NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah ngoja tuone itakuaje...Asante, kuhusu GDP pekee unasema kweli, hapa Urusi ni nafasi ya 11 duniani (kwa sasa, tuone mwaka ujao baada ya vikwazo walivyojipatia). Ila hii ni pamoja na biashara ya gesi na mafuta, inayoweza kucheza sana (nimeona ni asilimia 60% ya GDP).
Upande wa Pato la Taifa GDP kwa kila raia unasema kweli pia, nchi ndogo ziko juu. lakini linganisha chanzo hiki (inaunganisha data za IMF, Benki ya Dunia na UM) utaona Urusi kati ya nafasi 80-85 (nilikosea kuhusu 92, ilikuwa ya zamani), Marekani nafasi ya 6-10, Ufaransa 24-29. Pato kwa raia inasema kidogo kuhusu utajiri halisi ukiangalia ugawaji wa mali ndani ya nchi, ambayo huko Urusi ni kati ya nchi zenye tofauti kubwa sana kati ya matajiri wachache na maskini wengi (ni vibaya kote duniani, lakini hapa vibaya zaidi).
Ukiangalia si mapato bali mali, ninakuta hiyo: Wealth inequality is even more drastic, with the richest 10 percent of Russians owning 87 percent of the country's wealth, making it the most unequal of the world's major economies.
Mbezi ni Moja ya vitongoji ndani ya wilaya ya Ubungo katika mkoa wa Dar es Salaam na sio sehemu ya jijiMbezi ni wilaya ya jiji?
Toka Putin amevamia mpaka leo siku ya ngapi? Mandege yote na silaha zote , mavifaru na kila kitu yuko wapi?Ila ukisoma au tazama habari toka vyombo vya habari vya magharibi, unaweza ona kama Ukraine anashinda huo mtanange kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomba ka una hyo "Mindset ya Mzungu hakosei" kazana tu... sio kosa lako [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tawileMnaoshabikia Russia kuwekewa vikwazo vya kuichumi Nina habari njema kwenu. SOON RUSSIA ATAPOLOMOKA KUICHUMI NA KUZIDIWA NA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA. Semeni "Tawile"[emoji28]
Taratibu tu, tutajua nani ni mbabe katika sayari hii.The head of Russia's Space Agency has threatened to leave an American astronaut in space
after US President Joe Biden announced sanctions on the country
Russia has started retaliating. The war has now gone in to space . Russia is planning on abandoning an American astronaut in space who is suppose to be back home in 3 weeks time and also allowing the international Space Station to crash in to America .
![]()
NASA on alert as Russia threatens to abandon US astronaut and crash ISS
Russian space chief Dmitry Rogozin threatened to abandon US astronaut Mark Vande Hei onboard the International Space Station as the war rages on 227 miles belowwww.mirror.co.uk
View attachment 2147894
Inaonyesha huwezi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi kwa akili zako hizi.Wewe ni fala sio kila mtu yuko tayari kutoa Malinda kama wewe mwoga
Tatizo sio kuwepo ni kuirutubisha yaani kuiongezea Makali au uwezo kwani mafua hayakuwepo si yanaweza kuwa yamerutubishwa yakawa Makali na kuasili mfumo wa upumuaji ndo tunaaita corona kwani mbwa hawakuwepo zamani walikuwepo ila Sasa Kuna upandikizaji wa mbwa wa mbegu za kisasa pia nmesema kama angalizo tu so usininote vibaya na ndio maana uchina anakazina kuupata ukweli juu ya madai ya urusi so usighafilike na comments yangu mkuu nmetoa angalizo tuu nawew najua pia hupendi kufa kwa magojwa ya kutengenezwaUna ndoto wewe. Hujui HIV ilikuwepo kabla ya Ukrain kutoka kwa iliyokua USSR.......
Kama habari hii ina ukweli basi naona na US safari hii nao wataonja ladha ya vita moja kwa moja katika kipindi kifupi sana aisee.As Fuel Prices Spike in US, Gas Theft is Also on the Rise, Police Warn
Police departments across the United States are warning Americans that cases of gas theft have increased at pumps nationwide, urging the public to be on the lookout and recommending precautionary steps against the gas thieves.
The Everett Police Department in the state of Washington said that such thieves are using power tools to drill a hole in the gas tank and steal fuel.
Urusi akidondoka anayefuata ni China na west watatafuta sababu mbalimbali mpaka wampate either military au kiuchumi.Sera za Uchumi na udikteta wa siasa na uongozi havihusiani..
Ni Mwendazake tuu ndio alikuwa fala analeta udikteta kwenye uchumi..
Kumbuka China aliachana na.sera za ujima.za.kijmaa kwenye Uchumi,akazibakiza kwenye siasa ndio maana yuko hapo.
Sasa Russia ambae ni muasisi wa hizo sera za kijima hazijamsaidia hadi sasa.
Na China yeye ana akili atapambana na US kwa kutumia mbinu alizitumia US za kujenga Uchumi afu ndio aanze kutunisha jeshi zaidi.
View attachment 2146566
Inawezekana nipo Ukraine tayari. UnajuajeWewe mwenye maono na mipango mbona uko kwenye keyboard husogezi mbupu zako kwenye mstari wa mbele Ili tuwapime vizuri Kati yake na wewe? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Af mswahili Mimi namwambia akomae mpk mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uku kule mUSA anatuma silaha zake n "daily basis"Israeli Prime Minister Naftali Bennet advised Zelensky to agree to Moscow's proposals and stop hostilities.
Axios writes about this with reference to a high-ranking Ukrainian official.
According to them, the telephone conversation took place on the initiative of the Israeli side. Zelensky and his advisers were not satisfied with Bennett's proposal.
Galip SV LiwaguView attachment 2147869