concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Haha eti haitakuwa na mshindi , we kakojoe ulale bado mdogo, unataka linganisha mtu mwenye sumu contena na mwenye sumu kijikovita ya nuclear haitakua na mshindi poyoyo wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha eti haitakuwa na mshindi , we kakojoe ulale bado mdogo, unataka linganisha mtu mwenye sumu contena na mwenye sumu kijikovita ya nuclear haitakua na mshindi poyoyo wewe.
Yes
Duuuh acheni ushabika wa maandazi basi tufanye comparison ya nuclear warheads baina ya nato versus russia
Russia ana nuclear war heads 6255
Usa 5558
Ufaransa 290
Uk 230
Israel 90
Yaan ukichukulia idadi yote ya nuclear aliyonayo mrusi kwa kulinganisha na nato na washirika bado kawazid parefu tu.
Tukisema tuweke na wachina hapo na north korea basi nato wanapigwa mchana kweupe.
Kuna wafuasi humu tumewasikia kuwa eti georgia ilimpiga urusi daah.kwanza tulale zetu maana tunakumbuka kisago kilichotembezwa mpaka nchi ya georgia ikapoteza majimbo yake mawili
Umesahau Iran na Pakistan.Yes
Duuuh acheni ushabika wa maandazi basi tufanye comparison ya nuclear warheads baina ya nato versus russia
Russia ana nuclear war heads 6255
Usa 5558
Ufaransa 290
Uk 230
Israel 90
Yaan ukichukulia idadi yote ya nuclear aliyonayo mrusi kwa kulinganisha na nato na washirika bado kawazid parefu tu.
Tukisema tuweke na wachina hapo na north korea basi nato wanapigwa mchana kweupe.
Kuna wafuasi humu tumewasikia kuwa eti georgia ilimpiga urusi daah.kwanza tulale zetu maana tunakumbuka kisago kilichotembezwa mpaka nchi ya georgia ikapoteza majimbo yake mawili
Sasa mkuu...wewe uliweka ARGUE Kwangu...ukisema "NANI KANIAMBIA KUWA ICBM NI NEUCLEAR BOMBS?...VIP MBONA HAURUDI TENA HAPA TUJADILI??...siku nyingine uwe unafanya research kabla ya kuargue Kiongozi.
Hakika umedadavua vyema sana mkuu, mbinu za USA ni kutengeneza kibaraka kwanza, ikumbukwe aliweza kuiharibu USSR, baadaye akaziingiza NATO nchi zilizokua members wa USSR, na sasa anataka kuhitimisha kwa Ukraine. Kwa watu wanaoona mbali hii ni hatari sana kwa ustawi wa Urusi.Ndo maana sasa hivi wanahangaika kutaka kutoa misaada zaidi ya vifaa vya kijeshi kwa Ukraine.
Na taarifa zaidi zasema kwamba wamekuwa wakiisaidia Ukraine kwa miaka 20 sasa, kuijenga kijeshi na baadae kuikabili Russia wakiwa daraja kwa US na NATO.
Haiwezekani Zelenskyy aombe kukutana na Russia wazungumze inamaanisha kwamba hana maamuzi imara kutoka kwake yeye kama yeye.
Kwa maana moja ama ingine anashindwa aamue lipi.
Nae Balozi wa Russia UN pia ametoa kauli kwamba makosa ni ya Zelenskyy kukubali kuwa pamoja na mafashisti ambao ndio wanampoteza na kufanya mauaji kule Donbass kwa warusi.
pro Ukraine muende sasa sio kubwabwajamnaotaka kwenda ukraine kusaidia View attachment 2134525
Kenya hamnaga ubongo
ndio nnchi pekee duniani tunaojua kila jambo tunawatafiti humu nawapiganaji wavita wazuri kabisa nawaitaga #wachambuzihuruHivi mbona Watanzania huu ugomvi wa Putin na Ukraine mumeuchangamkia na kuunda teams, mnatoleana mapovu baina yenu hata kuzidi wenye ugomvi wao kule.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata ugomvi wenu na AL SHABAAB tunauchangamkia.Hivi mbona Watanzania huu ugomvi wa Putin na Ukraine mumeuchangamkia na kuunda teams, mnatoleana mapovu baina yenu hata kuzidi wenye ugomvi wao kule.
Majeshi ya Russia sasa hivi yapo kilomita 13 kutoka Kyiv.Urusi muda huu anashusha kichapo kwa UKRAINE.
Binafsi ningewaomba UKRAINE waweke silaha chini, nchi yao inakuwa uwanja vita. Itakuwa kama BOSNIA sasa.
ndio nnchi pekee duniani tunaojua kila jambo tunawatafiti humu nawapiganaji wavita wazuri kabisa nawaitaga #wachambuzihuru
Mkuu achana nao hao.Uchambuzi sawa, ila pitia huu uzi uone watu wanavyotoleana povu mpaka basi, watu wamejiunga kwenye milengo na timu hadi nacheka sana, kunao mpaka wanatukanana humu aisei.
Majeshi ya Russia sasa hivi yapo kilomita 13 kutoka Kyiv.
Ni kama kutoka Posta Mpya na Oysterbay pana kilomita 10 hivi.
Weye ongezea hapo hizo kilomita 3 hivi.
Jenerali mmoja wa US mstaafu ameonya kuwa Russia itaua raia wengi sana endapo itachukua Kyiv.
Amesema Russia ni wajuvi wa vita ya mtaa kwa mtaa yaani Urban Warfare.
Unayajua mavi ya kuku!? Basi ulichoandika hapa ni mavi ya kuku.Ninachojua na hata ukisoma historia ya Urusi, yeye huwa hajali hata ukiua wanajeshi wake kwa maelfu na malaki, ataendelea kuleta more and more na ndio mbinu alifanya kwa Hittler, Warusi waliuawa zaidi ya milioni 24 na hawakusitisha vita.
Japo simpendi Putin na nawachukia sana hao Warusi kwa hicho wanachkifanya huko, ila Ukraine akubali tu yaishe, maana Putin yupo radhi kurubuni maelfu ya wanajeshi wake ila asiingie aibu ya kushindwa.
Hata Russia amefunga Facebook na Twitter huko kwake ili raia wake wasijue kinachoendeleambna wamezifungia SPUTNIK RT nk huko EUROPE?
Jamaa wanatumia nguvu sana kuuficha ukweli kua wanapelekewa moto mbaya sanaaaa
Ukiangalia sana waona kuwa yeye huona matokeo ni muhimu kuliko hali halisi (kwamba watu wengi wauliwa).Ninachojua na hata ukisoma historia ya Urusi, yeye huwa hajali hata ukiua wanajeshi wake kwa maelfu na malaki, ataendelea kuleta more and more na ndio mbinu alifanya kwa Hittler, Warusi waliuawa zaidi ya milioni 24 na hawakusitisha vita.
Japo simpendi Putin na nawachukia sana hao Warusi kwa hicho wanachkifanya huko, ila Ukraine akubali tu yaishe, maana Putin yupo radhi kurubuni maelfu ya wanajeshi wake ila asiingie aibu ya kushindwa.
Ukiangalia sana waona kuwa yeye huona matokeo ni muhimu kuliko hali halisi (kwamba watu wengi wauliwa).
Ndo maana hata kule Syria walimwachia Putin awamalize wale waasi walokuwa wakisaidiwa na USA na nchi za magharibi waloitwa Syria Free Army kutaka kumwondoa Asad.
Putin akaenda akamaliza kazi na sasa bado yupo kule.
Venezuela ni hivyohivyo kaenda na yupo kule.
Halikadhalika kule Mali kaingia kwa kuwapeleka Wagner Group wamsaidie kiongozi wa sasa wa Mali na kumlinda dhidi ya uwezekano wa assassination from those guys.
Hata Russia amefunga Facebook na Twitter huko kwake ili raia wake wasijue kinachoendelea