LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Umaskini wake wanazani kwansababu rahia kuwa na maisha ya kimaskini. Hawajui kupanga ni kuchagua.

Kachagua ku invest kwenye majeshi kuliko kitu kingine chochote kile, so sio maskini kama wanavyosema. Kwasababu nchi yake imejengeka vizuri tu, huwezi kufananisha na Tz.

Yani ukae useme North korea ni maskini, Unaweza kuifananisha North korea na Tanzania? Tanzania maskini Je ina vile vifaa kama vya North korea? Watu humu hamna kitu kichwani wengi ni watoto wa 2005 tu.View attachment 2133932View attachment 2133933View attachment 2133934View attachment 2133935View attachment 2133936
Sio vifaa tu, hata miji kujengeka hakuna mji ukafanana na wa NORTH KOREA.
 
Ukishughulisha ubongo kidogo utaelewa, Mrusi anarusha makombora yake kwenye makazi ya watu, hayo ni mauaji ya kimbari....
Ukraine wamezindua tovuti yenye taarifa za kila mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa, Warusi wameombwa waingie humo na kutafuta taarifa za watu wao.
Nenda kwenu mzee ukashugulikie masuala maji na flying toilets
Screenshot_20211111-122602.png
 
Toka vita imeanza yeye ndo anapayuka tuuu... kutafuta huruma na anatumika kutengeneza propaganda za kumwonyesha PUTIN ni mbaya ili hata USA na NATO wakiweza kummaliza kabisa na hata kumuua watu wasishangae sana...
 
Toka vita imeanza yeye ndo anapayuka tuuu... kutafuta huruma na anatumika kutengeneza propaganda za kumwonyesha PUTIN ni mbaya ili hata USA na NATO wakiweza kummaliza kabisa na hata kumuua watu wasishangae sana...
Kuongea ni uhuru hata wewe unaruhusa kuongea mbona point yako ni ya hajabu hivi
 
Mnaenda mbele na kurudi nyuma au
emoji81.png
izo miles zina panda na kushuk
Unaujua mwenendo wa kivita wewe. Alafu unaujua umbali kutoka huko donbass mpaka Kiev wewe? Au unafikiria msafara wakati wa kivita kunakuwaga safari ya Moja kwa Moja, Unaijua ambush wewe. Au unafikiria hao waukrein Ni Adf nalu?.
Watu wana tembe umbali Fulani alafu msafara unasimama inafanyika swip reconnaissance Kisha unaenda Tena mbele kwa umbali ulio weka buffer zone.
Sema huwezi nielewa ungepita Jkt/mgqmbo labda ungenielewa kidogo. Ila nakuhakikishia huyo rais wa Ukraine asipo afikiana ndio atajua hajui maana hivyo vikwazo vya Eu,Uk,na baby wao USA. Sio vya kawaida vinamaanisha. Sasa Putin anaenda kufanya kitu haijawahi kufanya. Tatizo jingine jifunze kuujua mwenendo wa Vita.
 
Yaani profile name inasadifu uwezo wako wa kufikiri. Nakuhakikishia wewe kweli ni Myamizi yaani umetokana na mama yako kunywa dawa za kienyeji. Yaani wewe asili yako ni ushetani.
Wewe ndiyo wale wa kukana hata asili yako,nyinyi ndiyo wale hata kuongea lugha yako ya asili hampendi,una ushamba mwingi sana,haya kwa hiyo wewe kujiita 'Venus'' ndiyo ujanja .Yes am proud na jina langu Nyamizi una la kuongezea?
 
"Wasaliti wameshasaliti, maadui wametanda,
Mizinga, vifaru, helcopter zinaranda.
Njooni tufunge mikanda wanajeshi ishakua tabu.
Tusonge"

Nimeikumbuka hii intelude ya kwenye ngoma ya Tunasonga by Kikosi cha Mizinga - Hashimu dogo mwendawazimu & Kalapina.
 
Ila wewe Nyamizi nina wasiwasi utakuwa upo bado kwa wazazi maana saa nane usiku upo, kumi na moja asubuhi upo, mchana upo, yaani muda wote unatupia tu humu. Yaani unabidii kuliko mwanamchi wa Ukraine
Ndiyo Mkuu,bado nipo kwa Wazazi nakula na kulala tu,sina kazi yoyote,inabidi niwe mstari wa mbele kuwa m Ukraine wa hapa Msata 🤣
 
Wewe ndiyo wale wa kukana hata asili yako,nyinyi ndiyo wale hata kuongea lugha yako ya asili hampendi,una ushamba mwingi sana,haya kwa hiyo wewe kujiita 'Venus'' ndiyo ujanja .Yes am proud na jina langu Nyamizi una la kuongezea?
You proud satanic names!?🤣🤣🤣
 
Punguzeni porojo zenu hapa,unaandika yale yaliyo kichwani kwako na unataka watu na akili zetu tukuamini.
Mkuu watu wengi kwenye hivi vita wanachukulia kama ushabiki wa Simba na Yanga. Ukweli ni kwamba katika vita hii Putin amedharilishwa sana. Maelfu ya wanajeshi wake wametekwa na wengine kuuliwa, vifaa vyake vya kivita vimeteketezwa na vingine kutelekezwa. Ukiwaangalia kwa makini na kufuatilia maelezo ya mateka ni kwamba hawana ari ya kupigana. Kwa hiyo wamebakia tu mashambani wanapigana kama wanamgambo vile. Kuna somo kubwa bwana mkubwa Putin atakuwa amejifunza

Bado uchumi wake ndani ya miezi michache utaingia kwenye mdororo ambao nchi yake haija experience kwa miaka ya hivi karibuni.
 
Ukishughulisha ubongo kidogo utaelewa, Mrusi anarusha makombora yake kwenye makazi ya watu, hayo ni mauaji ya kimbari....
Ukraine wamezindua tovuti yenye taarifa za kila mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa, Warusi wameombwa waingie humo na kutafuta taarifa za watu wao.
Kwa hiyo makombora yoote yalipigwa makazi ya watu (kama unavyodai) ndio yameua raia 352 tu wanaoripotiwa na wizara ya ulinzi ya Ukraine? Basi Wanajeshi wa Russia walikuwa hawana shabaha nzuri.

Sasa hao raia 352 walokufa ndio mauaji makubwa ya genocide? Kwa hiyo ulitegemea raia wa Ukraine wapewe silaha wapambane na majeshi ya Russia halafu majeshi hayo ya Russia yawaangalie tu pasi na kuwapa kipigo cha mwizi?

Vifo vya wanajeshi wa Ukraine kwa mujibu wa serikali ya Ukraine ni kuwa havizidi 700. Ila wao wanadai wameua wanajeshi wa Russia zaidi ya 4000. Sasa kwa nini walikuwa wakiomba msaada kwa raia wa kawaida na pia raia toka nchi nyingine duniani?

Ukraine ieleze ukweli juu ya idadi ya vifo vya wanajeshi wake na raia waliopewa risasi wapambane na Russia ktk mavazi ya kiraia (ngao ya vita)

SmartSelect_20220228-124420_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom