LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Apa hamna ligha kali yoyotw iliyotumika alafu apa sijaona hoja yoyote ile ya kujibu hoja zangu so labda urudie kuandika upya may be unaweza may unawez ukaja na point yenye mashiko

swali la msingi katika iyo vita yako uliyoianzisha ni kipi cha maana umeachieve mpaka sasa acha porojo bhana

Lete majibu ya ilo swali braza!! Nb (kama unayo lakini) sitaki hizi hoja zako za kitoto
Kuilegeza, kuidhoofisha na kuondoa neo Nazi kutoka maeneo tuliyofikia
 
Miji muhimu yote ya Ukraine ipo pembezoni mwa hilo Taifa.

Kiev
Mariupol
Odessa
Maliutopol

Kumbuka mji muhimu baada ya kiev ulikuwa ni Donetsk ambao upo mikononi mwa pro Russia.

Haya mkuu niambie kati kati ya Ukraine Kuna nini Cha maana zaidi ya vijiji.

Mchekeshaji Zelensky jana alisema huku akilia lia kwamba Warusi wanapanga kuishambulia Odessa ambayo imepakana na Transtiria kama sijakosea.

Transtiria ni Jimbo lililo jitenga kutoka Urusi na Lina pro Russia.

Ila inauma sana mchekeshaji Zelensky kuharibu nchi, uchumi na roho za watu ili tu kujiunga NATO.
Ikichukuliwa tu Kiev,Khakiv ,Odessa na Maliupol basi biashara imeisha hapo
 
Ameandika pumba sa na wakati kapewa uwezo wa kufikiri na kuchanganua alafu yeye anajiandikisha pumba!!
Jamii forum ni sehemu ya watu wenye bongo.
Ambapo hutumia nguvu ya hoja kushinda mada.
Na sio maneno ya kashfa, kejeli, matusi.
Mimi nilijiunga huku baada ya kuwa msomaji Toka 2016.

Hivyo usitumie lugha zisizo na stara badala yake tumia hoja kumshinda.
 
kumwadhibu kwa vikwazo.
Sio vikwazo tu pia wamefanya apata hasara kubwa sana;Wanajeshi waliofariki zaidi ya elfu 11,vifaa vingi vilivyoteketezwa,kutengwa kimataifa mpaka na marafiki zake.Nchi ziliyoonyesha kuwa naye pamoja; Belarus pamoja na Eritrea.Hata China Bado anapima upepo,ukichukulia China ya sasa ipo kimaslahi zaidi!
 
Elfu 11???...hata BBC hawajasema hii...bila shaka upo ndani ya Kiev kabisa...
 
Sio vikwazo tu pia wamefanya apata hasara kubwa sana;Wanajeshi waliofariki zaidi ya elfu 11,vifaa vingi vilivyoteketezwa,kutengwa kimataifa mpaka na marafiki zake.Nchi ziliyoonyesha kuwa naye pamoja; Belarus pamoja na Eritrea.Hata China Bado anapima upepo,ukichukulia China ya sasa ipo kimaslahi zaidi!
Ikianza kuhesabiwa hasara Ukraine ndio mtajua kazi ya Urusi haina makosa
 
Wamogoma kuwaachia kwa sababu nyie watz ni wajinga kupitiliza yaani mwenye nchi ni ukrain ndo ana mamlaka na mandate ya Ardhi ya Ukrain alafu mlivuo mapopo eti mnaenda kuongea na Russia ambaye ni mvamizi na hana mamlaka ndani ya Ukrain eti awaondoe sasa mtu unajiuliza uyo mrussia atapitia wapi mpaka awafikie hao wanafunzi bila kushambulowa na majeshi ya ukrain

Ni lazima serikali ya Tz ijiisalimishe na kuongea na serikali ya ukrain ndo hao wanafunzi wataweza kutoka hapo walipk tofauti na ivyo hawatokaa watoke mpaka hii vita inaisha ama watapigwa mabomu kaMa watu wengine

Sisi watanzania ni watu tusiotumia akili ata kidogo unaweza vip kuongea na uganda ambaye kaivamia tanzAnia na anashikilia mkoa wa kagera eti awaondoe Raia wa south Africa walioko Arusha hii i awezekanaje watz tuwe tunashilikisha mafuvu yetu ya vichw kufikiri na kuchanganua
Kwa hiyo unafikiri ni sahihi kushikilia watu Toka Mataifa mengine kisa vita yao, huo ni uhalifu.

Pili kutoka walipo mpaka Urusi ni karibu kuliko kupitia Poland, Romania au Georgia.

Tatu hii inathibitisha ukweli kuwa wanatumia raia kama Kinga wasishambuliwe.

Nne sijui umesahau ubaguzi mkubwa wa rangi kwa watu wanaotaka afika na Asia kuvuka mipaka iliyopo upande wa Poland, Romania au Georgia.

Tano unasahau wanafunzi kutoka afrika au Asia wamekwama huko na manyanyaso mengine.

Sita wewe ndio ungekuwa raisi wa nchi ungechukua maamuzi gani
 
Warusi wote wazee wenye mawazo ya kizamani ya kutumia mabavu ,upande wa Ukraine ni vijana wa kisasa ,wako kikazi zaidi hakuna cha masuti kama ya hao Wazee.Hapa sitegemei la maana sana kwakuwa Wazee siku zote wako rigid. Frustration msiwe mnaleta hivi vikongwe kwa mazungumzo,vitaturudisha kwa mawazo ya 60"s huko.
Hakuna Kijiji kinachokosa wazee, halafu kikafanikiwa
 
Anajikosha, maskini hawezi shindana na tajiri, yaani eti utumie mfumo wa India sijui Brazil and such nonsense.

By the way coalition ya Maskini hakuna cha maana itafanya.

Ndio maana Russia wame stuck kwa sababu pesa hawana.

Marekani anaweza kumuogopa Mchina tuu kwa sababu anaweza kumtikisa kwenye uchumi na sio pimbi wengine.

Hii vita ikiwa prolonged, Russia atafilisika and how it can be prolonged ni kwa Ukranian allies kuwapa silaha na msaada wa pesa.

Option pekee ya Russia ni kutumia silaha kali zaidi lakini atakuwa anajiweka kwenye hatari kubwa ya kupewa mbinyo zaidi na western.

Kwa sasa West wanamsibiria akiingia tuu wanaweka embargo maana kesho wanakutana kupanga hatua zaidi za kuchukua .
Nakukumbusha tu huwezi kuiwekea embargo Russia.
Huwezi kuiwekea embargo Taifa kubwa iliwahi kufanyika hivyo ni Cuba na India ya zamani iliyochoka
 
Nakukumbusha tu huwezi kuiwekea embargo Russia.
Huwezi kuiwekea embargo Taifa kubwa iliwahi kufanyika hivyo ni Cuba na India ya zamani iliyochoka
Watu kama wewe nawatamani Sana, yaani unashadidia kwenda kuua na kuvamia Nchi nyingine.

Nina hasira za kukudedisha kabisa.
 
British Prime Minister Johnson said that Russian oil and gas cannot be abandoned overnight.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Na wawatie kibindoni hivyo hivyo,ni upuuzi wa Hali ya Juu na hayo ndio madhala ya kuweka watu wasio na uwezo wa akili..

Ndio maana nawakubali Wakenya wako clear na Wana side na Nchi zenye uwezo sio maskini.

Sasa Tzn inajua kule kuna serikali na iko active unaenda kuwasiliana na wavamizi Ili wakusaidie nini?
Ukiwa mfatiliaji mzuri wa historia, utagundua Kenya sio Taifa la kuliamini.

Kenya aliwasapoti Makabulu kwenye utawala wao wa kikandamizaji.

Kenya aliwasaliti wapigania uhuru toka Mataifa mbalimbali kama Dr Nnandi.

Kenya ni Taifa pekee katika jumuiya ya afrika mashariki yenye Kambi za Kijeshi Toka Mataifa mengine.
Kuna Mwingereza na Mmarekani.

Kenya huwa anaside na upande wa Magharibi bila hoja Wala sababu kisa tu pesa.

Labda kaka unafikiri uhayawani ni sifa nzuri
 
The US recognizes that restrictions on Russia over the situation in Ukraine will come at a price, as evidenced by price fluctuations in the energy market, Kerry said.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Sio vikwazo tu pia wamefanya apata hasara kubwa sana;Wanajeshi waliofariki zaidi ya elfu 11,vifaa vingi vilivyoteketezwa,kutengwa kimataifa mpaka na marafiki zake.Nchi ziliyoonyesha kuwa naye pamoja; Belarus pamoja na Eritrea.Hata China Bado anapima upepo,ukichukulia China ya sasa ipo kimaslahi zaidi!
Hiyo source ni ya uongo
 
Ukiwa mfatiliaji mzuri wa historia, utagundua Kenya sio Taifa la kuliamini.

Kenya aliwasapoti Makabulu kwenye utawala wao wa kikandamizaji.

Kenya aliwasaliti wapigania uhuru toka Mataifa mbalimbali kama Dr Nnandi.

Kenya ni Taifa pekee katika jumuiya ya afrika mashariki yenye Kambi za Kijeshi Toka Mataifa mengine.
Kuna Mwingereza na Mmarekani.

Kenya huwa anaside na upande wa Magharibi bila hoja Wala sababu kisa tu pesa.

Labda kaka unafikiri uhayawani ni sifa nzuri
Sasa wewe ndugu unataka ku side kwenye pesa au kwenye umaskini?

Hoja wanayo,hawakuwa wanakubaliana na mfumo wa kijinga wa ujamaa.

Mbona husemi Kenya ilisaidia Tzn tusipate kichapo kutoka kwa Amini via msaada wa Libya?
 
Back
Top Bottom