Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee UN Charter mbona iko wazi sana? Kuvamia nchi ni kosa. Kwa mfano Marekani ilipovamia Iraq ilifanya kosa, Iraq ilipovamia Kuwait ilifanya kosa, Iraq ilipovamia Iran ilifanya kosa, n.k. Putin alipovamia Ukraine amekiuka UN Charter. Kama kuna matatizo au migogoro baina ya nchi yanatakiwa yapelekwe UN yajadiliwe na yasuluhishwe. Ndiyo sababu ya UN kuundwa.Tatizo lililopo hapa media za West ndio zimedominate sana kwa hio mtu kama wewe ni ngumu sana kupata ukweli.
Ngoja nijaribu kukupa sababu ya hii vita kitu ambacho media ZA West hawakisemi
Sababu kubwa ni eneo la Donbas, ambalo lina mikoa kadhaa.
Marekani anataka ku dominate hiyo sehemu kupitia Ukraine.
Mwaka 2014 kulitokea vita kubwa tu, chanzo ikiwa hilo eneo. Waasi ambao wanajiita wanajeshi wa Ukraine, wamekuwa wakiua watu wa eneo hilo kwa miaka zaidi ya 5 sasa.
Sasa hivi karibuni waliambiwa waondoke, wasipoondoka wataondolewa kinguvu.
Baada ya kugoma ndo Russia kaanza kusambaratisha kambi zote za kijeshi za Ukraine.
Niendelee au unaona chenga chenga??
Hizi ni info.za ndani sio ZA CNN na BBC
kuna watu wanaenda kuumiaICMB ndio kwanza lina vumbi, tunataka kutest kwenda bara jengine
😂😂😂😂Moyo wa kiume na wakipekee huo, vinabo bado wamejibanza kwenye machaka waskilizie vita iishe waendeleze kampeni yao ya 50/50
Ndugu yangu mimi nadhani huna data kabisa za vita vya Iraq, kwanza kukusahihisha tu vita vilianzia kutoka Kuwait na Kuwait na Iraq ni kama Tanga na Mombasa hilo moja, pili Saddam hakuwa kama alivyokuwa akisema ila waarabu wanajulikana ni wapiganaji. Kukusahihisha ila vita first desert storm nchi zote unazizijuwa wewe super power mpaka wasindikizaji walijikusanya Kuwait ndio vita ilianzia pale na vilichukuwa siku 43 kuiweka chini Baghdad wanaume walipigana, USA na washirika wake wote walijumuika nchi zote. Nenda Libya siku ngapi ziliwachukuwa kuichukuwa Libya? wewe unashangaa siku mbili watu wako city centre Samora evenue huku dunia nzima ikiwa upande wako? kasome historyKutoka Marekani Hadi Iraq ni 6800Km. Ilichukua siku 17 Marekani Kupeleka Majeshi yake laki moja na Nusu nchini Kuwait. Vita vilianza siku ya 20 ambapo ndani ya siku 7 Saddam alikuwa kashakimbia. Pia,Sadam Hussein alikuwa na Siraha Nyingi na Jeshi kubwa Kuliko Ukraine.
Kwa upande Mwingine,Russia hata kwa Mguu unaingia nchini Ukraine. Lakini Leo siku ya 3 bado ngoma mbichi. Pia,Jeshi la Ukraine limeshitukizwa make Putin na Lavron walisema ni Propaganda za Marekani wao hawatavamia Ukraine kamwe,badala yake wakavamia.
Yaani,Nchi kubwa Kama Russia inaishitukiza nchi ndogo Kama Ukraine? Hii ni Aibu kubwa Sana.
Mwisho wa Putin ni Mwisho wa Russia ? Jiulize Sentiments za Average Russian kuhusu Other European Countries na AmericaMwisho wa hii movie ni Russia kufirisika kabisa kiuchumi na hatimaye ndio utakuwa mwisho wa urais wa Putin pia Russia atalazimishwa kulipa War Reparations kwa Ukraine.
Unadhani wote wanafurahia kudeal na kina Europe na America; Anaweza kutokea China; Nchi za Kiarabu pamoja na wasiofungamana na upande wowoteRussia hana miujiza ya kuweza kumuokoa dhidi ya kuporomoka kwa uchumi wake kwa sababu kuanzia sasa hawezi kuuza chochote nje baada ya kuondolewa kwenye mfumo wa malipo wa SWIFT na
Kwanini hata watu wanatumia dollar..., China, Brazil na Russia na wengine wakiamua kuanza kutumia na ku-deal na currency nyingine unadhani ni nani wa kupoteza zaidi ya America ?pia hawaruhusiwi kutumia dola.
Vita ya pili ya dunia Uingereza ilibanwa ikawa haina supplies. Marekani ilitengeneza meli ndogo ndogo nyingi zinaitwa Liberty, meli inabeba tani 10,600. Tangu 1941 hadi 1945 meli 2,700+ ziliundwa kwa kutumia shipyards 18 za Marekani. Wastani wa meli moja kuundwa kwa siku tatu. Na kipindi kile hakuna kompyuta, welding ndio imegundulika haijazoeleka. Leo kuna hadi robotics na 3D printing na vyanzo vya gesi sehemu kibao. Si unajaza silaha Mediterranean sea unabeba gesi kutoka Qatar kwa tankers.Ataibeba kwenye meli mpaka ulaya?
Viazi tena?sio viapo?Moja ya viazi wanachokula wanajeshi wa nje ni kuwa kupoteza maisha kwa kuilinda na kuitetea nchi yako.
Hao ni wazalendo wa teuziUzalendo uliotukuka na atakumbukwa kupata maumivu sababu ya nchi yake, watu wengine ni wazalendo wa vyama tawala na sio nchi zao, hata wakiona upuuzi wanakaa kimya tu
hv huo mguu kwenye profile ni wako?Wote alowapigia 27 hawakupokea simu, hapa nawaza si ampigie mama? Si chifu ana huruma anaweza tuma hata majeshi yake yasaidie Ukraine.
Shirika la kujiami la nchi za magaribi ,ningekuwa Rais wa urusi nisingekubali NATO waweke kambiza zao maana wanatandika vibaya sana na kuchakaza kabisa,Kwan uyo NATO ndo Nini maana nasikia NATO NATO akitajwa
Kwanini Urusi imeshitukiza Uvamizi? Walisema hawatavamia lakini wakavamia,huoni waliogopa Jeshi la Ukraine kujipanga na ndio maana wakateka maeneo mengi faster. Lakini Leo ni siku ya 3 bado Kievu imeshindikana kutekwa. Baadhi ya Kambi za Jeshi za Ukraine Zimekombolewa.Ndugu yangu mimi nadhani huna data kabisa za vita vya Iraq, kwanza kukusahihisha tu vita vilianzia kutoka Kuwait na Kuwait na Iraq ni kama Tanga na Mombasa hilo moja, pili Saddam hakuwa kama alivyokuwa akisema ila waarabu wanajulikana ni wapiganaji. Kukusahihisha ila vita first desert storm nchi zote unazizijuwa wewe super power mpaka wasindikizaji walijikusanya Kuwait ndio vita ilianzia pale na vilichukuwa siku 43 kuiweka chini Baghdad wanaume walipigana, USA na washirika wake wote walijumuika nchi zote. Nenda Libya siku ngapi ziliwachukuwa kuichukuwa Libya? wewe unashangaa siku mbili watu wako city centre Samora evenue huku dunia nzima ikiwa upande wako? kasome history