LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mchambuzi: ingechukua dakika 2 tuu kwa marekani kuwajibu warusi na wachina kama wangesogeza nyuklia krb na mipaka yake.

Kiukweli respond ya mrusi ni ndogo sana kulinganisha na tishio alilonalo.



markup_1000046795.png
 
Kitendo cha Russia kuziponda ponda hizo Patriot Air defense batteries kimewadhalilisha na kuwanyong'onyesha sana US and its allies.

Zile Tambo zote zimekwenda na maji.
Zile tambo zote zimekwenda na maji.
Hakika kabisa Mkuu Nkuba 25.
Watu wasiopenda kujishughulisha kutafuta uelewa wa mambo ya ziada humu walidanganywa,walipotoshwa na waliaminishwa sana kua Urusi ni maskini na dhaifu sana mbele ya west.
Kumbuka nikisema west ndani yake yumo USA,NATO na wasio NATO.
Kuna watu humu Sasa hivi wote wamekimbia walikua wanaandika Kila aina ya mashairi na wengi wakawafuata kua USA ndio Kila kitu.yaani baada ya Mungu wanafuata wao.
Waliandika Kila aina ya udhaifu wa silaha za Urusi na kusifia Kila aina ya ubora wa silaha za west,lakini kwa bahati mbaya uhalisia umetokea kua hauko katika upande wao.
Kuna mtu humu alijaribu hata kuponda jeshi la Urusi eti kua havutiwi kabisa na upiganaji wa jeshi la Urusi,mara wanajeshi wa Urusi hawana nidhamu na Kila aina ya kashfa,utadhani yeye ndio mkadiria ubora wa majeshi yote Duniani.
Lakini pamoja na kashafa zao zote utashangaa majeshi ya Urusi yanaendelea kuteka maeneo na kuangamiza silaha na askari wa NATO.
Kwa kifupi Urusi imewaprove wrong wote waliokua wanaiponda.
Kwa kifupi Urusi imewadhalilisha sana USA na NATO yake,maana USA na wenzake wamepeleka silaha za Kila aina na mashabiki wao wakawa wanaziita game changer,lkn Kila zikija zinazimwa vibaya sana.sasa Urusi wanaisubiri F16.
Kuna watu humu waliamini na kuwaaminisha wafuasi wao kua USA Ina mipango thabiti kabisa,mipango ya kuona miaka 100 mbele,waliamini kua na kijinasibu kua Urusi ilikua inatafutwa sana na safari hii imeingia mtegoni na haitatoka,Kuna watu walisema kwa uhakika kabisa kua Kuna nchi zilikua zinaitamani sana Urusi na Sasa imeingia kichwakichwa,eti ki nchi kama ki Poland kua kinaitamani Urusi.

Maneno mengi sana yalisemwa kuonesha kua Urusi itakoma mwaka huu na kua eti USA imeshapanga mipango yake ya kuiangamiza Urusi,na kua eti USA Ina akili sana Kwa mipango.
Lakini kwa hakika USA imeingia Chaka la kufa mtu, na tayari imeshajichimbia kabiri lake yenyewe.
Kama Kuna kosa kubwa USA amefanya,ni kutengeneza vita hii,alidhani anadili na Libya au Zimbabwe,lakini kwa upofu wake hakujua anadili na taifa lenye akili mara kumi kuliko yeye.

Kosa la kwanza kubwa la USA ni vita hii.

Vita hii imezifanya nchi zote adui na USA kua pamoja na Urusi,
mfano Korea kaskazini,Iran,china n.k.
Ila kosa kubwa kabisa ni Urusi kuangukia mikononi mwa china.Hapa ndio mwisho wa mchezo.Ushirika huu ni janga Kwa USA.

Kosa la pili.
Baada ya smo hii ambayo ni miujiza TU ndio itabadili upepo wa ushindi wa Urusi.
Baada ya vita hii NATO inaenda kupoteza ushawishi.

Kosa la tatu.
USA inaenda kupoteza kuogopwa.
Hapa hata haisubiri kuisha vita,kwani Tayari Niger,Mali na siera Leone wameshaacha kuiogopa USA na hata kufikia kuifukuza nchini mwao.tutarajie wimbi hili kuendela sehemu mbalimbali duniani.

Kosa la nne
Soko la silaha za USA kupungua na soko la silaha za Urusi kupanda.
Hii itaupandisha juu uchumi wa Urusi na kuiongezea konfidensi zaidi Urusi.

Tano
USA haitakaa ivamie nchi yoyote Tena kama ilivyofanya kwa Iraq, Afghanistan,Libya na Yugoslavia kwa sababu Urusi itaisaidia waziwazi nchi hiyo, ili kuiadhibu USA, Kwa ajili ya kulipa kisasi, kwa kile anachokifanya USA Kwa Urusi dhidi ya ukraine.

Kosa la SITA
Uchumi wa Urusi na Dunia.
Kosa la kuchochea vita na kuiwekea vikwazo Urusi litaigharimu sana USA.
Kwa sababu nchi nyingi zimeona kua ukitofautiana na USA atakuwekea vikwazo.hivyo nchi nyingi zitatengeneza uchumi na Mifumo ya kifedha na sarafu isiyotegemea USA Kwa asilimia kubwamfano Dola, ili kuepuka vikwazo vya USA.
Hii itaighalimu Sana USA kiuchumi tofauti na Sasa.
Mambo ni mengi.

Lakini kwa kifupi huyo waliekua wanamsifia eti kua ana mipango sahihi kabisa ya muda mrefu ukweli hayuko hivyo,na Sasa ameingia Chaka la miba.

Kwa kifupi USA na mipango yake safari hii yeye ndio kanasa.
Ili ajinusuru aanzishe vita ya Tatu ya Dunia,lakini hii nayo ni kujitoa mhanga,maana USA nayo itakua magofu,maana wapinzani wake Wana silaha zinazoweza kupiga Hadi kwake na kuchagua wapige mji Gani na wapige Nini.
Maana yake watachagua kupiga kambi za jeshi,viwanda vya kijeshi na kiraia,miundombinu na Kila aina ya sehemu muhimu.
Maana yake USA itarudi zama za mawe.
Hali hiyo itakua kwa pande zote USA nao watafanya kama hivyo.
Ndio maana Kuna mtaalamu alisema vita kuu ya Tatu itakua ni vita vya nyukilia na teknolojia lakini ana uhakika vita kuu ya nne itakua ni ya fimbo na mawe.
Kwa muktadha huo USA Iko njia panda ikubali anguko lake ama ikubali kuanzisha vita kuu ya Tatu.

Kwa kumalizia USA ime "miscalculate" hiyo mipango yake inayosifiwaga.
 
9 Mei 2024 ni kilele Cha maadhimisho ya sherehe za ushindi wa majeshi ya Urusi dhidi ya manazi.

Maonesho ya silaha za NATO zilizotekwa na Urusi yamekua ni silaha kubwa sana ambayo Urusi amewapiga NATO.
Huu ni ushindiwa kisaikolojia kwa pande mbili.

Upande wa kwanza maonesho haya yamepandisha Ari,moyo na uzalendo Kwa raia na majeshi ya Urusi na yameongeza uungwaji mkono kwa majeshi na serikali ya urusi.
Hivyo kuongeza mshikamano.

Upande wa pili yamewaumiza sana nchi zilikotoka silaha hizo.
Yamewaogopesha,yamewadhalilisha, kuwavunja moyo na kuwatia aibu.

Wadau wenye interest kutoka Dunia nzima wameweza ama kwenda ama kujionea Kwa macho.
Ikumbukwe NATO ndio umoja wenye nchi zenye nguvu kubwa kijeshi na kiuchumi uliokua unaogopwa na kuheshimika sana hapa chini ya jua, baada ya Warsaw Pact kuvunjika,Leo hii baadhi ya silaha zake kwa pamoja zimedakwa na nchi moja TU.
Kwa kweli hii imewanyong'onyesha sana sio TU raia na wanajeshi wa NATO Bali pia pro NATO wote humu jukwaani.

Nawakumbuka wale waliokua wanasema Urusi ni masikini,kwa hiyo Leo masikini mmoja amekamata silaha za umoja wa matajiri.
Huyu ni masikini jeuri aisee.
Masikini kama Hawa wakiwa wanne tu hapa duniani, Dunia itakua sehemu salama na ya heshima sana.
 
I'm noticing a change from Russia, a transformation of sorts. After the fall of the Soviet Union Russia was sold out to the west, much like Germany and Japan after WW2. The people were broken, the economy in shambles. Russia took on a reputation of being for sale and corrupt.

This era is what some Russians referred to as, "the terrible 90s." Russians were quiet, there was a heaviness that hung over the Russian people and culture. There has been a shift, since Putin has taken office Russia has been quietly healing, growing and now thriving. Removing the corrupt oligarchs, strengthening the military and embracing instead of shaming Russian culture.

Now, with the west at war with Russia via Ukraine and economic sanctions the Russian people have banded together in ways not seen in our lifetimes. By all means Russia has much of the world working against them but instead of folding and crumbling they are thriving. Decidedly winning on the battlefields of Ukraine, leading a cultural revolution in Africa and leading an economic revolution through BRICS, Russia has nearly completely filled the void left by the United States, and it has done so not through threats, force and economic pressure as the US and Britain has done but instead through trust and good will.

The most noticeable change I see however is the Russian people are different now. They are proud of their heritage, they realize that being Russian means thousands of years of rich history instead of simply being forever in the shadow of the Soviet Union. Russia has give more to the world and humanity than there is space for me to list. From revolutionary breakthroughs in science, medicine and technology to breathtaking art, artists and musicians. From the dancers on ice to the dancers on stage and the warriors on the battlefield.

Russians have realized that much of the world's animosity comes from envy, jealousy and bitterness. My friends the greatest crime Russia has ever and continues to commit is sticking around, thriving and not selling out to the west as so many others have.

The old analogy is that pressure makes diamonds and if that is true, with all the pressure on Russia 🇷🇺 and they still manage to thrive, grow and lead, then Russia is a flawless diamond 💎, a true jewl of the east.
From a humble American, well done Russia, well done 🇷🇺


e5f838c4-057f-490f-9343-ff54ee12777c.jpg
 
NATO wekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli.

NATO chief reiterates ‘no troops in Ukraine’ pledge.

Kiev has not asked the military bloc to deploy soldiers to the combat zone, Jens Stoltenberg has said
NATO chief reiterates ‘no troops in Ukraine’ pledge

NATO is not planning to deploy troops to Ukraine, the secretary-general of the US-led bloc, Jens Stoltenberg, said on Wednesday. He made the remarks to Italy’s ANSA news agency during a trip to the country, where he was met with Prime Minister Giorgia Meloni.

According to Stoltenberg, Kiev has not asked its Western backers for soldiers.

“NATO has no intention of deploying forces to Ukraine. When I visited Ukraine last week, the Ukrainians did not ask for NATO troops in Ukraine, what they asked for is more support,” he stated.

Stoltenberg has made similar statements before. The idea of having NATO boots on the ground in Ukraine was floated by French President Emmanuel Macron, who said in February the West “cannot exclude” such a possibility. Earlier this month, he doubled down on the idea, claiming that Paris would send troops “if the Russians were to break through the front lines” or if Kiev requested such a deployment. The sentiment was echoed on Wednesday by Lithuania’s prime minister, Ingrida Simonyte, who said she had parliamentary permission to deploy soldiers to Ukraine.

Most NATO members, however, openly rejected the idea. Hungarian Foreign Minister Peter Szijjarto earlier this month criticized the notion, warning that a NATO military deployment to the combat zone could ultimately spark an all-out nuclear war. Similar statements were also recently voiced by Italy and the UK, while Slovakian Prime Minister Robert Fico stressed that as long as Ukraine is not a member of the bloc, “no Slovak soldier will set foot beyond the Slovak-Ukrainian border.”

Moscow slams France’s ‘belligerent rhetoric’READ MORE: Moscow slams France’s ‘belligerent rhetoric’
To stem the flow of speculation on the subject, NATO plans to formally oppose sending troops to Ukraine in a policy statement set to be approved at the bloc’s summit in Washington in July, the Italian newspaper Corriere della Sera reported earlier this week.

Most Western states have been suggesting that instead of discussing troop deployments, the bloc should instead focus on military and financial assistance for Ukraine. While NATO has already provided it with billions in aid, Kiev has been complaining that more is needed, blaming ammunition shortages for losses on the battlefield.

Moscow has repeatedly warned that NATO troops in Ukraine would likely make a direct confrontation between Russia and the US-led bloc inevitable. Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova said on Wednesday that if foreign troops appeared in the conflict zone, “they would inevitably become targets for the Russian military.”
 
Vijana wanadanganywa na video games pamoja na Hollywood movies, ukicheza zile games kama call of duty series na kutizama movies za hollywood unaweza sema NATO sio watu wa kawaida.
Napenda kuwakumbusha ya kwamba video games na movies ni sanaa, ni kama nyimbo Harmonize au Diamond anaimba kwamba mwanamke mzuri kama malaika, hakuna mwanamke mzuri kama malaika kwa sababu huyo malaika tu mwandishi hakuwahi kumuona lakini lengo la utunzi ni kumvutia msikilizaji au mtazamaji.

Jeshi la Russia lipo mbali kivita kuliko NATO katika uhalisia na hilo linajidhihirisha.
 
Vijana wanadanganywa na video games pamoja na Hollywood movies, ukicheza zile games kama call of duty series na kutizama movies za hollywood unaweza sema NATO sio watu wa kawaida.
Napenda kuwakumbusha ya kwamba video games na movies ni sanaa, ni kama nyimbo Harmonize au Diamond anaimba kwamba mwanamke mzuri kama malaika, hakuna mwanamke mzuri kama malaika kwa sababu huyo malaika tu mwandishi hakuwahi kumuona lakini lengo la utunzi ni kumvutia msikilizaji au mtazamaji.

Jeshi la Russia lipo mbali kivita kuliko NATO katika uhalisia na hilo linajidhihirisha.
Uko sahihi kabisa.
Hollywood imefanikiwa sana kupotosha.
Lkn bahati mbaya kwao uhalisia hauko katika upande wao.
Vita vyq Ukraine vimeshategua kitendawili hicho.
Nchi moja inapigana na collective west.
Kwa Yugoslavia waliweza lkn hapa wamekutana na kibao kimeandikwa the end.
 
Mimi kuna muda najishtukia na kujiwazia kwa jinsi nilivokua nasikia kuhusu mambo ya vita na watu wa ulaya magharibi nilinganisha kwa sasa wanachofanyiwa na urusi nahisi labda hao nato wanamsoma tu mrusi labda ipo siku kibao kitamgeukia russia maana bado siamin kama nato wamefeli kwa aibu hivi
 
Walioverestimate ushawishi wao duniani.
Kila siku tulikua tunaambiwa CIA ndio shirika la kijasusi linaloongoza likifuatiwa na mashirika karibu matano yote ya west.lakini Cha ajabu yalishindwa kuujua uwezo wa Urusi kijeshi na kiuchumi.
Ukiangalia mwenendo wa mgogoro huu utaona ni shirika la ujasusi la Urusi ndio lililokua smart kuliko hao akina CIA ,maana kwa jinsi Warusi walivyokwepa vikwazo ni kama walishajua kabla kua west watafanya Nini.hapa nawapa Warusi heko kuu.
Inavyoonesha Warusi walishajua mapema na wakajipanga.
Kwa Sasa vikwazo vimewadhoofisha zaidi west kuliko Warusi.
Njoo kwenye vita,Warusi wanawadhibiti vilivyo all collective west.
Njoo kwenye uungwaji mkono,Leo hii USA inaungwa mkono na ulaya peke yake TU,lkn the rest of the world wala hawawaungi mkono.
Tazama Leo hii USA anafukuzwa Kila kona.leo hii Urusi ameamua kushirikiana kijeshi na Yemen,kwa sababu Yemen kaonesha ujasiri mkubwa sana wa kumrushia makonde kubwa onevu USA.
Leo hii Saud Arabia anafanya utaratibu wa kuachana na USA .yote hii ni ushawishi wa urusi.yote haya CIA wameshindwa kuyaona mapema.
Halafu vinatokea vijitu vinakuambia CIA ndio Bora zaidi.
Labda Bora kwa Kuua Viongozi wa nchi nyingine kama Iraq na Serbia.
 
Back
Top Bottom