LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Idadi ya watu waliokufa kwenye shambulio hilo la Ngome ya kijeshi ya Ukraine karibu na mpaka wa Poland imetangazwa upya kuwa ni watu 20 hadi sasa, na watu 57 wamejeruhiwa vibaya.

Na kwa mujibu wa Reuters, Russia ilishambulia ngome hiyo kwa maroketi 30 [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

Mwambieni Putin apunguze, maroketi 30 yote ya nini ?! Utafikiri anaua nyoka!


View attachment 2148827

Tulishakubaliana lengo kugeuza kifusi cha majivu Russia sio Iran
 
"Kuna uwezekanao mkubwa Jeshi la Urusi kuvamia nchi wanachama wa NATO".
Hayo ni madai yaliyotolewa hivi karibuni na wanadiplomasia wakuu wa Umoja wa Ulaya.

......."Ulaya inajitahidi kati ya nia yake ya "kuunga mkono" Ukraine huku kukiwa na mashambulizi yanayoendelea ya Urusi na hofu yake kwamba vita vinaweza kuenea katika nchi nyingine za ulaya" - kauli ya mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell wakati akiongez na CNN .

... "Kila mtu anajaribu kuweka usawa mgumu. Kwa upande mmoja, tunajaribu kuunga mkono Ukraine na, kwa upande mwingine, tunajaribu kuzuia vita kubwa zaidi,” Josep aliongeza.

Chanzo: RT news
 
whem12maisbzy2
neil111, It is not over yet, if you want to kill a sneak you have to smash it head, you can't just wand it and let it go, it can still coming back. NATO is like a big sneak which the head is the US, if you just cut the tail of the sneak you won't kill it. You have to go to the head and cut it off, then the rest of the bad will dies. Th US is the only thing that hold the EU together because they are a bunch of little nation who can't defend themselves, so, things works in both way, the US provide cover for them while they going around making trouble pretending they are something to be recognize with. But in fact they are just nothing. North Korea alone could wipe them all out.
13 hr

1 reply
====
North Korea si mchezo soma hiyo komenti. Ha ha haaaaaa!
Nataman kumjua aliyezungumza hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UPDATE: Death toll in Yavoriv attack climbs to 35, with 134 hospitalized, according to regional military governor. - @gullivercragg
 
[emoji635][emoji1255] The President of Ukraine ordered the transfer of 128 separate mountain infantry and 10 separate mountain assault brigades from the western borders to the east of Kyiv to slow down the advance of Russian troops, thereby exposing the border with Poland. As a result of a pinpoint strike by two cruise missiles in the area of the settlement of Baryshevka, the 8th separate mountain assault battalion of the 10th brigade was completely destroyed. Thus, the Armed Forces of Ukraine are throwing their last strategic reserves into battle.

Hii ikoje eti.
 
PHOTO. European Union foreign policy chief Josep Borrell
IMG_20220313_133452_153.jpeg
 
Back
Top Bottom