Hupaswi kuona aibu Mkuu,kwani vita Ina mambo mengi kwa sababu huwezi jua adui anapanga Nini.Hao walioingia Russia hata mmoja hatarudi kwao.Watamalizwa wote.Ingawa sisi Warusi wa Litapwasi tumeumia sana kwa aibu hii mana Kipanya katusumbua sana na taarifa zake Feki.
Ukraine wameingia kwenye mkoa uliokua na ulinzi mdogo,nadhani hilo Urusi hakuliwaza na Sasa imekua fundisho kwake.
Chukulia mfano nyoka ameingia ndani na anaejificha kwenye vitu vilivyo ndani hivyo inakua ngumu kupata nafasi ya kumpiga kwa sababu utaharibu vyombo.hapo kitakachofanyika ni kuchukua tahadhari na kuondoka chombo kimoja kimoja Hadi nyoka anakua peupe kisha unampiga.
Amini nakuambia Hali hii inaenda kuwakuta hao askari wa Ukraine.
Hofu ni kinu Cha nyukilia na raia wa Urusi waliobaki huko.
Hapo itatumika akili kubwa sana ya makomando na askari maalumu.
Itachukua muda lkn Ukraine wanaenda kuondolewa.