LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Vijana wa Urusi wanaendelea kumega nchi ya bwege zelly kiulaiini kabisa

🇷🇺 Successes of the Russian army in the Kharkov in the last three days

— On May 10, the Russians liberated 40 km²;

— By May 11: 105.4 km²;

— By May 12 — 78.8 km².

In total, 224.2 km² have been liberated since the start of the offensive.

Twelve settlements came under the control of the Russian army in the north of the Kharkov region: Strelechya, Krasnoe, Morokhovets, Oleynikovo, Pylnaya, Borisovka, Glubokoe, Zelenoe, Ogurtsovo, Gatishche, Pletenevka and Tikhoe.

There are battles for: Liptsy, Volchansk, Zybino, Staritsa, Lukyantsy, Volchanskie Khutora and Bugrovatka.
 
BBC wanaripoti kwamba, huko Kharkov, majeshi ya Russia yanasonga mbele kwa Kasi ya ajabu.

Hakuna tena upinzani wowote.

Na wanajeshi wa Ukraine wameamua kuweka silaha chini na kujisalimisha.



Ukiona hadi wazandiki BBC wanaripoti namna hii, jua Hali sio shwari kabis

BBC wanaripoti kwamba, huko Kharkov, majeshi ya Russia yanasonga mbele kwa Kasi ya ajabu.

Hakuna tena upinzani wowote.

Na wanajeshi wa Ukraine wameamua kuweka silaha chini na kujisalimisha.



Ukiona hadi wazandiki BBC wanaripoti namna hii, jua Hali sio shwari kabisa


View attachment 2989328
Russia forces wamewambia wanajeshi wa Ukraine watakaojisalimisha, hawatoguswa hata kidole, wataifadhiwa mahala salama mpaka pale hali ya amani itakaporejea, kwaiyo tutaendelea kuona wimbi la jeshi la ukraine kuweka silaha chini siku zijazo
 
Wanajeshi wa Ukraine wanajisalimisha kwa wingi huko Kharkov

Screenshot_20240513-174920.jpg
 
BBC wanaripoti kwamba, huko Kharkov, majeshi ya Russia yanasonga mbele kwa Kasi ya ajabu.

Hakuna tena upinzani wowote.

Na wanajeshi wa Ukraine wameamua kuweka silaha chini na kujisalimisha.



Ukiona hadi wazandiki BBC wanaripoti namna hii, jua Hali sio shwari kabisa


View attachment 2989328
Kwa sisi wapenda haki tukiona hivi tunafurahi sana.
Tukiona wanajisalimisha tunafurahi kwa sababu inaepusha maisha ya binadamu wenzetu kupotea.
 
sasa ule umoja wao wa kujihami waliunda wanini kama bado wana uoga dhidi ya mtu ambaye ni tishio juu ya maslah yao
Ukweli mchungu kwamba NATO kuingia vitani na Urusi ni kujitoa mhanga na kukubali nchi zao nazo zibaki magofu kuliko hata Gaza.
Umoja huo hautoshi kabisa kuipiga Urusi nao wakabaki salama kama walivyofanya kwa Iraq, Yugoslavia, Afghanistan, Libya n.k.
Urusi sio taifa kama hayo,Urusi ni level nyingine kabisa.
NATO Wanajua fika kurusha bomu moja Urusi ni kuruhusu Urusi kurusha mabomo 100 kwao.
Wanajua fika Urusi anaweza kupiga makao makuu ya Jeshi ya Kila mwanachama NATO na Ikulu zote za nchi za NATO kwa dakika moja.
Wanajua Urusi anaweza kuchagua apige wapi kwa Kila mwanachama wa NATO kwa siku moja.
Sasa kwa kujua uwezo huo sio rahisi kuingia kizembe vitani na nchi ya namna hiyo.
Kama NATO waliweza kuipiga Iraq ilipoivamia Kuwait.

Wanashindwa Nini kuipiga Urusi iliyoivamia Ukraine?
 
Kim Jong-un inspects MLRS production.

The DPRK media reports on another series of inspection trips by Kim Jong-un to the country's military-industrial complex enterprises, which took place on May 11 and 12. Including those producing launchers (PU) for 240-mm MLRS.

“Dear comrade Kim Jong-un got acquainted with the production of launch vehicles for the updated 240-mm caliber MLRS, which will be adopted by the new KPA artillery units organized this year.

While inspecting the produced tractors for MLRS, he learned the production plan for the current year and the production results to date, personally sat on the tractor and tested it to get acquainted with the combat power."
reported in the official text from KCNA.
 

Attachments

  • 5f48fa8c-bfc7-40a9-a2f7-4d335857e4d7.jpg
    5f48fa8c-bfc7-40a9-a2f7-4d335857e4d7.jpg
    43.5 KB · Views: 3
  • fbd66233-d797-4fdd-88ff-275c24468b58.jpg
    fbd66233-d797-4fdd-88ff-275c24468b58.jpg
    73.3 KB · Views: 3
  • dfb71651-87d7-40a0-ad0a-5d158397fa93.jpg
    dfb71651-87d7-40a0-ad0a-5d158397fa93.jpg
    51.2 KB · Views: 4
Interesting photo from Tianjin, China.

Chinese sources claim “this is a Patriot (air defence system) captured by Russia and then sent to China”, but it’s a highly unlikely claim.
 

Attachments

  • 63ef1f48-1d4c-429c-b9ce-7839ecbf8eca.jpg
    63ef1f48-1d4c-429c-b9ce-7839ecbf8eca.jpg
    34.3 KB · Views: 4
Kuna dalili nyingi sana kuwa hii OPARESHENI inaelekea mwishoni
1. kujisalimisha kwa wanajeshi wa UKRENI kwa wingi
2. Tangazo la ujerumani kuanza kutungua makombora ya URUSI kutokea nchi washirika wa NATO (kitu ambacho URUSI anasema atahusika na makombora yalipotokea
 
Dunia inabadilika, tutayaona na kuyajua mengi ambayo nchi za magharibi yalituficha kuhusu nchi kama vile CUBA, KORA KASKAZINI , IRANI, VENEZUELA na nchi nyingine nyingi za KIJAMAA.......
MAGHARIBI ilitumia nguvu nyingi kuonyesha UJAMAA si kitu chochote na umefeli BIG TIMES...... SASA MAJAMAA YAMEAMKA ........ TENA YAKIONGOZWA NA CHINA NA URUSI....... (MBOMBO NGAFU)
LETS THINK OUTSIDE THE BOX, WAS UJAMAA REALLY A FAILURE?


View: https://x.com/MyLordBebo/status/1789968493070192704
 
Back
Top Bottom