LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Magaidi wa ISIS wapo kuzimu kitambo wanamalizia kutafuna mabikra 70 waliohadiwa, huku wakisumuliana moto wa putin.
wakisha vunja bikra wanaongezewa tena wengine ama sasa wanaendelea na hao manyap nyap?

Ila huyu aliyewahadaa watu waue watapewa mabikra, shikamooo
 
Anazungumza Waziri wa ulinzi Ujerumani:
"Putin hana woga Tena wa kuwashambulia washirika wa NATO, Putin Hatabiriki KABISA kwa Sasa"

JUST IN - German Defense Minister Lambrecht fears #Putin is no longer afraid of attacking NATO partners.

Lambrecht: "He is not predictable at all right now."

Chanzo: JUST IN, FRANCE 24
Credits: STRUGGLE MAN

My take: KAULI HII inanirejesha kwenye uhalisia huu kwamba,

Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.

Urusi ina Makombora 7500 ya Nyuklia kwa takwimu za NIT. Makombora 2500 yako tayari kufyatuliwa kuelekea Endeo lolote Lile Duniani litakapotumwa. Marekani ina Miji mikubwa 358 na Majimbo 54. Kombora Moja linaugeuza mji kuwa Majivu kabisa. Kama Mrusi akituma Makombora yote 2500 kuelekea Marekani,Basi ndani ya dakika 30 hakutakuwa na USA Duniani.

Kwa Upande Mwingine,Marekani ina Makombora ya Nyuklia 6800. Kati ya hayo, 3500 yako tayari kufyatuliwa ndani ya Dakika 5 wakipokea Order na Direction ya kuyafurumusha. Urusi ina Miji mikubwa 43. Endapo USA akiona Russia kashatuma Makombora Yake kuelekea Marekani na hakuna jinsi Basi ndani ya Dakika 5, Makombora 3500 ya Marekani yatakuwa njiani kuelekea Urusi kuteketeza Miji 43,Ndani ya Nusu saa hakutakuwa na Urusi Tena. Hiyo inaitwa MUTUAL ASSURED DESTRUCTION(MAD).

Haya Sasa,Tuseme wewe ni Raisi wa Russia,utarusha hayo Makombora kuelekea Marekani au utafanya juhudi za majadiliano?

Mwishoni mwa Vita baridi kabisa (1988) Nchi za Marekani na Urusi Zilikuwa na Akiba ya Makombora 127,000 (Laki moja na elfu ishirini na Saba).
Kati ya hayo makombora 58,000 ni ya Urusi na 69,000 ni ya USA. Ebu fikilia. Kombora Moja linafuta mji mmoja wa Dar. Je,Dunia ina Miji 127,000? Jibu ni Hapana.

Kwahiyo ndugu zangu tusiwe na tempa unapokuwa unachangia hizi mada za RUSSIA-UKRAINE CRISISS ,Tutumie Logic tutaelewa tu.

Urusi na Marekani Hawa wote wanajuana,wakikutana Anga Flani Kila mmoja anaangalia Nani anamaslahi makubwa na anamwachia ili kuepusha Vita ya MAANGAMIZI.

TUJIKUMBUSHE KIDOGO,
Georgia Mwaka 2008 Marekani hakuingiza mguu kusaidia Nchi hiyo dhidi ya Uvamizi wa Russia kwasababu Marekani anajua hapo Russia ana maslahi Makubwa.

Iraq mwaka 2003 Russia hakutia Mguu kwasababu Marekani alikuwa na Maslahi Makubwa.

Libya mwaka 2011 Russia hakutia Mguu kwasababu USA alikuwa na Maslahi Makubwa.

Venezuera Marekani aliogopa Msululu wa wakimbizi kumiminika nchini Marekani hata Kama angeliamua Vita Urusi angelipisha Coz pale ni Maslahi Makubwa ya kiusalama kwa USA kuliko russia.

Syria pale Wote Urusi na USA wanamaslahi na ndio maana mpaka Sasa wameigawana kijanja. Urusi inamhitaji Assad kwasababu Anamdai pesa ndefu kwa kumuuzia silaha n.k. Marekani anahitaji Mafuta ndio maana mpaka leo Majeshi ya Marekani yapo Syria kulinda Visima vya Mafuta.

Kuhusu Ukraine,hata Marekani anajua kabisa Maslahi ya Urusi ni Makubwa kwahiyo lazima akae pembeni. Atashiriki tu kijanja kama tunavyoona lakini sio moja kwa moja.

Credits: MTZ 255Dar
 
Wanaume wa kinondoni sidhan kama wanaweza kuthubutu [emoji4]
 
Wewe uko wapi mkuu tandale au ??,Nyie si ndio mlikuwa mnapinga USA kuvamia waarabu,mkijifanya watetezi wa haki??..leo imekuaje tena mmegeuka mna support warusi kuua watu Ukraine??..Warusi weusi hamnaga akili aisee...Whats the difference bt US kuivamia Iraq na Russia kuvamia Ukraine??....
Umejificha ficha mwisho umeonyesha kua una support USA

Wewe mbona wakati US anaua watu huko Afghanistan na Iraq ulikua unachekelea? Au wale sio watu?

Mmarekani wa Buza una hali mbaya sana huko sasa hivi.
 
Kwa sasa inabidi kila unachosikiliza kichujwe na Chujio la Propaganda....

Hao NATO wanamtakia mema PUTIN ? According to Putin yeye anawalinda hao Pro Russians waliopo Ukraine..., According to Ukraine hao ni Waasi sasa which is which what is what inabidi kwenda deep na it depends unasimamia upande gani.... Ukizingatia this was once all USSR...,
 
Mwamba kweli hatabiriki, hata USA amekwisha ingiwa na baridi kutokana intelijensia zake alizopata kuhusu mwamba na mikakati yake.

Muda wowote atamchapa kiherehere yoyote na "Inter Continental Ballistic Missile" yenye "Nuclear War Head". Ndio wajue jamaa yupo serious.
 
Gharama iko kila upande..
Kule Urusi wanakamata waandamanaji wanopinga vita hii. Urusi kwenyewe baadhi ya wananchi na baadhi ya Majenerali wa zamani hawataki hii vita..
Kwani wewe uliona wapi katika Nchi watu wote wakakubaliana,ukweli ni kuwa 95% ya Warusi wanataka wawe safe against US+NATO-anachokifanya Putin ni kutengeneza njia ya Urusi kuwa safe kwa miaka mingine mingi ijayo.
 
Wakuu mbona naanza kuhisi kuna mchezo unachezwa. Nahisi NATO na UN walifanya analysis mapema wakaona Urusi atavamia wakaamua wasubiri wapate justification ya kujibu na wasubiri kuona anaungwa mkono na nani. Sasa Putin yuko na vidagaa vya Chechen na Belarus, hana mbabe yeyote anayeunga mkono. Kwa sasa wanaamua watoe silaha kwa Ukraine.

Au NATO wamejishtukia baada ya kuona Ukraine imegoma kujisalimisha, response ya serikali na raia ni nzuri na wana spirit ya kupambana. Kwahiyo hata wakitoa silaha watumiaji wapo.

Au NATO walikuwa tiyari kuona Luhansk na Donetsk zinaanguka ila hawakujua kama Ukraine nzima itavamiwa. Baada ya kuona Putin anatishia madai mengine na kusemea wanachama wengine wa NATO waliojiunga baadae ikaonekana huyu mtu haaminiki ngoja tuisaidie Ukraine ili aone hatutakubali akija kwa mwanachama halisi.

Kikao cha jana jioni cha NATO plus Finland na Norway kuna siri itakuwa pale imeamuliwa. Naanza kuona response ya kina Biden haikuwa mbaya sana kama nilivyoona mwanzo. Maybe ni tunakusubiri upige wee dunia ikuone, alafu tukija utakosa visingizio vya kwamba sisi ndio tulianza
 
Marekani hakuwa na mpango wa kufika mapema Baghdad. Ukitafuta plans zao hawakuwa wanapiga mbio mbio kuingia mjini ndio maana hukuona popote mwanajeshi wa US anaiba vyakula wala kuishiwa mafuta njiani. Warusi wameanza ishiwa vyakula na mafuta, hawapati supplies that means hawakujipanga kutumia muda mwingi.

Russia haikuwa na upinzani mwanzo, imefyatua makombora na kuingia Ukraine kutokea pande tatu tofauti, imeshindwa kumaliza Ukrainian Airforce moja kwa moja. Ukraine imeanza resistance ikiwa imechelewa. Iraq walikuwa na silaha na wanajeshi wengi zaidi ya Ukraine ilivyo, jeshi lao lilikuwa mbali kuliko la Saudi Arabia, Qatar, UAE au Iran. Sasa hivi Ukraine hana uwezo wa kupiga jeshi lolote hapo nililotaja.

Kuwapa raia silaha sio maajabu wale ni conscripts na nchi inajua iko vitani siku nyingi hivyo mazoezi ya mgambo au JKT kama sisi huku wanayo, wale wengi pale sio kwamba bunduki ndio wamezishika mara ya kwanza. Israel mara zote inatumia conscripts na sijawahi sikia PM wake au kamanda anashtakiwa. South Korea kila mwanaume anapita JKT yao, ikitokea vita usitegemee hawatachukua silaha na vita ikiisha hawatoshtakiwa viongozi. Kinachokatazwa ni kutumia human shield kama wafanyavyo Hamas pale Gaza, unarmed civilians akifa ni tatizo ila mwenye silaha ni mpiganaji kama wengine
Kwa hiyo sasa hivi wana jeshi wa Urusi wanaiba chakula ?
je unakubalia na mm ya kwamba Urusi haijatumia nguvu kubwa sana na ndio maana vifo vya raia ni vichache tofauti na tulivyo tegemea?
 
Kama ulimsikia Zelensky alikuwa clear kwamba the aim ya Ukranian amry ni defense sio offensive war maana wanajua hawana resource kupigana offensive war,Wanachokifanya ni kuwasubir Russia infantry wajae target then wanawashambulia,hadi sasa tactick yao ime work 100%,hayo mengine ya kushambulia Moscow unasema wewe,ila Generals wa Ukraine wameshachagua tactic yao 'defensive'.
Halafu punguza hasira Russia watashinda vita ila chamoto lazima wakipate,na pia wataonyesha ulimwengu kwamba russian infantry haipo kama tulivyoaminishwa mwanzo...Hakuna kitu ngumu kama kupigana na mtu mwenye spirit na yuko tiyari kufa kutetea alichonacho,hiki ndio kinawaua warusi
We nae akili zako,sasa kama mpinzani wako amisha kuzunguka kila kona hapo choice yako automatically si lazima uwe defensive.
 
wakisha vunja bikra wanaongezewa tena wengine ama sasa wanaendelea na hao manyap nyap?

Ila huyu aliyewahadaa watu waue watapewa mabikra, shikamooo
Usicheze na brainwash, we uoni waganga na mitume wanavyovuna
 
Mwamba kweli hatabiriki, hata USA amekwisha ingiwa na baridi kutokana inteligensia zake alizopata kuhusu mwamba.

Muda wowote atamchapa kiherehere yoyote na "Inter Continental Ballistic Missile" yenye "Nuclear War Head". Ndio wajue jamaa yupo serious.
Hawezi kufanya hivyo..., vyote anavyofanya ni within plausible deniability vita kubwa ya kushinda ambayo sasa hivi hashindi ni political war against the world (anapigwa kwa propaganda balaa) sasa kuanza kupiga hata watu wa mbali itakuwa ngumu kushinda hii vita ya kisiasa / ki-propaganda...

Sababu kwa sasa ukiangalia kwa jicho la tatu...., Russia anachofanya yupo arguably within his right (kuwakaribisha Nato mpaka mlangoni ni kama kumkaribisha chawa kichwani..., pia kuna watu waliopo Ukraine (wanaoitwa waasi) wanataka kwenda Russia; Pia nadhani katika vitu Putin anavyotaka uitwe uchaguzi watu hao waamue (so called waasi) kama wanataka kubaki Ukraine au Russia....
 
wakisha vunja bikra wanaongezewa tena wengine ama sasa wanaendelea na hao manyap nyap?

Ila huyu aliyewahadaa watu waue watapewa mabikra, shikamooo
Wale imani yao ukiuliwa na mwanamke unazikosa bikira kuzimu thus Putin alitumia marubani wa kike kuwawahisha kuzimu
 
Kwani wewe uliona wapi katika Nchi watu wote wakakubaliana,ukweli ni kuwa 95% ya Warusi wanataka wawe safe against US+NATO-anachokifanya Putin ni kutengeneza njia ya Urusi kuwa safe kwa miaka mingine mingi ijayo.
Kachelewa....Tangu kusambaratika Soviet mpaka leo!!.....
Putin anazeeka vibaya.
 
Aisee UN Charter mbona iko wazi sana? Kuvamia nchi ni kosa. Kwa mfano Marekani ilipovamia Iraq ilifanya kosa, Iraq ilipovamia Kuwait ilifanya kosa, Iraq ilipovamia Iran ilifanya kosa, n.k. Putin alipovamia Ukraine amekiuka UN Charter. Kama kuna matatizo au migogoro baina ya nchi yanatakiwa yapelekwe UN yajadiliwe na yasuluhishwe. Ndiyo sababu ya UN kuundwa.
Upo sahihi

Ila marekani alipovamia middle east ulikuwa wapi kukemea?
 
Hawezi kufanya hivyo..., vyote anavyofanya ni within plausible deniability vita kubwa ya kushinda ambayo sasa hivi hashindi ni political war against the world (anapigwa kwa propaganda balaa) sasa kuanza kupiga hata watu wa mbali itakuwa ngumu kushinda hii vita ya kisiasa / ki-propaganda...

Sababu kwa sasa ukiangalia kwa jicho la tatu...., Russia anachofanya yupo arguably within his right (kuwakaribisha Nato mpaka mlangoni ni kama kumkaribisha chawa kichwani..., pia kuna watu waliopo Ukraine (wanaoitwa waasi) wanataka kwenda Russia; Pia nadhani katika vitu Putin anavyotaka uitwe uchaguzi watu hao waamue (so called waasi) kama wanataka kubaki Ukraine au Russia....
Watu wanadhani kufyatua makombora ya Nyuklia ni kama AK47...
Kufanya majaribio tu mtiti..
 
Aisee UN Charter mbona iko wazi sana? Kuvamia nchi ni kosa. Kwa mfano Marekani ilipovamia Iraq ilifanya kosa, Iraq ilipovamia Kuwait ilifanya kosa, Iraq ilipovamia Iran ilifanya kosa, n.k. Putin alipovamia Ukraine amekiuka UN Charter. Kama kuna matatizo au migogoro baina ya nchi yanatakiwa yapelekwe UN yajadiliwe na yasuluhishwe. Ndiyo sababu ya UN kuundwa.
Anachosema ameingia kwenye yale majimbo ili kuwalinda Raia wake (so called Waasi)..., By the way hii UN isiyo na Meno ambayo America ana VETO ?, Waulize Wapalestina na Issue za Israel na hawa So called UN (ni utata mtupu...)

Kwahio huenda kaamua kwanza atatue tatizo alafu ata-deal na consequences later....
 
Back
Top Bottom