Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mizigo ndio ina shushwa hko Leo Russia wamekuwa kama nyukiUkraine na magharibi wapambe sana.. mwisho wa uongo ndipo ukweli unapo anzia.. mimba huwa haijifichi watazaa tu 😁😁
Dawa kiburi ni moto wa gas 😁😁Aisee mizigo ndio ina shushwa hko Leo Russia wamekuwa kama nyuki
Mpe somo huyo hajapitia hata mgamboUnaujua mwenendo wa kivita wewe. Alafu unaujua umbali kutoka huko donbass mpaka Kiev wewe? Au unafikiria msafara wakati wa kivita kunakuwaga safari ya Moja kwa Moja, Unaijua ambush wewe. Au unafikiria hao waukrein Ni Adf nalu?.
Watu wana tembe umbali Fulani alafu msafara unasimama inafanyika swip reconnaissance Kisha unaenda Tena mbele kwa umbali ulio weka buffer zone.
Sema huwezi nielewa ungepita Jkt/mgqmbo labda ungenielewa kidogo. Ila nakuhakikishia huyo rais wa Ukraine asipo afikiana ndio atajua hajui maana hivyo vikwazo vya Eu,Uk,na baby wao USA. Sio vya kawaida vinamaanisha. Sasa Putin anaenda kufanya kitu haijawahi kufanya. Tatizo jingine jifunze kuujua mwenendo wa Vita.
safi hiki ndio chanzo asilia huwezi niambia watoto wangu wasije kwako then wewe wako unawaambia waje si uchokozi huo
Kenya hamnaga ubongoWanajeshi wote huwa na vitambulisho na pia dog tags zenye service number, kwamba hata akiuawa achomwe hadi kuwa majivu, hizo dog tag number zinasomeka.
Kimsingi ni kuingia kwenye tovuti uone picha ya maiti ya ndugu yako na namba yake ya usajiri jeshini kisha umwombe Putin amrejeshe mwanao/ndugu yako umzike mwenyewe, kauawa huko alikopelekwa akapigane vita vya kuonyesha ubabe wa Putin.
Huku ni sawa na kusalimu amri.....hawatakubaliUkraine iondowe Rai kwenye mji wake mkuu ndicho Russia walicho wambia
Hiyo jeuri ya kupress Nuke code haipo na wala hawezi thubutu,huna haja ya kuwa na wasiwasi Mkuu.Waziri wa Ulinzi wa Russia amemuambia Rais Putin nuclear triad is on 'standby alert duty' na ameshatoa maelekezo ya kufanya kwa wa husika, hivyo tutegemee lolote kuanzia muda huu...[emoji24]
sentensi ya mwisho dah 🤣Hata kama huyo bwana anahatarisha Maisha yako, familia yako na mtoto uliyempata na x wako
Ila marekani akiwachagulia watu namna ya kuishi mnaita demokrasia
Ukraini Hadi aombe poo na kuachana na penzi la bwana ake mpya
Russia hawez lolote , kinachokufanya uonekane mbabe ,ni huge backup under fire , kitu ambacho Russia Hana ,na pia kuna different opinion among public , moja ya kitu kibaya mno kwenye vita , ametuaminisha ni mbabe yes tumekubal , but in reality huwez kurun show against European giants +US combined together , hao mnaosema washirika wake hawana chochote new cha kutoa hata wakijoin naye , kwanza hawana hela ,aiseee vita bila hela hamkna kitu , unaweza kujitutumua Kwa mwaka mmoja after that inakuwa ni disaster ...!!! Atakuwa ameishiwa kila kitu huku ukiwa umebanwa na vikwazoMimi nina mashaka sana na Russia kuhusu ukweli wa Silaha zake. Ninaona kama Fix hivi. Hii vita ikiendelea halafu NATO waingie unawezakuta hizo silaha alizoaminisha dunia huenda sio za kihiiiivyo. Hata nuclear unawezakuta zipo lakini low grade. Na akicheza hao NATO/USA wanaweza kum surprise wakazipiga hapohapo Russia.
Kuna uwezekano NATO wameshajua uwezo halisi wa RUSSIA na kugundua mbona ANAPIGIKA KIRAHISI TU.
Shangaa na wewe,jamaa hadi machozi yanamtoka utadhani kweli hata hiyo jeuri ya kutumia Nuklia atakuwa nayo😂unalia nini wewe kwani nuclear anayo peke yake..