LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia mimi binafsi nilikuwa naamini hajatumia hata 20% ya jeshi lake sijui comment gani humu niliweka last week. Hata silaha zake ni outdated zaidi, silaha nyingi mpya ziko kwakwe uko ni hasara kufanya silaha zako latest zikamatwe kizembe. Nilikuwa najiuliza kwanini wanaokamatwa ni wadogo kiumri nikapata wanaojitetea wakikamatwa wanaonekana pia wapo conscripts wengi.

Hayo yote yanatokea kwa sababu niliyokwishasema wiki ya kwanza ya operation, Russia alikuja na jeshi kubwa na silaha nyingi kutishia Ukraine ikate tamaa ijisalimishe. Warusi waliamini kilichotokea Crimea wanajeshi wa Ukraine kujisalimisha, kuacha silaha na makamanda wengine kujiunga na jeshi la Urusi litatokea tena. Ndio maana siku chache baada ya assault yao kuwa repeled Putin aliomba wanajeshi wa Ukraine wampindue Zelensky, hakutegemea resistance na supply hakuwa nayo wala hakuwa na wanajeshi wa kupigana aliwapeleka watishie kwa show of force.

Wakati Ukraine ilipompata Zelensky asiye na washirika wa kutaka wapewe upendeleo akafuta uongozi wa nchi na kurekebisha uongozi wa jeshi.
Makamanda waliopigana na Russia mwaka 2014 karibia wote walisoma kwenye jeshi la Soviet Union hivyo walisoma na makamanda wavamizi wa Urusi na waliwahi kaa Urusi kwenye mizunguko ya kijeshi, kumbuka USSR imevunjika miaka 31 iliyopita. Within Ukrainian military kulikuwa na Russian symphathizers wenye Soviet nostalgia wengi ambao hawakupigana wala wasingepigana mwaka huu. Zelensky alitoa maofisa wenye tabia za Kisovieti (fuatilia tofauti ya wanajeshi wa Tanzania waliosomea Russia vs waliosomea NATO countries tabia zao) akaweka walio neutral au wamesoma Western. Nishasema humuhumu tafuta kwanini jeshi la Ukraine liliongozwa na Lieutenant General Valery Zaluzhny aliyepandishwa cheo kuwa General jana Jumamosi na Rais Zelensky. General Zaluzhny ana miaka 48 tu! Nilisema kuhusu alivyopigana frontline tangu 2014, kakaa sana field huyo hata mpaka vyeo ilikuwa ngumu kumpandisha haraka.

Haya mambo hayaitaji uyajue siku vyombo vya habari vinavyoyakazania. Nimeanza ufatilia mgogoro wa Ukraine since 2014 na huyu Zaluzhny kipindi bado mdogo jeshini hana vyeo, ni graduate wa 2007 kwenye military academy. Nimetazama sana documentaries zao, propaganda za Russia, mchafuko wa kisiasa ndani ya Ukraine. Leo hii anatokea mtu ambaye sijui kaijua Ukraine mwezi wa pili, ana matusi na hana hoja anasema ninalishwa propaganda za Westerns.
Haya ndiyo tunataka sasa kuyasoma na tunajifunza,uzi huu unapata heshima yake kutokana na nondo kama hizi.
 
.
A Ukrainian soldier surrenders with giblets Zelensky, who was talking about the "peaceful airport of Vinnitsa." The man in the video directly speaks about the military base. And then he says something about missiles from Transnistria, although these are missiles from ships of the Black Sea Fleet of the Russian Federation.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Russia mimi binafsi nilikuwa naamini hajatumia hata 20% ya jeshi lake sijui comment gani humu niliweka last week. Hata silaha zake ni outdated zaidi, silaha nyingi mpya ziko kwakwe uko ni hasara kufanya silaha zako latest zikamatwe kizembe. Nilikuwa najiuliza kwanini wanaokamatwa ni wadogo kiumri nikapata wanaojitetea wakikamatwa wanaonekana pia wapo conscripts wengi.

Hayo yote yanatokea kwa sababu niliyokwishasema wiki ya kwanza ya operation, Russia alikuja na jeshi kubwa na silaha nyingi kutishia Ukraine ikate tamaa ijisalimishe. Warusi waliamini kilichotokea Crimea wanajeshi wa Ukraine kujisalimisha, kuacha silaha na makamanda wengine kujiunga na jeshi la Urusi litatokea tena. Ndio maana siku chache baada ya assault yao kuwa repeled Putin aliomba wanajeshi wa Ukraine wampindue Zelensky, hakutegemea resistance na supply hakuwa nayo wala hakuwa na wanajeshi wa kupigana aliwapeleka watishie kwa show of force.

Wakati Ukraine ilipompata Zelensky asiye na washirika wa kutaka wapewe upendeleo akafuta uongozi wa nchi na kurekebisha uongozi wa jeshi.
Makamanda waliopigana na Russia mwaka 2014 karibia wote walisoma kwenye jeshi la Soviet Union hivyo walisoma na makamanda wavamizi wa Urusi na waliwahi kaa Urusi kwenye mizunguko ya kijeshi, kumbuka USSR imevunjika miaka 31 iliyopita. Within Ukrainian military kulikuwa na Russian symphathizers wenye Soviet nostalgia wengi ambao hawakupigana wala wasingepigana mwaka huu. Zelensky alitoa maofisa wenye tabia za Kisovieti (fuatilia tofauti ya wanajeshi wa Tanzania waliosomea Russia vs waliosomea NATO countries tabia zao) akaweka walio neutral au wamesoma Western. Nishasema humuhumu tafuta kwanini jeshi la Ukraine liliongozwa na Lieutenant General Valery Zaluzhny aliyepandishwa cheo kuwa General jana Jumamosi na Rais Zelensky. General Zaluzhny ana miaka 48 tu! Nilisema kuhusu alivyopigana frontline tangu 2014, kakaa sana field huyo hata mpaka vyeo ilikuwa ngumu kumpandisha haraka.

Haya mambo hayaitaji uyajue siku vyombo vya habari vinavyoyakazania. Nimeanza ufatilia mgogoro wa Ukraine since 2014 na huyu Zaluzhny kipindi bado mdogo jeshini hana vyeo, ni graduate wa 2007 kwenye military academy. Nimetazama sana documentaries zao, propaganda za Russia, mchafuko wa kisiasa ndani ya Ukraine. Leo hii anatokea mtu ambaye sijui kaijua Ukraine mwezi wa pili, ana matusi na hana hoja anasema ninalishwa propaganda za Westerns.
Kwa hiyo kwa maoni yako plani yao ya kwanza ndio imewafanya kushindwa kumaliza vita mapema.

Una dhani iwapo Urusi ingetumia kikosi kingine chenye uzoefu mkubwa wangeimaliza vita mapema tofauti na sasa?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Haya ndiyo tunataka sasa kuyasoma na tunajifunza,uzi huu unapata heshima yake kutokana na nondo kama hizi.
Kuna yule askari wa Usa alipigana Afghanistan ameeleza vizuri sana kuwa kwa yeye anavyoijua Urusi hata 15% ya nguvu yake hajatumia Ukraine. Hata askari waliokuwa kule ni TS tu na Private wachache sana ambao ndio wanasimama kama viongozi wa operation na za chini chini anahofia icje akatumia jeshi Ukraine alafu baada ya mda avamiwe na nchi kubwa kubwa na atapigwa kirahisi sana
 
The United States gave the "green light" to NATO countries to supply fighter jets to Ukraine.

The US has given the green light to NATO countries if they decide to provide Ukraine with fighter jets. It comes a day after Zelenskiy asked members of Congress to provide combat aircraft during a Zoom video call on Saturday.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Kuna watu humu wanafikiri vita ni sawa na kukimbiza mwizi wa kuku, guys vita ni ngumu. Unapojiandaa mwenzako nae anajiandaa, ndo maana kunakua na several plans. Russia kutokuimaliza vita in few says haimaanishi wameshindwa, ni tactics tu na Ukrain nao walijiandaa.

Israel na uimara wao walipata shida sana kupigana na Hezboola ambao walikua like 3000 tu, sembuse jeshi la nchi lenye support ya US na Europe?

I conquer with Russia and believe they gonna achieve the best...

Ukranians waendelee kuwapa challemges but the more they hold, the more wanaharibu nchi yao.
 
Briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation:

  • Russian Aerospace Forces with high-precision weapons disabled the airfield in Vinnitsa
  • Fighter aircraft and air defense of the Russian Aerospace Forces shot down three more Ukrainian Su-27 fighters and three drones in the air
  • Almost all combat-ready aviation of the Kiev regime was destroyed
  • The Russian Defense Ministry warned neighboring countries about the inadmissibility of using their airfields for basing Ukrainian combat aircraft
  • The Ministry of Defense of the Russian Federation warned employees of Ukrainian defense industry enterprises about striking with high-precision weapons
  • In the course of a special operation in Ukraine, the facts of an ongoing military-biological program funded by the United States were revealed
  • In the Ukrainian biolaboratories in the immediate vicinity of the territory of Russia, the development of components of biological weapons was carried out
  • The Ministry of Defense of the Russian Federation published the original materials from Ukrainian biological laboratories, which are funded by the Pentagon
  • With the beginning of the special operation of the Armed Forces of the Russian Federation, the pathogens of plague, anthrax, cholera were urgently destroyed in Ukrainian biological laboratories

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Hizi S-300 hata Russia wanazo na zimekamatwa na kuharibiwa na Majeshi ya Ukraine.

Kumbuka Ukraine ilikuwa mnunuzi mkubwa wa vifaa ya Kijeshi vya Russia.

So far kwenye huu mgogoro umeonesha kuwa Ndege za na vifaa vingi vya Russia si vizuri kwenye vita kama vinavyosemwa.

hadi sasa Licha ya Ukraine kuwa na Jeshi dhaifu kulinganisha na la Urusi ila limeweza kuangusha Karibu ndege za Russia zaidi ya 10.

Imagine Ufaransa, UK, Marekani wote walete ndege zao.

So far Mtu aliyepata soko kwenye Hii vita ni Uturuki na zile Drone zake na yale makombora ya marekani ya kutungulia Vifaru

Kuna yule askari wa Usa alipigana Afghanistan ameeleza vizuri sana kuwa kwa yeye anavyoijua Urusi hata 15% ya nguvu yake hajatumia Ukraine. Hata askari waliokuwa kule ni TS tu na Private wachache sana ambao ndio wanasimama kama viongozi wa operation na za chini chini anahofia icje akatumia jeshi Ukraine alafu baada ya mda avamiwe na nchi kubwa kubwa na atapigwa kirahisi sana
Nyamizi akikusikia atakushambulia huku moyo ukimuuma na kujiuliza hivi kweli USA kashindwa kuingia pale?
 
Briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation:

  • Russian Aerospace Forces with high-precision weapons disabled the airfield in Vinnitsa
  • Fighter aircraft and air defense of the Russian Aerospace Forces shot down three more Ukrainian Su-27 fighters and three drones in the air
  • Almost all combat-ready aviation of the Kiev regime was destroyed
  • The Russian Defense Ministry warned neighboring countries about the inadmissibility of using their airfields for basing Ukrainian combat aircraft
  • The Ministry of Defense of the Russian Federation warned employees of Ukrainian defense industry enterprises about striking with high-precision weapons
  • In the course of a special operation in Ukraine, the facts of an ongoing military-biological program funded by the United States were revealed
  • In the Ukrainian biolaboratories in the immediate vicinity of the territory of Russia, the development of components of biological weapons was carried out
  • The Ministry of Defense of the Russian Federation published the original materials from Ukrainian biological laboratories, which are funded by the Pentagon
  • With the beginning of the special operation of the Armed Forces of the Russian Federation, the pathogens of plague, anthrax, cholera were urgently destroyed in Ukrainian biological laboratories

View attachment 2141434

Mzee wa breaking news[emoji119]
 
Wewe jamaa una hoja za kusadikika sana, nimekufatilia humu kwenye huu uzi naona unajiropokea tuu
Pro NATO wanajenga hoja dhaifu sana mpaka nawasikitia uwezo wao ulivyo dhaifu. Yaani ni kufanya attack huku wakienda kujiliwaza CNN na BBC juu ya kichapo wanachopewa wanazi wa Ukraine huko wanafarijiana kila kitu kipo sawa lakini ukweli wanaujua.

Kuna document zinakamatwa na Urusi kwenye hiyo operation kwamba mmarekani alipanga kuwaangamiza warusi kwa kemikali za sumu na silaha za kibailojia. Hapo nachelea kusema ngoma inogile hiko kizazi za wanazi wa Ukraine watasulubiwa
 
Maskini watakua walimwambia watamsaidia incase ya vita mwisho wa siku wamekimbia jamaa imebd atoe povu kua NATO ni waoga na dhaifu[emoji38]
 
Back
Top Bottom