Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uzi mmoja nilisomaga humu ndani nikakutana na comment ya anti akisema eti wanataka vita😩😩I was like we kenge ujaijua vita kweli…Binadam sie wakatili sana. Dahh hii video inanikumbusha ule msemo "vita isikie kwa wengine" Tanzania tumebarikiwa amani.
Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.Huwezi kupinga moja kwa moja uwezekano wa kutokea vita vya nuklia, anaweza kutokea kiongozi mmoja juha na silaha hizo zikatumika licha ya madhara yake kuonekana huko Japan, linaloweza kutokea ni hivi; Hasimu mmoja mwenye silaha za nyuklia anaweza kudhani kwamba kutumia silaha hizo ni strategy ya kumuwahi hasimu yake mwenye hizo silaha, yote kwa yote vita vya nyuklia vikitokea hivi sasa Russia anayo nafasi kubwa kuibuka kidedea kwani defensive shields zake ni more advanced kwa muda huu hovyo nafasi yake ya kujilinda ni kubwa sana kuliko nchi yoyote duniani.
Sikatai madhara naye lazima yampate kwani vita ni vita tu.
Nitumie video niiione
Mbabe putin kama Huna bando tumia freebasics ya Halotel log in JFWadau Putin hana bando kasema mtu yeyote amrushie hata la jero.
zinafananaje?Kwa nini nisifananishe?????
Hajui historia huyo, HITLER alipigwa ndani nje.Huyo Hitler alipigwa na Warusi na siyo taifa lingine kamaulikuwa hujui sasa ujue
Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia).
Fake news, China ka relax masharti ya wheat importsThis is very important na Putin atajutia View attachment 2131149View attachment 2131151View attachment 2131152View attachment 2131153
Kama Israel ni taifa la Mungu... Je mataifa mengine ni ya Shetani..?? Acheni kuipa uzito usistahili hiyo IsraelMi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.
Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
Brazil hii nayoijua???,,Wakati nchi kama China Brazil India zinaendelea kukuza uchumi wao na kuendelea kuwa kwenye top Ten kwa maana ya GDP Russia (ambaye top ten hayupo) anapambana na vikwazo vya kiuchumi kwanza mpaka aje atoke hapo kachoka hatareeee.