniingia sikupenda move hii ya pili.
 
Back
Top Bottom