Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
HahahaDuh [emoji848]
Walidhani kupambana na Mrusi ni kama kupambana na mwarabu.
Wameshushiwa mvua ya makombora ya ndege. Hajakaa sawa chopper ikashusha mvua nayo! Kwa nini asichanganyikiwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaDuh [emoji848]
Wewe mwenye maono na mipango mbona uko kwenye keyboard husogezi mbupu zako kwenye mstari wa mbele Ili tuwapime vizuri Kati yake na wewe? 😁😁😁😁😁Huyu Zelensky ni Kiongozi asiye na maono Wala mipango
Huyu mwamba hana habari. Ukraine wanatangaza wamemuua, Ila mwana anakaa kimya![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mtizamo wake ila members wengine wamepitisha ombi lakeFrench President Emmanuel Macron said that he does not consider it possible to consider the procedure for considering Ukraine's application for EU membership in the context of a conflict.View attachment 2146070
Wameamua sasa kusema kinachoendelea, taratibu watu wataelewa hii OP.View attachment 2146538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana... Ila hii dunia bn... Bado najiuliza how sie binadam tuso na vyeo wala power tunatumika sana kwa interest za watu bila kuhoji wala kufikiria mara mbili mbili...Hahaha
Walidhani kupambana na Mrusi ni kama kupambana na mwarabu.
Wameshushiwa mvua ya makombora ya ndege. Hajakaa sawa chopper ikashusha mvua nayo! Kwa nini asichanganyikiwe?
Duh ni atari, sasa najiuliza tena apa kama ni kweli Russia ana Sera za kidikteta kwenye uchumi tfauti na Mchina.Sera za Uchumi na udikteta wa siasa na uongozi havihusiani..
Ni Mwendazake tuu ndio alikuwa fala analeta udikteta kwenye uchumi..
Kumbuka China aliachana na.sera za ujima.za.kijmaa kwenye Uchumi,akazibakiza kwenye siasa ndio maana yuko hapo.
Sasa Russia ambae ni muasisi wa hizo sera za kijima hazijamsaidia hadi sasa.
Na China yeye ana akili atapambana na US kwa kutumia mbinu alizitumia US za kujenga Uchumi afu ndio aanze kutunisha jeshi zaidi.
View attachment 2146566
Ndio maana anatapatapa mara ooh sisi hatufungi wala kuzuia biashara ya mtu mara sijui tunapunguza procedure za kuanzisha biashara mpya na vilio vingine vya kujifariji.Haihitaji degree kuona hofu aliyonayo juu ya vikwazo alivyowekewa.Anabaki kurudia yale yale ambayo tayari tunayajua,lakini kumbuka Warusi hawana walijualo kwa sasa yanayoendelea Duniani,wamebaki kumsikiliza Rais wao ndiyo anawaambia kile anachotaka wakisikie.
Af kingine nikusihi uzungumze bila kutukana. No matter who he was... Ni marehem kwa sasa kumuita alikuwa "Fala" kwenye vitu ambavyo mawazo yako na yake hayakufanana si jambo la maana....
Kamzidi yesu idadi ya kufufuka... Au katoka mawinguni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mwamba hana habari. Ukraine wanatangaza wamemuua, Ila mwana anakaa kimya!
Ghafla unamuona amekamata na kuteka kambi za Ukraine.
Wanamtangaza tena wamemuua!
Ghafla anaonekana anatoa msaada kwa raia wa Ukraine.
Wanamtangaza wamemuua.
Jamaa ni muislam. Mara anaonekana kwenye video anasali huku Warusi wenzake wakiweka guard ikiwa shambulio lolote likitokea.
Wanamtangaza tena wamemuua.
Jana kaachia picha yupo na mtoto wa Ukraine wamepiga picha ya pamoja.
Ukraine wamemuua huyu kamanda mara 4. Kamanda naye akafufuka mara 4.
Jana nilikuwa nawaangalia wanasiasa wa US. wanapendekeza iwekwe no fly zone dhidi ya Russia kwa Ukraine. Mwandishi wa habari anamuuliza no fly zone ina maana gani? Hajui! Anaulizwa ina maana unataka kulipua ndege za Russia? Anajibu Yes![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana... Ila hii dunia bn... Bado najiuliza how sie binadam tuso na vyeo wala power tunatumika sana kwa interest za watu bila kuhoji wala kufikiria mara mbili mbili...
Propaganda zao ni zaidi ya bongo movie.Kamzidi yesu idadi ya kufufuka... Au katoka mawinguni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Russia unaemsemea kwamba anafanya biashara na Western ni baada yakuvunjika kwa USSR ndipo sera za kufungua uchumi zilianza miaka ya 90.Duh ni atari, sasa najiuliza tena apa kama ni kweli Russia ana Sera za kidikteta kwenye uchumi tfauti na Mchina.
Hayo makampuni yanayojitangaza kila kukicha kujitoa kwenye soko la urusi yalienda kutafuta nini.
Kama Urusi wana sera ya kidikteta kwenye uchumi ilikuaje mmarekani na mataifa ya ulaya yakafanya nae biashara (ambao ndo uchumi wenyewe) tena kwa kui'mports zaidi kutoka Urusi kuliko ya yeye Mrusi anavo'import kutoka kwao...
Na ukiitizama hyo screen shot uliyoiambatanisha apo nazan ni kipengele kiasi katika maelezo yalotolewa na upande wa China.
Hadi sasa taarifa niliyonayo hakuna Rafiki wa Urusi aliye'declare wazi kumuunga mkono kumpiga Ukraine zaidi ya kukaa "Neutral"...
Ni china walogomea Unilateral Sunctions za Mrusi uku wakisema "kua vikwazo sio suluhisho mgogoro" akati huo huo wakikutana na Chancellor wa Germany Rais wa France huyi Malcon kujadili namna gani watalisolve hyo Issue kidiplomasia....
Sasa nirejee tena kwako kwasababu nataka kuelewa zaidi. Udikteta wa kiuchumi ukoje labda au me ndo siujui.
Na kinaendelea kweli kweli mkuu 👇He think[emoji28][emoji28]. Anafanya guesing acha kichapo kiendeleee
Kila ukweli unasemwa na wanasiasa ni kivuli cha ukweliVipi hyo style ya kudeal na huu mtifuano waionaje....? Ni sahihi wakifanyacho...
Mfano ukisoma haya maelezo apo chini kuna picha unaipata ni kama wana deal na watu wanaochangia Uchumi wa Urusi ambapo kiuhakika na wao pia wamo karib taifa lote la ulaya kupitia biashara zao na mrusi kwenye gesi.
“Abramovich is or has been involved in destabilising Ukraine and undermining and threatening the territorial integrity, sovereignty and independence of Ukraine, via Evraz PLC, a steel manufacturing and mining company in which Abramovich has a significant shareholding and over which Abramovich exercises effective control,” it said.
“Evraz PLC is or has been involved in providing financial services, or making available funds, economic resources, goods or technology that could contribute to destabilising Ukraine or undermining or threatening the territorial integrity, sovereignty or independence of Ukraine – which includes potentially supplying steel to the Russian military which may have been used in the production of tanks.”
Ukiendela kuyasoma hayo maelezo unajiuliza tena swali... Kama so uonevu kwa huyo jamaa why bado mataifa hayo hayo till sekunde hii tunaongea apa wanaendelea kutumia Gas y Mrusi, maana ake wanachangia pato la taifa la Mrusi... Maana ake wanachangia kum"undermine Ukraine... Kwa mujib wa maelezo au sababu wanazozitoa kunyanganya mali za watu walo karib na Urusi.
Sasa apa tuulizane issue n Ukraine au wana mambo yao nyuma ya pazia na sie tunayaendea kichwa kichwa [emoji848]
Got itNYUNDO YA MOTO ukianza kuzileta taarifa zako mfululizo nishtue kwani kunitag tu.
At least kwako naona napata taarifa za pande mbili bila mahaba na ushabiki.
Yes, Inasemekana not confirmed. Kwa sasa tuiweke kama PropagandaHii Zagreb ipo Croatia... Au me ndo machanganya?
Ni mwendo wa ukweli tuu saiziWameona wamedanganya sasa uongo umeisha[emoji28][emoji28]