LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuwapa silaha raia wakapambane kimya kimya hapo ndo serikali ya Ukraine imecheza maana mchana wanakua kama hawapo wanasoma mazingira ila usiku shughuli wanaipata si kitoto na kuna uwezekano mkubwa hao NATO washapenyeza wanajeshi wengi tu wanashinda kiraia kwenye majengo pamoja na wazawa
Msije hapa kusema RUSSIA anaua RAIA.
 
.
1220985019.jpg
 
Vita iko field ndugu.

Kwa mikwara na ahadi alizopewa Ukraine ulitegemea VoVa angeamsha jeshi kusogea Ukraine? Hayo ni maneno mepesi tu ya kawaida like kusema.. Tuko pamoja mkuu..

Mwenyewe Rais wa Ukraine kasanda na kuanza kulalamika yuko mwenyewe. Wale waliokuwa wamampa support hawaonekani.

Kumbuka korona iliharibu uchumi wa Dunia. Shughuli nyingi zilisimama. MA stock ya vitu yako ndani.. Wacha uchonganishi utokee watu wauze vitu waamshe uchumi uliodidimizwa Kwa covid. Sio kuendelea kujimaliza kiuchumi Kwa kupigana vita za kipuuzi.
Kwanini habari ya kupewa silaha unaona haina mashiko ila habari ya raisi kulia ametelekzwa unaiamini kiwepesi? Kwann hujafikiri ni propaganda ili kuifanya Urusi idhani yupo mwenyewe?
 
Kiongozi; Umesha elezwa kuwa; Vita sio kushinda peke yake; Kinachongaliwa ni adhari kiasi gani itabaki baada ya kushinda, hasa kwa Nchi ambayo Urusi inataka iwe chini ya himaya yake.
Urusi inajitahidi sana isiue raia au pengine raia wahusike kwa uchache iwezekanavyo na pia uharibifu usiwe mkubwa kwa raslimali muhimu za kuendesha Nchi nk. Unaona analenga nyia za mawasiliano na sio kupiga tu hovyo
Ingekuwa ni kupiga tu makombora bika kujali raia na madhara mengine, pengine ingechukua masaa kumaliza kazi....
Mimi siungi mkono kabisa hiyo vita, japo najua kuwa kwa Technologia na Vifaa, Urusi ni one of the Giant!
Ubaya ni kwamba, katika vita ya technolojia field ni ulimwengu tofauti kabisa. Kuna uwezekano Russia ana vita ngumu sana saa hizi ya kiteknolojia ila dunia inaangalia Ukraine.
 
Kwanini habari ya kupewa silaha unaona haina mashiko ila habari ya raisi kulia ametelekzwa unaiamini kiwepesi? Kwann hujafikiri ni propaganda ili kuifanya Urusi idhani yupo mwenyewe?
Mkuu, nimesema vita ni field. Sio maneno.

Wapeleke Kwanzaa vifaa ndio watangaze.
 
RT nayo imezimwa sipati kwenye king'amuzi changu
Kila sehemu imepigwa chini... Hata telegram sipati updates zake nusu saa sasa... Kinachoendelea kwa sasa ni vita ya kimtandao... Maana waukraine nao wanapeana habari
"Dear citizens !. It is a requirement of time: to turn off geolocation in mobile phones, own and close. "Tags" are mostly neutralized, the enemy is beginning to focus on the accumulation of mob traffic. Please distribute in communities!"
 
hii ni zaidi ya vita
ila mrusi alikuw anamtesa sana mukraine kwenye cyber attack sasa zamu yake
muda flani RT ilikuwa inapiga nyimbo za ukraine hakuna matangazo ya moja kwa moja acha wanyioshane
 
Mkuu, nimesema vita ni field. Sio maneno.

Wapeleke Kwanzaa vifaa ndio watangaze.
Na ndivyo inavyokuwa boss.

Kwa Data za wachambuzi, Eukraine kwa ukubwa na uwezo wa jeshi lake mpaka sasa walitakiwa wawe wameshashindwa ukilinganisha na ukubwa na uwezo wa jeshi la Urusi.
Kuna uwezekano hizi habari zinakuja baada ya kufanikisha kufikisha silaha na msaada ndio maana mpaka sasa bado Eukrain imeweza kuhold.
Hata zile kelele za raisi za nimetelekezwa si za kuamini, inawezekana ni hadaa za kivita.
 
Ukraine’s Defense Ministry posted fake video as air battle.

Widely circulated video game footage, fact-checked by Reuters as ‘miscaptioned’, appeared on the ministry’s verified account
Ukraine’s Defense Ministry posted fake video as air battle

The verified Twitter page of the Ukrainian Defense Ministry published video game footage on February 25 claiming to show a Ukrainian fighter jet shooting down a Russian plane. On Saturday, Reuters fact-checked the widely shared fake video as ‘miscaptioned’.

The ministry’s tweet was still up at the time of publication. The 15-second video is accompanied by the caption, “What is this Ukrainian ace doing?” The Defense Ministry’s account describes it as a MiG-29 fighter jet destroying a Russian Su-35 jet with a missile.

Several videos which have made their way around social media described as footage of the ongoing military conflict in Ukraine have been debunked as clips taken from games.

A report by Bloomberg has revealed that some of the most-viewed videos on Facebook’s gaming channel were clips that were being spread as on-the-ground footage of military action in Ukraine. The videos were reportedly viewed by more than 110,000 people and shared over 25,000 times before they were taken down. Nevertheless, they made their way to other social media platforms, being spread around with titles such as ‘Ukraine fires missiles to intercept Russian aircraft’s artillery fire’ and ‘Intense dogfight in the skies of Ukraine’.

The first video which went viral on Thursday purportedly showed a military plane performing a bombing run while dodging fire from AA defense systems. However, the video turned out to be footage from the ‘Arma III’ military simulator game.

Another clip made the rounds on social media on Friday, supposedly showing a combat engagement between a Ukrainian MiG-29 and a Russian SU-35, with the latter being destroyed by a missile. The video went viral on social media, including English-speaking Twitter, with a caption praising the “ghost of Kiev” - a supposed pilot of Ukraine’s Air Force that has “managed to single-handedly take down 6 Russian fighter jets,” even spawning several comic strips. However, the footage was soon revealed to be a clip from ‘Digital Combat Simulator’, with the author of the original clip explicitly stating it was made in ‘DCS’.
 
Back
Top Bottom