LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
1000004461.jpg
Yet hawana uwezo wa kutoa two Patriot System kule Kharkov, Ukraine!

Hii kweli ndio real definition ya Paper Tiger 🐅!
 
After all, who are they agaisnt! Haiwezekani mataifa 7 tajiri zaidi duniani yajikusanye dhidi ya taifa moja maskini duniani!
Hii point Yako hua inanifikirisha sana.Tuliambiwa na
Tunaambiwa Urusi ni nchi maskini,Leo inakuaje nchi zote zinazoitwa matajiri hapa duniani kwa pamoja zinashindwaje kuiadhibu nchi moja TU ambayo ni maskini?
 
Back
Top Bottom