LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mkuu. Suala si matokeo ya vita. Suala ni kukomesha tabia ya kupangiana nn cha kufanya. Ukituua wote utakaa na ardhi ufanye utakalo. Ukitushindwa utatueshimu hutatupangia. Either way sisi ni washindi sababu tupo huru. Hatupangiwi.
unachotakiwa kujua ni kwamba, ukiwa rais au hata baba wa nyumba, maamuzi utakayoyafanya usijifikirie wewe binafsi, fikiria hata watoto wako. kuna wakati ukifanya maamuzi hata kama ni ya faida kwa familia nzima, kama watoto wataumia vya kutosha, wapo ambao sio wavumilivu kuna siku watasema baba maamuzi yako yanatutesa bure, watakugeuka ili wapate mteremko. ukiwa leader hili ni muhimu kufikiria. tukirudi kwa ukrain, jua kwamba hadi sasa ivi kuna wanawake wengi sana wameshapoteza waume zao, wengi wamepoteza kaka zao, wengi wamepoteza baba zao, wengi wamepoteza biashara zao, wengi wamepoteza kazi maofisini, watu walikuwa wamejiestablish na sasaivi ni wakimbizi wanaishi kwenye makambi. wengine walikuwa na maisha bora na majumba yao, sasaivi wanalala makambini hata kungonoka na wake zao ni kwa kuvizia tu. kwasababu ya nini? na urusi hapohapo anaahidi kwamba wamwondoe rais wao yeye anaweza kuongea vyema na wanajeshi.....maumivu yakizidi kuna siku watu watagawanyika, kuna watakaogundua kuwa hapa tunateseka kwa maslahi ya wamagharibi, watajiunga upande wa mteremko, na ndio kusambaratika kwa nchi huko. mwanadamu mwanzoni huwa mzalendo sana ila maumivu yakizidi huwa anatafuta mteremko manake hamna namna tena.
 
umesahau kwamba china, india na nchi zingine za america kusini bado wapo na russia. pia, russia pia anavyo vitu ambavyo akiona anaumia kiukweli, anaweza kuwapiga navyo wamagaribi wakaomba poo. muda bado sana, tusubiri kwanza siku ziende. raia ni kweli wataumia, kama wanavoumia waukrain, ila cha muhimu ni kwamba wataumia kwa muda gani? na kuumia ni part ya maisha ili utafute solution ya kudumu siku ingine usiumie tena. kuna uwezekano tukarudi kwenye cold war muda si mrefu, na russia atatumia technolojia na silaha kukomba maadui wa marekani/wamagaribi na block itasimama tena, na yote haya yanatokana na kichwa ngumu ya wamagaribi kumtia kidole kwenye macho wakati alikuwa ametulia.
Aiseee...
Dokta Leakey umetisha...
Ingia sasa uwanjani ukayafunge hayo magoli ya kijiweni...
 
Aiseee...
Dokta Leakey umetisha...
Ingia sasa uwanjani ukayafunge hayo magoli ya kijiweni...
huu ndio ukweli mchungu, usifikiri urusi akioina anafuka atatulia tu afe kishujaa kama anavyokufa ukrain. sasaivi ukiangalia RT wanaonyesh a depo ya mafuta karibu na KIEV imeshalipuliwa.itaanza crisis ya mafuta na gas sasaivi na wamagharibi pia wataumia.
 
Sasa wewe wa buza una mahaba hivyo na Putin, wakati hata wanajeshi wa Russia wenywe hawajielewi na wanacheka na kutaniana na wa Ukraine...
Na ndio Jeshi la Russia hili wameishiwa na mafuta kuendelea,,,🤣

battle la ajabu. kuna waukrain weusi humu wanaamini ukrain ipo kwenye nafasi ya kuishinda urusi. mtu ameishiwa hadi anagawa silaha kwa raia 10,000 wapigane kama golila majumbani, that means anajua wanajeshi wake hawatofanikiwa peke yao na zaidi ni kutumia raia kama shield kwani raia watakuwa wanarusha risasi tokea majumbano mwao jambo litakalojustify urusi kupiga kwenye majengo. mtu alikuwa comedian hata hajui sheria za kivita, anajua kuwa anawapa justification maadui kushambulia maeneo ya makazi na hawatakuwa wamevunja sheria za kivita, badala angeacha wanajeshi pekee ndio wapigane ili kama urusi ikipiga maeneo ya raia ionekane amevunja sheria za kivita. ni sawa na watz tulivyotaka kumpa nchi DJ, kila mtaa kungekuwa na tamasha la muziki.
 
unachotakiwa kujua ni kwamba, ukiwa rais au hata baba wa nyumba, maamuzi utakayoyafanya usijifikirie wewe binafsi, fikiria hata watoto wako. kuna wakati ukifanya maamuzi hata kama ni ya faida kwa familia nzima, kama watoto wataumia vya kutosha, wapo ambao sio wavumilivu kuna siku watasema baba maamuzi yako yanatutesa bure, watakugeuka ili wapate mteremko. ukiwa leader hili ni muhimu kufikiria. tukirudi kwa ukrain, jua kwamba hadi sasa ivi kuna wanawake wengi sana wameshapoteza waume zao, wengi wamepoteza kaka zao, wengi wamepoteza baba zao, wengi wamepoteza biashara zao, wengi wamepoteza kazi maofisini, watu walikuwa wamejiestablish na sasaivi ni wakimbizi wanaishi kwenye makambi. wengine walikuwa na maisha bora na majumba yao, sasaivi wanalala makambini hata kungonoka na wake zao ni kwa kuvizia tu. kwasababu ya nini? na urusi hapohapo anaahidi kwamba wamwondoe rais wao yeye anaweza kuongea vyema na wanajeshi.....maumivu yakizidi kuna siku watu watagawanyika, kuna watakaogundua kuwa hapa tunateseka kwa maslahi ya wamagharibi, watajiunga upande wa mteremko, na ndio kusambaratika kwa nchi huko. mwanadamu mwanzoni huwa mzalendo sana ila maumivu yakizidi huwa anatafuta mteremko manake hamna namna tena.
Uraisi ni taasisi. Maamuzi si kama ya baba mwenye nyumba. Nchi imeingia vitani kutetea uhuru wake. Sio raisi mwenyewe. Imgekuwa ni maamuzi yake wangempindua au raia wangeandamana aondolewe.
 
Russia kabakiza Kiev tu ili awe ameteka nchi kitu ambacho kitazua kelele ndio maana Putin aliagiza jeshi lisichukie Kiev kwanza ili kutoa nafasi ya mazungumzo na Ukraine ambapo imeshindikana,now katoa go ahead so subiri kisha utaona kama atafanikiwa au lah.Pili lazima ujue kuwa hata Ukraine wanapigana kama ambacho kila nchi ingepigana lkn wataangushwa tu pamoja na support yote wanayopewa.Na mwisho Russia anajaribu kuichukua Kiev bila mauaji mengi ya raia ya kawaida ambapo akiona kuna ugumu wa kukwepa hayo mauaji basi anaweza kuamua kufyeka wote.
Point ya mtu mjinga,

Kwa aina ya uvamizi na maandalizi ya Urusi na muda aliotumia kujiandaa Urusi alitakiwa awe amishinda vita ndani ya masaa 48.

Kitu ambacho Wafuasi wa Urusi kwenye hii vita hawaamini ni upinzani waliokutana nao njiani na Russia wamepata Logistical challenge sana ndio maana wakaanza kutumia Askari wa miamvuli
 
Hebu ww tuambie angetumia njia gani zaidi ya hii wakati mazungumzo yalikuwa yamesha feri?
Putin alikataa kuendelea na mazungumzo si kwamba yalifeli.

Alafu hii Vita itaichochea zaidi Nato kujiimarisha huko Ulaya mashariki hasa nchi ya Poland na mataifa ya Baltic, Sasa hayo utaita mafanikio kwa Urusi?

Kitendo cha Putin kuyatambua Yale ya majimbo mawili ya Ukraine ilikuwa pigo tosha kwa Ukraine......kilikuwa hakuna umuhimu tena wa vita
 
Haya sasa, waje wale WAUKRAINE waongee, tuliwaambia URUSI hawana utani, wametembeza kichapo kizito sana. Rais wa UKRAINE hana akili unawapaje Silaha wananchi wapigane na Urusi?? Sasa watakiona cha moto.
Russia wameingia mzigoni Rasmi.
 
Putin alikataa kuendelea na mazungumzo si kwamba yalifeli.

Alafu hii Vita itaichochea zaidi Nato kujiimarisha huko Ulaya mashariki hasa nchi ya Poland na mataifa ya Baltic, Sasa hayo utaita mafanikio kwa Urusi?

Kitendo cha Putin kuyatambua Yale ya majimbo mawili ya Ukraine ilikuwa pigo tosha kwa Ukraine......kilikuwa hakuna umuhimu tena wa vita
sijaona taifa la ulaya litakojitoa muhanga kiev ndio imeshaenda tena
 
point ni kwamba, wamagharibi wanajua kabisa ukrain mwisho wa siku atapigwa na wamejiandaa kumsaidia kujenga upya nchi. sasa, kama wanajua ukrain hatashinda kwanini wanamtumia kupigana na urusi? raia wake wanakufa wakati raia wa wamagaribi hawafi, wanajeshi wake wanakufa wakati wanajeshi wa magharibi hawafi, kinu cha nuklia kimeshatwaliwa na urusi wakati vinu vya nuke vya wamagharibi vipo salama. lengo la urusi ni kusambaratisha uwezo wa kijeshi na tayari ameharibu zaidi ya vituo vya jesho 200 hadi sasa. ungekuwa wewe ni ukrain ungekubali huu uchizi? au kwasababu unajua at the end of the day utashindwa tu vita bora ufupishe maelezo kwa kukaa mezani mjadili kwa faida ya raia wako na miundombinu yako? sasaivi kuna mwekezaji gani atawekeza ukrain ambako man power imekimbilia nchi zingine, na hana uhakika kama urusi itarudi tena anytime soon? uchumi wao labda tuseme walijikita zaidi kwenye kilimio cha ngano, wanalima nini sasa? au wanapokimbia wamekimbia pamoja na magunia ya ngano? na wamagaribi watakaposaidia kuijenga baada ya kuwa magofu, je? watakuwa wanagawa pesa mifukoni? au mtu hadi apate kazi za kuwa kibarua wa ujenzi ndio azipate izo pesa wakati pengine alikuwa msomi wa white colour job na alikuwa na biashara zake zinaenda vizuri. biashara za watu zitasimamaje? watapewa mitaji? ukrain wameshaumia sana, hata kama kuna ahadi ya kuijenga ni kujenga tu ila raia wanaanza chini kabisa, na wengine wengi wameshakufa ambao hawatafufua. na urusi ameshakalia vituo vyao vya kijeshi walichobaki wao ni kuhamia mitaani kurushiana risasi, jambo ambalo hatawapa tena nafasi kujijenga kijeshi. why all this wakati kulikuwa na nafasi kuyaepuka?
ni hatari sana kuwa na kiongozi mchekeshaji. Yeye kila kitu anaona utani hata mambo siliasi
 
wakati unasimama na nchi yako, mimi nina silaha bora, wewe una mkuki au kisu tu, najua hunifanyi chochote hata ukinidunga nitakimbia hospitali kutibiwa wakati wewe nikikudungua unatoka ubongo unakufa, nani yupe kwenye disadvantaged side? Kiukweli, Ukrain ni faida sana kwake kuwa upande wa NATO kwasababu angepata faida kiiulinzi, angejiunga na EU na kutumia euro na kufanya biashara na movement ya labour kirahisi etc, kuliko kuwa na urusi. shida ni kwamba, hata damu itoke urusi hawezi kukubali ukrain awe na nuklia au ajiunge na NATO kwasababu atakuwa ameruhusu adui kukaa mlangoni kwake. ukrain analijua hilo, na NATO wanalijua hilo lakini wanataka kuitumia ukrain kama chambo au ndomu za kuitest urusi, huku wakijua fika urusi hawezi kukubali.

NATO wanachotegemea hapo ni kwamba, wao hawana uwezo kuipiga urusi kivita, ila wanaweza kuanza kuinyongónyeza kiuchumi ili uchumi wake ukidorora pengine miaka ya mbeleni iwe rahisi kuisambaratisha na wanatumia ukrain kama chambo kwa ahadi kwamba ukraini ijilipue wataisaidia kuijenga. this is not fair. na mbaya zaidi ni kwamba urusi haitasambaratika, na kinabii kwenye vitabu vya Mungu, itasimama kwasababu ndio nchi ya mashariki itakayoshuka kuipiga israel hapo mbeleni (pengine baada ya kuungana na nchi za kiarabu kama iran na zingine zenye moyo wa kuifuta israel) na Mungu atashuka kuipiga russia. hawasomi maandiko, urusi haidondoki, mark my words.
Bado natafuta aina ya kicheko ila bado sijakipata nimeweka kiporo. Kwa maana hiyo Russia ndiyo nchi ta Mashariki ya kwenye Bibilia?
 
battle la ajabu. kuna waukrain weusi humu wanaamini ukrain ipo kwenye nafasi ya kuishinda urusi. mtu ameishiwa hadi anagawa silaha kwa raia 10,000 wapigane kama golila majumbani, that means anajua wanajeshi wake hawatofanikiwa peke yao na zaidi ni kutumia raia kama shield kwani raia watakuwa wanarusha risasi tokea majumbano mwao jambo litakalojustify urusi kupiga kwenye majengo. mtu alikuwa comedian hata hajui sheria za kivita, anajua kuwa anawapa justification maadui kushambulia maeneo ya makazi na hawatakuwa wamevunja sheria za kivita, badala angeacha wanajeshi pekee ndio wapigane ili kama urusi ikipiga maeneo ya raia ionekane amevunja sheria za kivita. ni sawa na watz tulivyotaka kumpa nchi DJ, kila mtaa kungekuwa na tamasha la muziki.
mwana ccm umeandika point , kumpa uongozi watu wasioelewa ni uchizi, hata Jimbo la Mbeya sometime lilikosea kumpa sugu ubunge.
 
Acha upuuzi wewe Sasa hapo mambo ya dj mbowe yameingiaje?miaka 60 ya Uhuru mmefanya nini cha maana zaidi ya ufisadi na utahaira
battle la ajabu. kuna waukrain weusi humu wanaamini ukrain ipo kwenye nafasi ya kuishinda urusi. mtu ameishiwa hadi anagawa silaha kwa raia 10,000 wapigane kama golila majumbani, that means anajua wanajeshi wake hawatofanikiwa peke yao na zaidi ni kutumia raia kama shield kwani raia watakuwa wanarusha risasi tokea majumbano mwao jambo litakalojustify urusi kupiga kwenye majengo. mtu alikuwa comedian hata hajui sheria za kivita, anajua kuwa anawapa justification maadui kushambulia maeneo ya makazi na hawatakuwa wamevunja sheria za kivita, badala angeacha wanajeshi pekee ndio wapigane ili kama urusi ikipiga maeneo ya raia ionekane amevunja sheria za kivita. ni sawa na watz tulivyotaka kumpa nchi DJ, kila mtaa kungekuwa na tamasha la muziki.
 
kusolve issue ya vikwazo ni raisi zaidi kuliko kusolve ujenzi wa nchi iliyofanywa magofu. Russia hapo akitoka, jua yeye pia ni superpower, akiamua kujizila akaamua kusapoti ikijeshi na kwa nuke maadui wa magharibi kama iran tu na north korea, wataomba poo manake west wataona anataka kuimarisha maadui zao wakubwa, watarudi mezani na kuyamaliza. hivyo vikwazo vinawekwa kwa ajili ya aibu tu kwamba west wamesikia kilio cha comedian jana aliposema wamagaribi aliotegemea watamsaidia wote wamemwacha peke yake, sasa wafanyeje? wajifanye kuweka vikwazo tu. china ipo kimya, india ipo kimya, asia yote ipo kimya, china anahitaji sana gas na mafuta, hivyo russia hawezi kosa soko, so is india. ila russsia akikata bomba la gas ujerumani watatumia kuni kupikia kama enzi za ujima, na vinu vyao vya nukes vitakosa nguvu na umeme utakata. russia amehesabu gharama san akuamua kufanya alichokifanya. mimi siku zote nipo upande wa capitalism na huwa sipendi communism kwasababu walikuwa atheists, lakini kwa hili najua russia atashinda. na kwa utabiri uliopo kwenye Bible, inaonyesha russia hawezi kufa, kwasababu ndio jeshi la mashariki la al magedon na gogu wa magogu litakaloshuka kupitia black sea/caspian sea kuishambulia israel hapo baadaye na Mungu mwenyewe ataashuka na kuwahukumu kwa kuwaangamiza 2/3 ya majeshi yake. njia ipo nyeupe kwa urusi sasaivi kupigia Krimea na uturuki ambao sio maadui wake, ni marafiki na watampa njia kwasababu turkey hawaipendi israel kwasababu ya mzozo wa palestina waislam wenzao, na unabii kibiblia unaonekana wazi. kama hujampokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako fanya hima, kuja kwake ku karibu. na hapo ndio utajua kuwa Biblia ndio kitabu pekee cha Mungu, vingine vyote magazeti tu ya waongo.
Huu utaburi ni wako na umetumia wahusika bapa wa kwenye bibilia na umehusanisha. Unatafsiri bibilia kimwili zaidi kuliko kiroho. Hii inatokana na kusoma bibilia huku ukiwa na mawazo tele ya Simba na Yanga au CCM na CHADEMA au Samson na Delila
 
Back
Top Bottom