LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
1647080566949.png

Picha na Anadolu agency ya Ankara Uturuki.

Mazungumzo kati ya ujumbe wa Russia ukiongozwa na Sergei Lavrov yameshindwa kufikia muafaka na ujumbe wa Ukraine uloongozwa na waziri wao wa masuala ya kigeni bwana Dymitro Kuleba.

Mazungumzo hayo yalifanyikia nchini Uturuki katika mji wa Antayla ulioko kusini mwa nchi hiyo.

Lavrov amesema Ukraine inatumia binadamu kama ngao katika kujibu mashambulizi na pia inapewa silaha kali na nchi za magharibi.

Kwa upande wake bwana Kuleba amaedai kuwa Russia inaleta mambo ya kizamani yanohusu historia wakati wao wataka kujadili masuala yaliyo mbele yao yaani vita inoendelea.

Pia Kuleba amedai kuwa Ukraine haijajisalimisha, haijisalimishi na haitajisalimisha.

Mwisho Kuleba amesema kuwa pia yaonekana kuna waamuzi wao Kremlin na sio katika majadiliano yaliopo.
 
Putin anao ubabe wa kijinga,anaendelea kupoteza askari wake na kuua raia wa Ukraine bila sababu ya msingi 🤔View attachment 2147792View attachment 2147793
Teh...teh...teh....pale inapodaiwa askari wa Putin wanauawa kwa maelfu halafu wanaolalamika kuuwawa huko ni waUkraine na waMarekani!

Acha wafe, na msilielie, sherehekeeni huo ndio ushindi kwenu. Au hamtaki ushindi🤪🤪🤪
 
Pale Corporation znapokuwa backed na politicians... Kila kitu kinaenda kisiasa...

Japo kiushabiki watu wanaeza kuona sawa ila akina mangi sie tunaona ni udufwashiii...

Sas em chukulia mfano ka apo unavosema... Kufunga migahawa 800 maana ake unapoteza revenue... Moja kwa moja unapoteza "Gawio" kwa ma'share holders.... Na sio Putin.

Je ukiporomoa mapato Investors watakuelewa kweli?

Apo bora maamuzi yawe yametoka kwao watakaush ila ka ndo "CEO" tu kajiamulia na mihemko yake kimoyo moyo najisemea ana la kujibu kwenye AGM... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba wewe unajua kuliko wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Ministry of Defense showed footage of the destruction of the BMP of the Armed Forces of Ukraine, taken from a drone.

Enemy military equipment at an equipped firing position in the Kiev region was hit with Krasnopol high-precision artillery ammunition, which was aimed at a laser beam.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
GENERAL- LIUTENANT IGOR KIRILLOV,

Kamanda wa kitengo nuclear, biological and chemical protection, Troop's of Russians armed forces,

Kwa njia zote zilizozoeleka kutumika na Marekani(US),
kuvuruga hali ya janga hili,
Hii ni zaidi ya uzembe na kukosa kuwajibika,
Kwa Marekani kusimamia uendelezwaji wa magonjwa ya kuambukiza zaidi, Huku kukiwa na ushahidi wenye nguvu kuhusu suala la utekelezaji wa gonjwa la Corona(Covid-19).
Huku utokeaji na sifa zake zikizua maswali mengi.

Mradi wa P-781 pia unahitaji uangalifu unatumia Popo Kama mdudu mwenezi (vector) na nyenzo (agent) wa siraha zijazo za kibaolojia(potential biological weapons agents) na Pathogens wanaotumika kwenye chunguzi Kama virusi na bakteria.(studies pathogens), ambao wanaweza kusambaa kutoka kwa POPO kwenda kwa binadamu, yakihusisha,
(plague leptospirosis brucellosis, Corona virus, na filariasis)
Nimuhimu pia kutambua kwamba chunguzi Kama hii ilitumika kuanzisha siraha za kibaolojia miaka ya 1940s na kikosi Cha jeshi la Japani 731,
Ambacho kilikuwa kimeiteka China, kikosi 731 kilitorokea (U.S) Marekani baada ya Vita ya pili mwaka 1945 na wakapewa hifadhi huko.





Screenshot_20220312-132455~2.jpg
Screenshot_20220312-132551~2.jpg
Screenshot_20220312-132608~2.jpg
 
A soldier of the Armed Forces of Ukraine, who voluntarily surrendered his weapons, says that the Ukrainian military themselves no longer want to take part in hostilities:

“We laid down our weapons, and our commanders began to shoot upwards. They said, “Where are you running to? Who are you afraid of? We said we don't want to fight. All the same people here. Nobody wants war. Everyone wants to sit at home with their mother, who has a father, sister, brother.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 

Russian rockets destroy Ukrainian airbase in Kyiv region​

Russian rocket attacks have destroyed a Ukrainian airbase near the town of Vasylkiv in the Kyiv region.
Mkuu mie naomba tu niweka video hiyo ya maroketi ya Russia yakiangamiza airbase ya Ukraine ndani ya Kyiv...yaani hiyobvideo hadi raha aisee🤣🤣🤣🤣

 
Israeli Prime Minister Naftali Bennet advised Zelensky to agree to Moscow's proposals and stop hostilities.

Axios writes about this with reference to a high-ranking Ukrainian official.

According to them, the telephone conversation took place on the initiative of the Israeli side. Zelensky and his advisers were not satisfied with Bennett's proposal.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom