Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Mariupol hali ni mbaya sana, Russia anaupeleka moto mji huo kila baada ya dakika 30. Ni mchakamchaka mkali, hakuna kupumua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa na me nahis hvo pia... Ila JF apa ukizungumza kwa fikra huru ka hivi usemavo wapo team flan apa watakuijia na matusi juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umedadavua vyema sana , kama mawazo yangu yalivyo?
Shida pale kiev Kuna Manationalist na Neo Nazi ambao ndio wameishikilia serikari...
Mkuu wamesha udhibiti jana usiku na kumteka meya wa hilo jiji.Mariupol hali ni mbaya sana, Russia anaupeleka moto mji huo kila baada ya dakika 30. Ni mchakamchaka mkali, hakuna kupumua!
View attachment 2147976
Tupe za Moscow mkuuBado unafuatilia news za CNN mzee!? Duh! Unamoyo wa jiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hv ndo tuseme hatujui English au....[emoji848]
Hajasambaza Propaganda... Soma mpaka mwisho "....Ryabkov Said"Unasambaza tena propaganda. Hakuna anayezuliwa kuangalia vituo vya kirusi, vyote vinapatikana online. (analialia kwa sababu satelaiti zilifuta runinga ya kirusi - ambayo ilikuwa na watazamaji wachache, maana muda wote ilionekana kama propaganda)
Hii ndio ingekuwa faida kwa Ukraine kwa kizazi Cha Sasa na hata baadae.Ukraine ingekaa kama majirani wengine wa Russia kina Finland au Sweden isingepungukiwa kitu. Vitu vingine ni kufanya analysis nzuri mkatoa national policy ya kudumu sio kila kitu mlazimishe...
US Will move to suspend normal trade relations with Russia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hv ndo tuseme hatujui English au....[emoji848]
Em tuelezee ata kihaya tu apo limezungumzwa balaa gani kwa Russia [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]....
Haya mahabba em punguzen basi.
Yah kama "Black water, DynCorp na Triple Canopy" walivotumika Iraqi.Hata Marekani hutumia volunteer, wenyewe wanawaita PMC yaani private military contractor.
Hadi waganda wamewatumia huko Afghanistan.
So usishangae
Nilidhani hivyo! Au si mwenyewe??Hajasambaza Propaganda... Soma mpaka mwisho "....Ryabkov Said"
Au ye NYUNDO YA MOTO ndo Ryabkov [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hyo elim ya uchumi ka kweli anayo bas n kiduchu mno... Tena MNO.Basi usiseme kuwa Economics kuwa ni fan. Admit kuwa umekosea ili tukuone kwamba wewe ni muungwana.
Kwa Tanzania ni cheo Cha tatu chini akitoka Genarali mabeyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu umewahi kupitia hata JKT? Yani Meja Jenerali akashike AK 47 mstari wa mbele??
Samahani HUNA AKILI.
A number of Chelsea players want to terminate the contract with the club due to sanctions against Abramovich
According to British media, the players may leave if wage delays begin.
View attachment 2147975