Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Vipi sasa? Njoo hapaWataingia wapi na wakati wameshakimbia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi sasa? Njoo hapaWataingia wapi na wakati wameshakimbia?
na wote wanaomuunga mkono ni wapumbavu wasiojitambua kama mizoga.... Putin ni mwehu; the Hitler of our times!
Tangu Russia alipoanza kutishia Ukraine. Makampuni mengi makubwa ya Russia yaliyopo kwenye soko la hisa ambayo yana export. Shares zao zilianza kupoteza thamani kutoka na investors kuogopa sanctions.Sijaelewa bado
NimekusomaTangu Russia alipoanza kutishia Ukraine. Makampuni mengi makubwa ya Russia yaliyopo kwenye soko la hisa ambayo yana export. Shares zao zilianza kupoteza thamani kutoka na investors kuogopa sanctions.
Leo asubuhi baadhi ya makampuni kama lukoil yalipoteza zaidi ya asilimia 50!
Kilichonivutia kununua( sio demo account) ni kutoka na asilimia kubwa ya shares za hayo Makampuni zimesajiliwa kwenye Moscow Stock Exchange ambayo wame suspend trading kutoka na Russia kuivamia Ukraine. Na asilimia ndogo ya hizo shares zimesajiliwa kwenye masoko ya nje kama LSE.
Kwa hiyo ni obvious kama kampuni imepozeteza asilimia zaidi ya 50 kwenye soko la nje. Ita gain some later in the day. Kwa sababu itakayo determine thamani ya share ni soko la hisa la Russia kuliko sajiliwa asilimia kubwa ya shares. Na nina uhakika Russia wata resume trading wakati panic imepungua
Achana na makisio yasiyo na maana, na tukifahamiana majina halisi humu tutakimbiana na tutaanza unafiki. Kisio lako si sahihi.
Mkuu siwezi kupost share dealing account yangu hapa. Kuna sehemu siwezi ku edit.
Huyu jamaa hata mimi nimemshangaaEti urusi inaogopa kuivamia Ukraine [emoji16] unaongea ukiwa tandale or gongolamboto nini mzehe!!!!!!
Mi nimewatumia debe la mahindi na Safi ya maharageNi hatari
Tulihoji Jana, Je Watanzania waliotwama huko Ukraine ,tumewasaidiaje????
Hana dua yakuwaombeaView attachment 2129237
Marekani ni hatari! Anachochea vita, then anasema ANAWAOMBEA watu wa Ukraine!
You've just answered. Now ask the question, pls.Mwisho wake nini,
Wakishateka miji yote ndo wanachukua umiliki wa nchi?
Ukraine itaitwa sehemu ya Russia..?You've just answered. Now ask the question, pls.
Uko pale Kremlin, au?Putin anataka kurejesha Hali yake ya mipaka ya zamani kabla ya kuvunjika,anajikosha tuu.
View attachment 2127581
View attachment 2127582
CNN inakupotosha sanaSijaipenda kabisa move hii ya pili.
Urusi imevamia Ukraine kijeshi nchi hiyo kwa kutumia majeshi ya anga,ardhini na nchi kavu...