Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Ni swali dogo mwanangu. Umewahi kuvuta bangi chooni!? Jibu ndio au hapana.Jibu hoja acha mipasho ya kina hadija kopa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni swali dogo mwanangu. Umewahi kuvuta bangi chooni!? Jibu ndio au hapana.Jibu hoja acha mipasho ya kina hadija kopa!
Mpaka usiku wa Jana walikuwa wanakifikia cha tatumuda wowote kuanzia sasa urusi inaweza kukiteka kinu cha nyukia cha pili kwa ukubwa ulaya nzima
View attachment 2140543Vita vya kiuchumi ni vibaya zaidi kuliko vita vya makomborà.Assume Upo Moscow,kwenye Account unazo dollar milioni Halafu Huwezi kutoa bank Wala kununua kitu chochote supermarket.View attachment 2140544
Si ww kila siku huwa nakwambia vita si kitu rahisi Kama unavyo fikiri una komaza kichwa?Russia bila maNyuklia ni wachumba TU.Kwenye hii vita wangekutana na nchi yenye mifumo thabiti ya kujilinda na makombora na yenye silaha za uhakika, wangekuwa wameshamalizika.
Ukraine lilikuwa jambo la Soviet union,ni sawa na Zanzibar iisumbue Tanzania bara.Wangekutana na nchi iliyokamilika kama ufaransa au uingereza, Russia wangeomba poo!!
wanatembea na speed ya 4gMpaka usiku wa Jana walikuwa wanakifikia cha tatu
Mnaneno mengiii,vitendo sifuri.Ingekuwa hali iko hivyo si Russia wangekuwa kyiv sasa hivi wameikalia.View attachment 2140571wanajeshi wa ukraine wakizuia raia wasikimbia. hawa jamaa maji yamewafika shingoni wanataka kuwageuza raia kama ngao
Hapo Ndio Utagundua Ubungo wa baadhi ya watu haufanyi kazi vizuri.Ukraine yaiomba India imuombe Putin astopishe vita. Pia yawaomba eti raia wa kawaida wa India wamshinikize Putin astopishe vita.
Ni kama vile viongozi wa Ukraine wamechanganyikiwa, sasa raia wa India wanawezaje kumshinikiza Putin astopishe vita?
Halafu mbona kila kukicha hawa viongozi wa Ukraine wanalialia kuwatuma viongozi tofautitofauti wa nchi mbalimbali wakawaombee Poo kwa Putin wakati huo huo wanadai kuwa vita yao wanashinda?!
Mwambieni akae kimya andelee kushinda mechi yake hiyo
![]()
'Ask Russia to stop this war': Ukraine's appeal to India amid Russia invasion
Ukraine Foreign Minister Dmytro Kuleba urged India to ask Russia to stop the ongoing conflict and also called on ordinary Indians to put pressure on Russia to demand from them to stop the warwww.livemint.com