LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
In Mariupol, one of the largest shopping malls, Port City, is being robbed.

Take out household appliances, jewelry and clothing.
Wanatafuta sababu ya kusema Russians wamevamia na kupora Kisha kugawa kwa raia.
 
Habari zinazosambazwa na Ukraine ni kuwakamata wanajeshi wa Russia na kuwapa chai[emoji1787].

Hii wanatumia kama strategy ya kuchafua hali ya hewa huko Russia kwa kuwapigia simu ndugu zao ili wandamane.
Ha ha ha..wanatafuta huruma ya duniani TU, hawana lolote ukrainians
 
Venus Star na Nyamizi mna attack personal each other sio poa kabisa. Uzi wetu unapambwa na ushindani wa maneno na vijembe vidogovidogo na hii inatoa afya kwa thread hii. Kwa mfano watu wanatafuta habari kutoka vyanzo tofauti tofauti na wanaleta hapa kwa lengo moja tu kujuwa nn kinaendelea Ukraine,kwa hiyo mm naomba mpunguze mumkari kwani wakushinda vita au kushindwa vita tutajua tu. Tusubiri dakika 90 za mtanange.
Natanguliza shukrani za dhati kwa Putin kwa kukubali kwake kutowadhuru na kuwasaidia wanafunzi wa kitanzania waliopo Ukraine.
Maneno ya busara Sana haya,
Ukiona mtu anamshambulia mtu personal na si hoja yake, ujue kaishiwa hoja.
 
🤣🤣🤣 Ukinifuatilia Mshirika mwenzangu huwa mtu akiweka shit namjibu hivyo hivyo. Tatizo wenzetu sasa hawana uwezo wa kuhimili. Anataka akiweka kitu cha ovyo tumpongeze.

Mtu akija na facts tuna ongea facts. Umemuona sasa alivyo inferiority complex. Eti kani block, who cares!?

Eti ananiwekea vikwazo. Childish thinking.
Aliyekublock sio kuwa hana uwezo wa kukuhimili bali ni Hataki kujihusisha na hii tundu yako. Nani anayetaka harufu?
Screenshot_20220301-155347_Chrome.jpg
 
nmejaribu mpk search eng
Yes umelipatia kama wewe ni muhenga kama mimi hapa,hili jina utakuwa unalifahamu vizuri liko kwa kitabu tulikuwa tunakisoma darsa la tatu kama sikosei kulikuwa na hadithi ya Sadiki na Sikiri Sikirimimimasikini 😅
nyinyi wahenga ndio mnaleta shida dunian, muhenga mwenzenu yuko busy kurejesha soviet empire
 
IMG_20220305_094414_123.jpg

Shine and poverty of Ukrainian propaganda. Melitopol, according to the idiots of the Center for Special Psychological Operations of Ukraine, is a queue for groceries and a in pharmacy. And they didn’t even bother to cut the video, this is the distribution of humanitarian aid to residents from the RF Armed Forces.
Hii ni habari kutoka telegram channel
Nalog off
 
Aliyekublock sio kuwa hana uwezo wa kukuhimili bali ni Hataki kujihusisha na hii tundu yako. Nani anayetaka harufu? View attachment 2139475
Sasa umeanza kunitafuta. Unategemea nitakujibu kistaarabu. Nakuonya, uache mara moja kutoa komenti za kupumbavu. La sivyo nitakushughulika kwa comments kali na nzito.
 
Hoja yako ina msingi ila mambo ya drs la saba hayakuwa na umuhimu. Angekuelewa tu hata usingesema.
Nimemuelewesha
Anaefuata kufa ni Baba yenu Putin,tena huyu atakufa kifo kibaya sana cha kudharirika,kama siyo mimi basi watoto wangu watashuhudia Mungu akimwadhibu huyu shetani mkubwa cousin wa Rucifer
Hebu fuatilieni geopolitics ya Eastern Europe kwanza, sio kutema maneno tu, Kwa kiasi kikubwa Russia is not an agreesive state or rouge state or a threat to the world, USA na NATO ndio wanataka kuharibu hii Dunia.

Putin is very smart kuivamia Ukraine, ni kama preamptive attack, ana secure future ya Russia, marekani na NATO wanataka ku tip the balance of terror by strategically installing nuclear arsenals Ukraine, making Russia very vulnerable kwenye countermeasures Incase of War, with supersonic nuclear arsenals Moscow inaweza pigwa ndani ya dakika 5 tu kutoka Ukraine, unafikiri Putin ni mjinga kiasi hicho to let that happen? Putin is not a mad dog attacking foreign countries, he's simply security the future of Russia and averting future war (www3), which is imminent kama kutakuwa hakuna balance of terror between Russia and western Europe.

Lazima western Europe iwe vulnerable ili Dunia na Europe iwe salama, it's called balance of terror!!! Russia is not safe unless the western Europe is vulnerable to Russia.

Unaweza usinielewe, ukielewe geopolitics ya Eastern Europe, NATO and cold war utaelewa nachokwambia. Kila nchi haitakiwi kuwa salama ndio Dunia itakuwa salama na ndio hicho Putin anachopigania.
 
NEWS

Wizara ya ulinzi ya Urusi imetangaza kipindi kifupi cha usitishaji wa mapigano na kufungua njia za misaada ya kibinadamu kwa raia kuanzia saa nne asubuhi kwa saa za Moscow saa moja asubuhi Jumamosi katika miji miwili kusini-mashariki mwa Ukraine mji wa , Mariupol na Volnovakha
Urusi inasema imekubaliana na Ukraine kuhusu njia hizo zilizopo nje ya miji, lakini haijaona thibitisho kutoka kwa Ukraine
Mariupol ni mji muhimu wa bandari na imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi kutoka Urusi kwa siku kadhaa. Kumekuwa na mapigano makali Volnovakha
Mapema, meya wa Mariupol alitoa wito wa raia kuruhusiwa kuondoka huku kukiwa na kile alichokiita "kizuwizi" cha vikosi vya Urusi
Kwingineko, mapigano yanaendela. Milipuko mingi ilisikika katika Kharkiv, Kaskazini Mashariki mwa ukraine
Katika mji wa mashariki wa Sumy, ambao umezingirwa na vikosi vya Urusi, mashambulio ya anga yalianzakumi na moja alfajiri, kulingana na vyombo vya Habari vya Ukraine
Tsh nyamisi DeepPond Sikirimimimasikini .
 
More than 1.2 million Ukrainians have already left their country and become refugees.

This CNN map shows how they are distributed among neighboring countries. (About 110,000 more left for countries that are not shown on the map). Infographic by Priya Krishnakumar, CNN.
IMG_20220305_110826_585.jpg
 
Back
Top Bottom