LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
hivi hawa jamaa wana connection gani na NAZI? although, cha kushangaza, rais wa ukraine ni Myahudi ambaye babu yake aliuawa na NAZI kwenye consentration camps, tuseme na yeye anapenda au kuendeleza unazi? ambao ndio walimifanya ukoo wake ukakimbilia Ukraine kwa mateso makubwa?
Naendelea kuwaza ka unachofikir ni sahihi... Em tuulizane swali bila ushabiki... Kama ni myahudi na babu zake waliuliwa na wanazi na ana chuki na wanazi kwanini atumie symbol zao kwe battlefield mpk ofisin kwake?

Mh kuna nn nyuma ya pazia...?

Ujue sio kwamba nam'attack Zelensky but nafaham fika the world is full of Illusions...

We know little kwe ukweli, sehem kubwa ya ukweli kwe mambo mengi haiko wazi imefichwa na si bahat mbaya bali kwa mipango maalum...

Na hii ndo sababu inanifanya nakataa mahaba juu ya jambo lolote... Mahaba yanafinya uwezo wa kufikiri....

Apa ukienda mbali utajiuliza there more than 26Mil Cellphones in Ukraine... 100% Internet Covarage... Sasa kuna taarifa chache sana za upande wao zilizo livve kuhs advancement ya jesh lao ka kweli wanashinda ka social media zinavodai....

Angalia tena hii clip apo chini ilodakwa live... Utasema wako serious kweli hawa...? Ukraine kuna jambo ila dunia tunafichwa...
 
Mpaka Sasa Nikolaev, Mariupol, Maliutopol imeshaanguka mikononi mwa Mrusi.
Bado Odessa ili Urusi iwe imeichukua miji yote ya Mashariki na kaskazini mashariki mwa Ukraine.

Bado kiev, Irpin, Dniper ili iwe Ukraine imekamatwa katikati na itakuwa miji yote imeshatwaliwa.

Labda watabaki na LYIV wa kule Magharibi ambao nao umeanza kupigwa maroketi
 
Af me nilichoelewa ni kua sio taifa zima la Ukraine ni Neo Nazi bali ndani ya Taifa hilo kuna Neo-nazi na zaidi wana influence kubwa kwe utawala kiasi kinachopelekea ata ile aman ndani ya Ukraine yenyewe haiko sawa kiasi cha kuanza kutengana wao kwa wao na zaidi kuuana wao kwa wao...

Na nahisi ndo sababu ilopelekea pia kuzaliwa kwa hizo republic mbili ya Luhansk na Donestik...

Kuna hii picha apo chini ukiangalia ni Kifaru cha Ukraine na ni wanajesh wa ukraine hao wameamua kulipiga alam ya Z...

Kwenye huu mgogoro binafs nahisi kuna kitu hakipo sawa kabisa... Bas tu tutakuja kutambua uko mbeleni.View attachment 2148331View attachment 2148333View attachment 2148332
acha unafki hicho ni kifaru cha warusi wanatumia alama ya Z au V acha upotoshaji
 
acha unafki hicho ni kifaru cha warusi wanatumia alama ya Z au V acha upotoshaji
At least act like a grown man uache kukurupuka.... Hyo mihemko haikusaidii zaidi ya kukutia stress tu...

Hicho kifaru cha kwanza kina alama Z???? Kina tifauti na hicho cha pili kilichopakwa Z na wanajesh wenyewe.... Hivi ata sare za jeshi Ukraine unazijua???

Tumien utashi wenu bn acheni hayo mahabba mpaka mnaboa yani

Tumia akili bas jomba narudia tena hyo mihemko haikusaidii kitu zaidi utajikondesha kwaa mawazo....
IMG_20220312_155208_923.jpg
IMG_20220312_215849_402.jpg
 
At least act like a grown man uache kukurupuka.... Hyo mihemko haikusaidii zaidi ya kukutia stress tu...

Hicho kifaru cha kwanza kina alama Z???? Kina tifauti na hicho cha pili kilichopakwa Z na wanajesh wenyewe.... Hivi ata sare za jeshi Ukraine unazijua???

Tumien utashi wenu bn acheni hayo mahabba mpaka mnaboa yani

Tumia akili bas jomba narudia tena hyo mihemko haikusaidii kitu zaidi utajikondesha kwaa mawazo....View attachment 2148360View attachment 2148362
unaboreka na maisha ya mtu? unashida kichwani halafu hizo gwanda na rangi mbona sehemu yoyote inapatikana tu
au umesahau kuna convoy ya wanajeshi wa kirusi ilishikwa ikiwa na gwanda za jeshi la ukraine mbona kawaida acha kutoa matango pori
 
unaboreka na maisha ya mtu? unashida kichwani halafu hizo gwanda na rangi mbona sehemu yoyote inapatikana tu
au umesahau kuna convoy ya wanajeshi wa kirusi ilishikwa ikiwa na gwanda za jeshi la ukraine mbona kawaida acha kutoa matango pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sibishani na watoto mie... Endelea kubwabwaja tu jomba we usie na shida kichwani. Mwenye akili zako au sio...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sibishani na watoto na mie... Endelea kubwabwaja tu mkuu we usie na shida kichwani. Mwenye akili zako au sio...
umelevywa na gahawa umeona uje udanganye watu humu
 

Western arms convoys to Ukraine ‘legitimate targets’ for Russian forces, official says​


Russia warned the West against sending further arms to Ukraine, saying such arms convoys could now be considered “legitimate targets” for the Russian armed forces.

Speaking to Russia’s Channel One broadcaster earlier, Russia’s Deputy Foreign Minister Sergey Ryabkov issued a warning to the West that could lead to a direct confrontation between Russia and NATO.

“We warned the United States that pumping Ukraine with weapons from a number of countries orchestrated by them is not just a dangerous move, but an action that turns the corresponding convoys into legitimate targets,” the deputy minister said, according to comments reported by Russia’s state news agency TASS.

Ryabkov said there could be consequences to what he called the West’s “thoughtless transfer” to Kyiv of weapons such as portable anti-aircraft missile systems and anti-tank missile systems, both of which have been supplied to Ukraine by several NATO members including the U.S. and U.K.

Source
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.cnbc.com/2022/03/12/russia-ukraine-live-updates.html#107029513-post&ved=2ahUKEwioyYXW_8D2AhVo8LsIHdHUDn0Q8WB6BAggEB0&usg=AOvVaw1vuM6TiyEvbCP2s-CLXJ7s
 


Russian Military Shows Video Of Helicopter Attack On Ukrainian Armor​

More than 1,100 Ukrainian tanks and APCs have been destroyed since the start of the offensive, according to Moscow

The Russian Defense Ministry published a video of its Ka-52 ‘Alligator’ attack helicopters hitting and eliminating a convoy of the Ukrainian military’s armored vehicles.

The strikes in an unidentified part of the country on Saturday were carried out from low and extremely low altitudes with both guided and non-guided missiles, it said.

Another clip released by the ministry captured the use of a laser-guided Krasnopol artillery system to destroy a Ukrainian APC in a village near the capital Kiev.

Early on Saturday, Russian long-range strikes with high-precision weapons rendered inoperable a military airfield in the town of Vasilkov and a radio surveillance center in Brovary, both in the Kiev region, Defense Ministry spokesman Igor Konashenkov said during a briefing.

Over the past 24 hours, five Ukrainian UAVs were shot out of the sky, including two Turkish-made Bayraktar TB-2 drones. A total of 145 military facilities were targeted by Russian aviation, with three Buk M1 missile systems, eight command centers, and five arms depots among them, according to the spokesman.

The forces of the breakaway republics of Donetsk and Lugansk have continued their offensive with fire support from the Russian forces, capturing several more towns and villages in the east of the country, Konashenkov added.

Since the start of what Moscow calls a “special operation” in Ukraine on February 24, the Russian military has destroyed 3,491 of Kiev’s military facilities, 1,127 tanks and APCs, and 123 drones, the spokesman pointed out.

According to Russia, sending its troops to Ukraine was the only way to “demilitarize” and “denazify” the neighboring country, and to hold accountable those responsible for what Moscow has called the “genocide” of civilians in Donetsk and Lugansk. Other demands by the Kremlin induce neutral status for Ukraine, which would prevent it from joining the US-led NATO bloc, and recognition of Crimea by Kiev as part of Russia and of the aforementioned republics as independent states.

The Ukrainian authorities have rejected Moscow’s justification for the incursion, blaming Russia for waging an unprovoked war against the country and rallying for international support.

Source https://www.rt.com/russia/551754-ukraine-helicopter-strike-drones/
 


Russian Defense Ministry releases drone footage of military operation in Mariupol
 
Back
Top Bottom