MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kiongozi nimecheki you tube vifaru vinaingia kat kati ya huo mji na hakuna ushindani.sasa urusi imeshauchukua mji wa nikolaev muda huu
Ukraine iliweka nguvu sana hapo ili kuilinda Odessa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi nimecheki you tube vifaru vinaingia kat kati ya huo mji na hakuna ushindani.sasa urusi imeshauchukua mji wa nikolaev muda huu
Upo sahihi ila anazipeleka kwa Kambi ya Wamarekani iliyopo ujerumani ili wao wasiingie kwenye mgogoro wa Moja kwa Moja na urusi.Sio troops, Poland wamesema watawapatia Ukraine Ndege vita zote za aina ya MIG-29
Tayari inamuumiza ... bei za mafuta zimepandaHiyo ban hata yeye mwenyewe US itamuumiza tu,ndo maana ameenda kujipendeza venuela ,ili wamuuzie mafuta .na supplyer mkubwa wa hizo nishaati ni Russia ,Sasa kumpiga ban ,maana yake uwe na mtu mwngine anaye supply Mara 2 ya Russia ,na kimsingi hakuna!
sidhani waliwazia uzito wake... inaonekana wanahaha mbio mbio. hawakuwa na mipango ya kuongea na Venezuela na Irani kununua mafuta - hizi nchi walizichukia, na kuziwekea vikwazo - hazijabidilikaUnadhani waliopiga ban hawajaona
kwa wamarekani na wenzao wanaulaya magharibi - ndioJamaa anazan watu wanaamka ndoton na kusema tu Ban bila ya kuangalia mbele
siasa zao zitawazengua... ila tunasahau mrusi bado ana kete. Kwa mfano Iran anataka ile ruksa ya nyuklia, mrusi yumo na nguvu ya uamuzi - pia nahisi mrusi alishapata dili la kutengeneza hizo nyuklia za Iran. Haya mchina pamoja na kuwa kimya pamoja na mhindi - wana biashara kubwa na warusi... sioni kama India na China na Brazil na Afrika Kusini ambao wana umoja wa kiuchumi wataweza kuacha biashara ... pili wamagharibi hawawezi kuwekea vikwazo nchi hizi zikiamua kufanya biashara hiiMrusi ndo itamuumiza zaidi kwa sababu sio mrusi pekee anayezalisha mafuta,so nchi zingine zitafaidika zaidi pia kuuza.
Anafanya hivyo ili kumreplace mrusi katika soko,na atakuwa replaced kwa sababu hata huyo venezuela ataangalia maslahi ya uchumi wake hatajali na hatowanunia wamarekani,atakubali na mrrusi atakuwa replaced kidogokidogo.
,Saudi Arabia, Canada, China na venezuela naye akikubali kusupply mafuta hawa wote wanamreplace mrusi kwa kiasi kikubwa sana ukiongeza na wairan pia ambao nao wakikubali kuuza mafuta yao katika soko basi mrusi ataumia
asante mkuu... ni maneno kutupumbaza duniaShetani Kuu la Dunia Marekani kwanza mafuta ya Urusi linachukua Asilimia 5 sasa ndio nn hicho hayo tutanunua hata sisi
Wewe si ulikua unashangalia vitaMkuu mapipa milion 60 ya mafuta yatasaidia basi mkuu?
Tujiandae kuishi maisha magumu tu hakuna namna.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Unadhani watakataa?! Hakuna mbabe mbele ya njaavenezuela na iran hawajakubali bado kuuza mafuta weka source hapa tuone
SijuiHakika umejitolea sana katika hili. Vipi lakini kuhusu taarifa za upande wa pili nazo zikoje. Au wao mambo yanakwenda intact kabisa. Au huzipati
Msaada muhimu ni kufanya majadiliano na Urusi ili kusitisha vita, hii kutoa silaha ni kuchochea Vita.BREAKING NEWS
2 HOURS AGO.
Msaada wa Kijeshi wa Marekani kwa Ukraine umefika mda huu. ATGM na MANPADS za Kutungulia Vifaru na ndege zaidi ya 20,000 elfu zimewasili Ukraine. Thamani halisi ya Msaada huo wa kijeshi haijawekwa wazi.
Siku na Jumamosi,Marekani ilitangaza msaada wa kijeshi kwa Ukraine wenye thamani ni $ 360 mln.
View attachment 2143813
Msaada muhimu ni kufanya majadiliano na Urusi ili kusitisha vita, hii kutoa silaha ni kuchochea Vita.
China yaomba serikali ya Marekani itoe maelezo ya kutosha juu ya maabara zake 30 za utengenezaji wa silaha za kibaiolojia alizozijenga kisirisiri nchini Ukraine
View attachment 2143913
![]()
China Asks the US Details on Biolabs in Ukraine
The Chinese government demanded the U.S. release information about the U.S. Department of Defense Biolabs operating in Ukraine.www.telesurenglish.net
Not easy as you thought!Ukreina inakwambia tuneharibu silaha za urusi na kuwateka wanajeshi. Mwamba putin yeye anaendelea kunyakulia majimbo
#mtu mkimya muogopo
kwasasa silaha ya ukraine ni progaganda tu ha ha ha ha
View attachment 2143065
Hii vita haiishiMsaada muhimu ni kufanya majadiliano na Urusi ili kusitisha vita, hii kutoa silaha ni kuchochea Vita.
Hana huo ubavu anategemea dola kuliko.kitu chochoteUrusi naye aiwekee USA vikwazo..