CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Sio vifaa tu, hata miji kujengeka hakuna mji ukafanana na wa NORTH KOREA.Umaskini wake wanazani kwansababu rahia kuwa na maisha ya kimaskini. Hawajui kupanga ni kuchagua.
Kachagua ku invest kwenye majeshi kuliko kitu kingine chochote kile, so sio maskini kama wanavyosema. Kwasababu nchi yake imejengeka vizuri tu, huwezi kufananisha na Tz.
Yani ukae useme North korea ni maskini, Unaweza kuifananisha North korea na Tanzania? Tanzania maskini Je ina vile vifaa kama vya North korea? Watu humu hamna kitu kichwani wengi ni watoto wa 2005 tu.View attachment 2133932View attachment 2133933View attachment 2133934View attachment 2133935View attachment 2133936