LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwa sasa Mrusi ndiye yupo kwenye offensive, maana kwamba yeye ndiye anashambulia, Ukraine wao wanaendelea kupambana kuhimili mashambulizi yake.

Kihistoria Urusi wakifanya mashambulizi wao hupigana kizalendo na wapo radhi hata kufa mamilioni lakini wafanikishe lengo, ndicho walikifanya kwenye vita vya pili vya dunia, waliuawa mamilioni lakini walisonga mbele kwa mbele mpaka wakaingia Berlin kwa Hittler.
Lakini kwanza huwa mwanzo uwaaminishe kwanini wapigane, kwanini wajitolee kufa, uwachochee na kuwapa mzuka, ila kwenye huu ugomvi Putin kawakanganya kwa kukurupuka, amewatumbukiza kwenye ugomvi ambao hawauhitaji na hawautaki, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kama Quora utaona namna gani Warusi wanapinga hivi vita.

Pia kwao kule wanakamatwa wengi wanaothubutu kufanya maandamano ya kupinga hivi vita vya Putin.
Mkenya huwa Muongo huyu......
 
Kulikuwa na speculations mbili.....
1. Western russians wana Ndugu wengi Ukraine ni ngumu kuwaambia wapigane.
2. Kungekuwa na Riots kwenye miji mikubwa as their sons wangekuwa wamepelekwa vitani, lakini saiv hawawezi Goma sababu sio watoto wao waliopo vitani.
Asante mkuu, this makes more sense. Western part na ndipo kuna population kubwa na miji mikubwa
 
Tuambie wewe unataka nani atupe Takwimu,Putin au? 😁😁.

Zingine hizi hapa,njooni muwakomboe kabla hawajakatwa makende.

View attachment 2143214
warusi hawana roho mbaya bhana wanawazika wanajeshi wa ukraine
img_2_1646733816873.jpg
 
China and Russia will continue to cooperate, no matter how hostile the international environment.

This was stated by Chinese Foreign Minister Wang Yi at a press conference on the occasion of the annual meeting of the National People's Congress.

The diplomat noted that cooperation between Russia and China not only benefits the peoples of both countries, "but also contributes to peace, stability and development in the world."

For China, Russia is a close neighbor and strategic partner, and relations with Moscow are "among the most important bilateral relations in the world," said Wang Yi.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Ukraine pop Singer Sofia Rotary
Ukrainian media report that the son and grandson of Sofia Rotaru were detained on the border of Ukraine and Moldova.

Ruslan and Anatoly Yevdokimenko were allegedly among nine people who, near the city of Mogilev-Podolsky, tried to leave the country on boats. This video is posted as evidence.

There are no official confirmations.

Earlier, the media wrote more than once that the singer helps the forces in the ATO zone and finances them. But Rotaru herself and her family denied this.
IMG_20220308_133539_791.jpg

 
Generali wa pili wa Urusi auawa Ukraine.Mfumo wa mawasiliona wa jeshi la urusi wafumuliwa na hackers,mawasiliano yote hadharani. Uhaba mkubwa wa chakula na mafuta unawakabili majeshi ya uvamizi. Morali ya jeshi imeshuka kwa kiwango kikubwa baada ya mashambulizi ya kitaalam ya jeshi la Ukaraine. Kremlin:Vladimir Putin azidi kuchanganikiwa,hasa ukizingatia ushahidi wa uhalifi wa kivita unazidi kuzunguka kwenye mitandao ya kijamii. Majenerali wa Vladimir Putin wanahoji busara ya Putin kutumbukiza Urusi vita vya 'kipuuzi' kabisa. Jumuiya ya kimataifa inazidisha kibano vikwazo vya uchumi.-Toyota ,Nissan wamesitisha uzalishaji magari Urusi.
Ugonjwa wa Akili ni unazidi kushamiri aisee.
 
Ukreina inakwambia tuneharibu silaha za urusi na kuwateka wanajeshi. Mwamba putin yeye anaendelea kunyakulia majimbo
#mtu mkimya muogopo
kwasasa silaha ya ukraine ni progaganda tu ha ha ha ha

View attachment 2143065
Ivi huu upuuzi unautoaga wapi kwani mzee mbona unapenda kutuletea taarifa za uongo uongo muda wote yaani hzi taarifa zako nyingi ni uchwara mfano hii map sijui umeitoa Rt au?
 
HIZI Humanitarian coredor Russia Asipokuwa Makini Huu ndio Mwisho wake.

Ukrainian Defense Minister Reznikov said that there is "significant progress" in the supply of weapons and ammunition to Ukraine.

“I will not comment on the supply of weapons and ammunition - this is a sensitive moment. Let the enemy be in for a surprise. Know: there is significant progress,” he wrote on Facebook.

View attachment 2141844
#Al Sahaf
 
na wakitoka urusi anawapeleka
belarus au urusi,
kitu ambacho waukraiane
hawataki kwenda kwenye hizo nchi ambazo ndo watesi wao,
hayo magari yangekuwa yanaelekea poland
mambo yangekuwa tofaut.
This makes sense.Nilipatwa na mashaka mno kuona maneno mengi ya kujiliza liza ya Russia,yani anawalazimisha watu waondoke hata kama hawataki.Yeye ashushe tu hiyo mnvua ya mabom kama anataka na siyo kuja na visingizio lukuki vya kwa nini watu hawaondoki.
 
Back
Top Bottom