NATO wanataka rushia apigane na ukrein mpaka pumzi imwiishie alafu ndio waje kumchakaza kabisa kijeshiIla bado kuna swali binafsi najiuliza, kwanini upande wa magharibi umejikita katika "Kukokea kuni" kwenye vita hii na sio kuitafutia suluhu.
Swali langu ni kua kwanini hawataki kuwakalisha chini wayamalize kwa "Dialogue" kama anavofanya Germany, France, China, Turkey na wengineo.
Why wao kila siku ni kutuma silaha but si kutafuta suluhisho...
Lingine pia huwa najiuliza. Hivi inawezekana nchi ikavamiwa na "Wavamizi" wanaoua watu kisha itumie week 2 kuteketeza idadi ya waty waso fika ata 500?