LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Chasiv Yah ni kama ilivyokuwa Avdiivka.ni ukuta wa ulinzi kuelekea miji ya Kramatorsk, Slaviansk ambayo ndo miji ya mwisho kwenye jimbo la Donesk.

Maana yake ikianguka tu hii miji basi Warusi watakuwa wana uwezo wa kushambulia Kharkiv kwa nyuma.kwa iyo itakuwa ngumu kukinga mashambulizi mbele na nyuma.Pia jimbo la Zaphorozhyia nalo itabidi vikosi vya Ukraine kuondoka kwa sababu barabara ya kuingia itakuwa kwenye range ya Warusi.
Hivi Wananchi wa hiyo Miji wenyewe wanasemaje?
 
kwa yanaondelea duniani ..... natamani kungekuwa na mseto fulani AFRIKA

1. ROBERT MUGABE
2. JULIUS NYERERE
3. KWAME NKURUMAH
4. SANKARA
5. MAGUFULI
6. MUSEVENI
7. SAMORA MACHEL
8. GHADAF
9. PATRICE LUMUMBA
10.
11.
12.
13.
Dah Ukiangalia unamuona Ruto na Kagame na Tz ndio sisi tupo sisi
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na miatatu walilambishwa mchanga Jana
 
Attachments

  • 1715414742238.jpg
    1715414742238.jpg
    256.1 KB · Views: 3
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo 😇 😇 😇 😇

⚡⚡Russian army has already lost more than 481,000 troops in Ukraine

The total combat losses of the Russian army in Ukraine from 24 February 2022 to 11 May 2024 amounted to about 481,030 people, including 1,320 in the last day.
According to Ukrinform, the General Staff of the Armed Forces of Ukraine reported this on Facebook.⚡⚡
 
Formula ya Vita ni rahisi tu..Ukipigwa unaachia Eneo mwenzio anakalia sasa Nyie Ukraine mnasema mmewapiga Warusi lakini mnakimbia maeneo😀😀😀
Yaani mnafanya ucomedy mpaka kwenye battle field.
 
Back
Top Bottom