LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Shoigu was appointed to the post of Secretary of the Security Council, Putin dismissed Nikolai Patrushev from this post of secretary due to his transfer to another job - decree

Shoigu, in the position of Secretary of the Security Council of the Russian Federation, will simultaneously be Putin’s deputy in the Military-Industrial Commission of the Russian Federation, Peskov said. - RVvoenkor
Shoigu apumzike ile kazi wangempa kamanda Armageddon.
 
Putin appointed Shoigu as Secretary of the Russian Security Council instead of Patrushev
===========

Nimeikumbuka sauti ya prigozhin,
Shoiguuuuuuuuu nipe risasi acha uboya watu wangu wanakufa.

Vita ya BAKHMUT iliongezwa utamu na hawa jamaa wawili, inaonekana Putin alikuwa anawaangalia na kucheka hi hi hi hiiii kama jiwe la waaashi.

View attachment 2988957
Inaoenekana Putin ni mafia sana, nimezidi kumuogopa.

Kwaheri SHOIGU.
Amekuwa waziri wa ulinzi kwa miaka 12
View attachment 2988961
Shoigu muda mrefu alionyesha anababaisha sema Putin kweli Mafia amevuta muda kamtoa
 
Mh! Mambo magumu, ukiona wamagharibi wanakiri ujue hali ni tete kweli!

Thousands evacuated in Ukraine as Russia advances in Kharkiv region​



President Volodymyr Zelensky said "fierce fighting" was under way and governor Oleg Synegubov said "all areas" of the regional border with Russia were now "under enemy fire almost around the clock".


The Ukrainian army's top commander
said that although the situation was "complicated", his forces were managing to hold back further Russian advances.


But Russia's defence ministry said its forces had "advanced deeply into the enemy defences", a day after claiming the capture of five villages in Kharkiv region.


 
Shoigu muda mrefu alionyesha anababaisha sema Putin kweli Mafia amevuta muda kamtoa
Nafasi ya Shoigu aliyopewa kwa sasa ni kubwa sana tofauti na iyo aliyokuwa nayo, ni mtu wa 3 mwenye mamlaka makubwa kwenye nchi ya Urusi. Yani ukimtoa Putin na Dmitry Medvedev basi anafata yeye.

Putin kamua kumpa nafasi iyo kama ya asante na uvumilivu wake kwenye wizara ya ulinzi, ni nafasi yenye nguvu na ya kula bata.
 
1700!! Hii ni mara ya kwanza tangu uvamizi uanze!🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1715587038299.jpg
    1715587038299.jpg
    248.6 KB · Views: 3

Russia paints new military insignia on Invading force. Same symbol used in past wars against Khazaria​


MAY 12, 2024

Russia Paints New Military Insignia on Invading Force - Same Symbol Used in Past Wars against . . .  Khazaria


Russia has launched a new offensive into northeastern Ukraine, aimed at Kharkiv and Sumy regions. But the HUGE news about this isn't the invasion itself, it's the SYMBOL Russia is painting on this new force: ‘Rune of Gungnir’ -- the spear of Odin.
Below some imagery of the symbol and its appearance on Russian military vehicles:
New-Russian-Military-Symbol.jpg

Historically, the Varangian bogatyrs of Svyatoslav (Ancient Russia) marked their weapons & armor with such runes when they went to war against the Khazarian Khaganate.
There is now no longer any doubt, that Russia knows exactly who their enemy is,the Khazarian Mafia.
For those unaware, a map of ancient Khazaria appears below:
Khazarian-Khaganate.jpg
 
Uko sahihi kabisa Mkuu millerson.
Hivyo unavyojishitukia na hivyo unavyojiwazia uko sahihi kabisa na watu wengi wako hivyo kwa Hali jinsi inavyoendelea huko Ukraine.
Hali uliyonayo ndio Ile kitu inaitwa mshangao,bumbuwazi au kutoamini unachokiona maana Kwa miaka mingi watu waliamini NATO ndio Kila kitu,ndio wababe wa vita hapa duniani,hakuna kama wao,Leo hii iweje washindwe kuidhibiti nchi moja TU Tena iliyowekewa vikwazo kuliko nchi yoyote hapa duniani?
Hali unavyojisikia wala sio wewe TU,Bali ni mshangao kwa watu wengi hapa Duniani,yaani hawaamini wanachokiona na wanachokisikia.
Kama usemavyo watu wengi wanahisi kama unavyohisi wewe kua NATO wanamvuta TU Urusi ili aingie kwenye kumi na nane zao ili wamle kichwa,lakini ukweli sio hivyo hata kidogo,ngoma imewashinda na hamna namna watamfanya Urusi.

Ukweli uko hivi.
NATO hawana uwezo wa kuipiga Urusi hata kidogo,Bali wanaweza kupigana na Urusi na asitokee mshindi wa wazi.
Vita ya NATO na Urusi sio vita kama Ukraine na Urusi.
Vita ya Urusi na NATO itakua ni vita ya kuangamizana kabisa maana Kila upande hautatoa hata nafasi ya kujisalimisha,kwa sababu wote wanaogopa aibu ya kushindwa na hawako tayari kua chini ya mwenzake (koloni,mtumwa au mateka)baada ya vita,wanaona ni Bora wapotee wote.
Ishu ya kusema eti NATO bado wanamsoma Urusi hiyo Haipo,kwa sababu kwa tabia za NATO hua hawajisikii vizuri kuona watu wanakufa Kwa maelfu kama vile ilivyokua Bosnia and Herzegovina,Kosovo,Sarajevo n.k. hasa nchi iliyopo bara la ulaya.

Leo hii wa Ukraine wanakufa Kwa maelfu namna hiyo eti bado wanamsoma Urusi,hii sio kweli,ukweli wanaogopa majibu ya urusi.
NATO hawana uvumilivu huo wa kumsoma Urusi kama Wana uwezo wa kumpiga,maana Hali inazidi kua mbaya kwao Kila kukicha,miji inachukukiwa na watu wanakufa,wakimbizi wanazidi kujazana ulaya,uchumi wao unayumba na akiba zao za silaha zinazidi kupungua.
Wangekua Wana uwezo wangeshaingia mapema na kumpa Urusi pigo moja takatifu na kumaliza vita ili kuepusha maafa makubwa kama hayo barani ulaya,lkn wanaogopa kwa sababu Urusi inao uwezo thabiti kabisa ya kuwajibu vizuri na mara dufu kuliko wao.
NATO waliingia Yugoslavia ili kuepusha muaji ya kimbari,NATO waliingia Libya ili kuepusha mauaji ya ya kimbari.leo hii Kwa Nini waendelee kupoteza muda eti wanamsoma Urusi ambae anafanya mauaji kwa nchi ambayo wao ndio wameiponza ?
Wataendeleaje kumsoma Urusi ambae Kila siku anachukua maeneo?
Je wanasubiri ili afike wapi?
Kwa kifupi uwezo wa kuingia kwa Urusi kama walivyokua wanaingia kwa akina Iraq hawana,Urusi ni maji ya bahari sio maji ya mto.
sasa ule umoja wao wa kujihami waliunda wanini kama bado wana uoga dhidi ya mtu ambaye ni tishio juu ya maslah yao
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo 😇 😇 😇 😇

⚡⚡Russia's overall combat losses in Ukraine between February 24, 2022 and May 13, 2024 have already reached about 484,030 troops, including 1,740 soldiers killed or wounded in action in the past 24 hours.
The General Staff of the Armed Forces of Ukraine said this in a post on Facebook, Ukrinform reports.

In addition, Ukraine's defense forces destroyed 7,485 (+31) Russian tanks, 14,417 (+42) armored fighting vehicles, 12,487 (+15) artillery systems, 1,070 (+4) multiple rocket launchers, 797 anti-aircraft warfare systems, 350 warplanes, 325 helicopters, 9,936 (+26) tactical unmanned aerial systems, 2,197 (+3) cruise missiles, 26 warships/cutters, 1 submarine, 16,878 (+59) vehicles and fuel tankers, and 2,048 (+6) pieces of special equipmen
t.⚡⚡
 
Nafasi ya Shoigu aliyopewa kwa sasa ni kubwa sana tofauti na iyo aliyokuwa nayo, ni mtu wa 3 mwenye mamlaka makubwa kwenye nchi ya Urusi. Yani ukimtoa Putin na Dmitry Medvedev basi anafata yeye.

Putin kamua kumpa nafasi iyo kama ya asante na uvumilivu wake kwenye wizara ya ulinzi, ni nafasi yenye nguvu na ya kula bata.
Kwa faida ya wanajamvi naomba utudadavulie muundo wa uongozi wa Russia.
 
BBC wanaripoti kwamba, huko Kharkov, majeshi ya Russia yanasonga mbele kwa Kasi ya ajabu.

Hakuna tena upinzani wowote.

Na wanajeshi wa Ukraine wameamua kuweka silaha chini na kujisalimisha.



Ukiona hadi wazandiki BBC wanaripoti namna hii, jua Hali sio shwari kabisa


Screenshot_20240513-145656.jpg
 
Back
Top Bottom